MJJ
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 313
- 256
Wakuu MsemajiUkweli na jingalao, kiukweli tunatofautiana sana humu jf katika uwezo wa kusoma bandiko na kiwango cha uelewa wa kuelewa bandiko halisi lina maana gani!, yaani kama kitu simple hivi na straight forward imeshindwa kumwelewa BAK, vitu vigumu itakuwaje?!.
Rais ndio mkuu wa nchi, with all info tips from "his" reliable "sources" ziko at his finger tips!, hivyo he is expected to be the one and only who should have known better than anybody else!, sasa inapotokea mkuu wa nchi anajitokeza kwenye public ya watu au kadamnasi ya watu na kuanza kutoa kauli za guess work, kama hizi,
hamuoni kuwa ni tatizo?!. If rais wa nchi is unsure about allegation ya ufisadi kwenye taasisi nyeti kama jeshi la polisi!, then who will be sure?!, kiukweli we have a serious problem here!, nyie endeleeni tuu kumuimbia nyimbo za sifa na mapambio mwisho wa siku ndipo mtakapogundua kumbe he is not only a dictator, but also a comedian!, kama tunachotaka ni comedy, tutapata!.
Tangu mwanzo kuna kina sisi ambao we don't believe in one man show za hizi comedy, tunataka a change in systems!, tukitaaji rais wetu kama mkuu wa nchi to be perfect!, akipata tip ya ufisadi polisi, kabla hatatamka lolote, ajiridhishe kwanza what is it exactly!, watu wameiba bilioni 20, 40 au 60, ni kina nani, na ni kiasi gani?!, hii ya "eti nimesikia, kuna watu!, wamekwapua eti sijui ni bilioni 20, 40, 60, etc, atuachie sisi wa jf tusio na source, lakini yeye mwenye all the sources hana haja ya kuharakisha!, anaharakishia nini kama hii
Magufuli: Kuna mtu alikuwa anahamisha kati ya Tsh milioni 7-8 kila dakika...
ikaja kutokezea jumla ya fedha zote kwa miaka yote hazifiki hata bilioni 100!.
Hapa kazi tuu, tunataka kazi kweli kwenye changing the systems, mifumo, na sio ze comedy za one man show!.
Pasco
Aliposema kila dakika iliibwa milioni 6-7 alikwambia huyo mtu ameanza kuiba siku gani hadi anakamatwa? Watu wengine mnamatatizo ya kujiuliza na kujijibu hapo hapo.
Ni vema ungeuliza huyo mtu alianza kuiba kwa njia hiyo kuanzia lini na alisitisha wizi wake baada ya nini na muda gani alitumia katika kuiba hiyo pesa kila dakika.
Kama kuna watu unalalamika kuwa kazi yao nikuimba mapambio kila kitu na mwisho wa siku unasema wataona! Kimbuka kuna akina wewe ambao kila kitu ni wapingaji mwisho mtaona.
Kwa kweli Watanzania wengi tumekuwa watu wa kulalamika tu na kila mtu anataka tufuate yake. Kuna mtu hapo kaandika lugha mbili sijui anamaanisha nini Mswahili asiyejua kimaliki hata elewa na mmalikia hata elewa labda wale wahuni waliokuwa USA wanabeba mabox waliohamia bongo na kukosa kazi kutwa kucha wapo kwenye mitandao.