hata mi nimejiuliza nahisi hata kiswahili hakina ushirikiano kabisa na ajira za bongo.Hivi siku hizi wanafundisha french mashuleni ama?
Hivi hiyo ni mishahara au posho?
Bora kuuza mapanki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Two Principal passes manake at least E! Ina maana cku hizi mtu na E mbili anaenda chuo kikuu?! au unamaanisha elimu ya juu!!1Kwa hvo vigezo walivoweka hawapati mtu,kwa maana weng wanaofaulu form 6 huwa wanaopt kwenda vyuo vikuu na vile vile wanaofaulu form 4 huwa wanaenda form 5.
Two Principal passes manake at least E! Ina maana cku hizi mtu na E mbili anaenda chuo kikuu?! au unamaanisha elimu ya juu!!1
Mbona mishahara mikubwa sana hiyo? Serikalini watu wanatajilikia wizi na mishe mishe nyingine za kiofisi, na ukiwa hapo uhamiaji basi ni lazima uwe rafiki wa Wadosi, utashangaa hao wote watakaopata hizo nafasi baada ya miezi 3 tu kila mtu ana gari lake.Hivi hiyo ni mishahara au posho?
Bora kuuza mapanki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!