Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
- Thread starter
- #21
Nadhani target isiwe polisi tuu, tunaweza kufanya mengine zaidi, watuhakikishie kuwa wanahitaji msaada huo. Yani hata baadhi ya madude ya wakubwa wanaokamua rushwa kubwa zaidi kuna proof za videos ambazo watu wanashindwa nani wamwamini na kumkabidhi, na ukimkabidhi usalama wako utakuwaje!Kipindi cha ITV kuhusu ripoti barabaran kilichorushwa kwa ustadi mkubwa kimeweka mambo wazi na SAIDI Mwema amakubali kwamba matrafiki wanakula rushwa kwa kwenda mbele utafikiri kiama imefika. Serikali sasa inaweza kuchukua mbinu hiyo kuwanasa maaskari wengine wala rushwa. Maaskari walionyeshwa wakipokea rushwa wanaweza kufukuzwa kazi, je wale waliotoa rushwa watachukuliwa hatua gani? Na Je Jerry Muro aliyerekodi maovu hayo kwa ugunduzi huo na kazi nzuri atapewa zawadi gani?
Nice move from Jerry, ni mwanzo mzuri, asiishie huko tu!