Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Wanaume wengine hutoa kila kisingizio na kisababu cha kutotaka kutumia kondom
Mara kadhaa atasema:
"
muafikiane mapema, hata kabla hamjaanza kwani huenda kajisahau mkiwa katika lindi la nyege!
JAMANI VIDUME TUANGALIE SANA NA HIZI KAULI
"
- Ninataka kuwa karibu nawe zaidi mpenzi! Nakupenda sana! kwani wewe hunipendi?" ...
- "kufanya mapenzi na kondom ni kama kula peremende na karatasi yake!"...
- "Kwa mara moja tu, basi tufanye leo kesho tutatafuta hizo kondom" ...na kadhalika
muafikiane mapema, hata kabla hamjaanza kwani huenda kajisahau mkiwa katika lindi la nyege!
JAMANI VIDUME TUANGALIE SANA NA HIZI KAULI