MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 350
Habar zenyu wanathnker ninawatakia her ya pasaka na pole sana kwa uchovu wa jana japo pia leo bidae kama kawaida tunaendelea na dubai. Jana katka matembezi ya hapa na pale nikaingia ndan ya gal nikakutana na wadada au warembo wawil katika maongez yao mmoja alikuwa na cmu akapigiwa akaongea akamaliza aliekuwa naongea nae alikuwa ni jamaa wake mara baada ya kumaliza akaanza kuongea kwa saut kias kwamba gal zima lilishndwa kumuelewa. Alikuwa anamueleza mwenzie kuwa kila akipiga simu jamaa yake lazima amuulizie mdogo wake wa kike au kama yupo nae karbu atamlazimisha ampesimu aongee nae. Je anasema mbona hamuelewi na aliwah kumuuliza jamaa anasema anampenda shemu wake. Kidogo ilanishtua kila akipiga cmu lazma amuulizie je wanathnker hii ipo sawa ukiwa na mahusiano na mtu akawa anamuulizia nduguyo kila wakat ni sawa?