Kauli za wanaume wanapozikataa condoms wakati wanakutana na wapenzi wao

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
Wanaume wengine hutoa kila kisingizio na kisababu cha kutotaka kutumia kondom … Mara kadhaa atasema:

"
  1. Ninataka kuwa karibu nawe zaidi mpenzi! Nakupenda sana! kwani wewe hunipendi?" ...
  2. "kufanya mapenzi na kondom ni kama kula peremende na karatasi yake!"...
  3. "Kwa mara moja tu, basi tufanye leo kesho tutatafuta hizo kondom" ...na kadhalika

muafikiane mapema, hata kabla hamjaanza kwani huenda kajisahau mkiwa katika lindi la nyege!

JAMANI VIDUME TUANGALIE SANA NA HIZI KAULI
 
Mbona mnawalaumu sana akina baba?

Umeambiwa kuwa wadada saa zote hupenda condom?

Hii thread ipelekwe ktk Mapenzi
 
  1. Is this a suicide pact or?
 
Mods hii thread sio mahala pake ni kuleeee mambo ya mapenzi na uhusiano.
 
zile condom za sultan zilikuwa na allergy kweli......baada ya kitendo sehemu za siri zinawasha kweli kweli......

hahahaha,kwi kwi kwi.
Duh si mchezo nimewahi msikia mwanamke ananiambia ana allergy na maji duh nilichoka yeye ni bia tu.
Kweli tutakwisha tatizo hii kitu ipo pale pale tunapo penda wengi.
 
Mbona mnawalaumu sana akina baba?

Umeambiwa kuwa wadada saa zote hupenda condom?

Hii thread ipelekwe ktk Mapenzi
...:D nature inatufundisha hivi...

---Quote---
Women exposed to their partner's semen during sex may find themselves
feeling happier than those who use a condom, say scientists.
Scientists in the US believe the mood-altering hormones in semen
absorbed through the vagina help to boost women's mood.

Semen contains a range of hormones, including testosterone and
oestrogen, both of which have been shown to improve mood. BBC NEWS |
Health | Semen 'makes women happy'
Hii ni sababu kubwa ambayo itapelekea condom isitumike,kama hutomlidhisha mpenzi wako unategemea nini?Obvious akipata mjanja anayejua jinsi ya kumlidhisha ndiyo usikilizie maumivu ktk mahusiano yenu.
 
Kwa uzefu wangu wanawake ndio huwa hawapendi kutumia condoms mara nyingi....eti zinazuia kukunwa vizuri huko ndani!
 
Wanaume wengine hutoa kila kisingizio na kisababu cha kutotaka kutumia kondom … Mara kadhaa atasema:

"
  1. Ninataka kuwa karibu nawe zaidi mpenzi! Nakupenda sana! kwani wewe hunipendi?" ...
  2. "kufanya mapenzi na kondom ni kama kula peremende na karatasi yake!"...
  3. "Kwa mara moja tu, basi tufanye leo kesho tutatafuta hizo kondom" ...na kadhalika

muafikiane mapema, hata kabla hamjaanza kwani huenda kajisahau mkiwa katika lindi la nyege!

JAMANI VIDUME TUANGALIE SANA NA HIZI KAULI

Expert?????????????
Some prefer real test....at that time always men fails to think properly
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom