Kaz kwel kwel mbona mwanaume huyu haeleweki?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Habar zenyu wanathnker ninawatakia her ya pasaka na pole sana kwa uchovu wa jana japo pia leo bidae kama kawaida tunaendelea na dubai. Jana katka matembezi ya hapa na pale nikaingia ndan ya gal nikakutana na wadada au warembo wawil katika maongez yao mmoja alikuwa na cmu akapigiwa akaongea akamaliza aliekuwa naongea nae alikuwa ni jamaa wake mara baada ya kumaliza akaanza kuongea kwa saut kias kwamba gal zima lilishndwa kumuelewa. Alikuwa anamueleza mwenzie kuwa kila akipiga simu jamaa yake lazima amuulizie mdogo wake wa kike au kama yupo nae karbu atamlazimisha ampesimu aongee nae. Je anasema mbona hamuelewi na aliwah kumuuliza jamaa anasema anampenda shemu wake. Kidogo ilanishtua kila akipiga cmu lazma amuulizie je wanathnker hii ipo sawa ukiwa na mahusiano na mtu akawa anamuulizia nduguyo kila wakat ni sawa?
 
sijaona ubaya, si amependa boga bwana kwa nn maganda asiyapende?
she's only insecure.

sawa anampenda ndo awe anamuulizia kila saa nduguye mbona hamuulizii mama yake au kaka yake ndo mdogo wake kila wakat hata wewe hyo hailet picha nzur lazma na wewe ufikirie
 
ukicheka na inzi....utaumwa kipindupindu ndugu yangu....kuna''agenda ya siri hapo.
 
Wanawake wengine wana Nongwa sana, mfano huyo jamaa angemchukia shem wake pia huyo dada angechonga.
 
We Murefu kila siku na hadithi za watu??Nwy sioni ubaya wowote maana hata mimi nilikua nauliziwa na shem wangu ila sio kwasababu ananitamani!Ni strategy ya kumpenda na kua karibu na kipenzi cha mwandani wako..that is kama dada anampenda mdogo wake sana!Inamtengenezea mwanaume mazingirga ambayo hata siku wakigombana anajua atamtumia nani kumbembelezea mwenzake na kumwombea msamaha!Nnachojua ni kwamba wadada hua wanapenda na kufurahia hali hiyo ila kama huyo ana wasiwasi basi hajiamini!Kazi anayo.
 
mapenzi= wivu+ wivu
huyo dada si mlaumu ana wivu na mpenzi wake
na kitu kizuri na chakawaida ( usizidi lakini)

daah sababu ambazo nafikiri ni hizi
1. huyo kaka kweli anamtaka mdogo mtu
2. anataka kuona reaction ya Girlfriend wake
3.kachokana na G/F wake anatafuta sababu ambazo
zitamrahisisha kucheza mbele
4. masifa tu ...
 
mapenzi= wivu+ wivu
huyo dada si mlaumu ana wivu na mpenzi wake
na kitu kizuri na chakawaida ( usizidi lakini)

daah sababu ambazo nafikiri ni hizi
1. huyo kaka kweli anamtaka mdogo mtu
2. anataka kuona reaction ya Girlfriend wake
3.kachokana na G/F wake anatafuta sababu ambazo
zitamrahisisha kucheza mbele
4. masifa tu ...
Nampenda lizzy kweli naomba niongee nae kwenye simu kama yuko karibu
 
Ukikaa bar unasikiliza meza ya jirani hata na kwenye daladala pia unafuatilia hayo? murefuuuuu hiyo ni tabia ya watu wasiojiamini anataka kuongea na mtu jirani na mpenzi wake ili apate uhakika fulani, ila ni utumwa tu sababu mtu akitaka kufanya uhuni hata mbele yako anafanya tu
 
Aaahaa jamani nataka kuongea nae kidoncho tu.

mmmhhhh
ukweli ni kwamba I trust you
and i trust my sister too
siwezi amini waweza fanya jambo lolote
litakalovunja familia yangu ambayo labda itakuwa yako baada..
kumbuka trust is like a virginity you can only brake it once...
 
mmmhhhh
ukweli ni kwamba I trust you
and i trust my sister too
siwezi amini waweza fanya jambo lolote
litakalovunja familia yangu ambayo labda itakuwa yako baada..
kumbuka trust is like a virginity you can only brake it once...
Deal agreed.
 
Wanawake wengine wana Nongwa sana, mfano huyo jamaa angemchukia shem wake pia huyo dada angechonga.

sawa angemaind ila iweje huwe unamzungumzia nduguye 2uu mana hata kama wewe ungekuwa unaish na demu wako alafu kila saa akiongea na wewe anamzungumzia mdogo wako wa kiume wewe ungemuelewaje hebu fikiria sawasawa
 
mapenzi= wivu+ wivu
huyo dada si mlaumu ana wivu na mpenzi wake
na kitu kizuri na chakawaida ( usizidi lakini)

daah sababu ambazo nafikiri ni hizi
1. huyo kaka kweli anamtaka mdogo mtu
2. anataka kuona reaction ya Girlfriend wake
3.kachokana na G/F wake anatafuta sababu ambazo
zitamrahisisha kucheza mbele
4. masifa tu ...

dah! Kaz kwel kwel sasa unajua nini kuna ukaribu na ukaribuuu sasa naona huyu shem wake m2 anataka kutoka kwny ushem mpk upenz shem mana mh? We kila saa m2 anakuulizia hebu chukulia ndo wewe na mdogo wako au kaka yako utafanyeje?
 
Lizzy tatizo co napenda kusikiliza au kufuatilia ya wa2 bal stor zenyewe zinanifuata co ninazifuata zenyewe zinanifuata. Okay wewe hebu chukulia jamaa yako anakuwa anamuulizia dada yako au mdogo wako wa kike kila unapoongea nae je wewe utajisikiaje wewe kama wewe utajisikiaje mh! Et lizzy?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom