Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

great thinkers
no research, no right to speak.
Tafakari kbala ya kutenda.
Hizi ni fact au chuki binafsi kwa jk
wacheni kumsakama jk bila ya kuwa fact

angekufa mkeo na mwanao naona hii point uliyoandika hapa ingekuwa na maana, otherwise ni upupu na kibaya zaidi rais wako anacheka cheka tu na watendaji wake, very weak Mr President - YES.
 
Hana uchungu huyo ndio maana anaongea hivyo
 
Kuna msafara umepita na inasemekana ni wa JK.

walioko huko watupe ishu.

Hapo kaenda kuzuga tu. Akitoka hapo atasema ni ajili na ajali hutokea bahati mbaya pasipo wahusika kutegemea. Na baada ya kauli hizo mtamsikia kwenye ziara zake za kusukuma muda pale anapokuwa hana ziara ya nje ya nchi.
 
angekufa mkeo na mwanao naona hii point uliyoandika hapa ingekuwa na maana, otherwise ni upupu na kibaya zaidi rais wako anacheka cheka tu na watendaji wake, very weak Mr President - YES.

kweli hana uchungu wala huruma kwa watanzania wenzake mpuuzi huyo
 
Mimi binafsi sijapendezwa na maelezo ya JK akiwa kwenye eneo ka gongo laboto kwa yeye kutamka hewani na akijua yeye ni amiri jeshi mkuu kuwa maghala ya silaa yaliyolipuka ndio yalikuwa makubwa kuliko yote
habari yake Kama ni ya kweli naona kuwa tayari kishalidhoofisha jeshi letu kwa kuanika nguvu ya jeshi Hilo hewani na kuwatangazia maadui kuwa majeshi ya tz nguvu Yao iko gongo lamboto? Huyu kiongozi ni wa namna gani jamani.? Mambo ya usalama wa watanzania anaweka hadharani lakini mambo ya muhimu ambayo watanz wanataka kuyajua anakuwa Kama hayuko anaficha kwanini ? Kweli tunae kazi Mungu Atusaidie.
 
amesema musisikilize redio-mbao.
 
Ulitegemea nini? angekuwa wa viwango zaidi ya hivyo haya yasingetokea.
 
Mimi binafsi sijapendezwa na maelezo ya JK akiwa kwenye eneo ka gongo laboto kwa yeye kutamka hewani na akijua yeye ni amiri jeshi mkuu kuwa maghala ya silaa yaliyolipuka ndio yalikuwa makubwa kuliko yote
habari yake Kama ni ya kweli naona kuwa tayari kishalidhoofisha jeshi letu kwa kuanika nguvu ya jeshi Hilo hewani na kuwatangazia maadui kuwa majeshi ya tz nguvu Yao iko gongo lamboto? Huyu kiongozi ni wa namna gani jamani.? Mambo ya usalama wa watanzania anaweka hadharani lakini mambo ya muhimu ambayo watanz wanataka kuyajua anakuwa Kama hayuko anaficha kwanini ? Kweli tunae kazi Mungu Atusaidie.

Umeshaonyesha shaka ya maneno yake sasa why bothered with the rest of what he said
 
Mimi binafsi sijapendezwa na maelezo ya JK akiwa kwenye eneo ka gongo laboto kwa yeye kutamka hewani na akijua yeye ni amiri jeshi mkuu kuwa maghala ya silaa yaliyolipuka ndio yalikuwa makubwa kuliko yote
habari yake Kama ni ya kweli naona kuwa tayari kishalidhoofisha jeshi letu kwa kuanika nguvu ya jeshi Hilo hewani na kuwatangazia maadui kuwa majeshi ya tz nguvu Yao iko gongo lamboto? Huyu kiongozi ni wa namna gani jamani.? Mambo ya usalama wa watanzania anaweka hadharani lakini mambo ya muhimu ambayo watanz wanataka kuyajua anakuwa Kama hayuko anaficha kwanini ? Kweli tunae kazi Mungu Atusaidie.

Yapi mengine ya usalama makubwa aliweka hadharani mkuu?
 
pole kwa wafiwa na waathirika wengine!ni msiba mkuu

lakini kwa tetesi zote tunazozisikia za uzembe wa hali ya juu katika hili,na mambo yote waliyoyafanya hawa wakulu wa jeshi kwenye mchakato wa process ya uchaguzi,maana wanajua walichofanya...

Mnategemea kuwajibishana hapo!??????????????

Na mungu atunusuru na kambi na mabomu hapa kwingine dar!Ameeen
 
Mimi binafsi sijapendezwa na maelezo ya JK akiwa kwenye eneo ka gongo laboto kwa yeye kutamka hewani na akijua yeye ni amiri jeshi mkuu kuwa maghala ya silaa yaliyolipuka ndio yalikuwa makubwa kuliko yote
habari yake Kama ni ya kweli naona kuwa tayari kishalidhoofisha jeshi letu kwa kuanika nguvu ya jeshi Hilo hewani na kuwatangazia maadui kuwa majeshi ya tz nguvu Yao iko gongo lamboto? Huyu kiongozi ni wa namna gani jamani.? Mambo ya usalama wa watanzania anaweka hadharani lakini mambo ya muhimu ambayo watanz wanataka kuyajua anakuwa Kama hayuko anaficha kwanini ? Kweli tunae kazi Mungu Atusaidie.

Maadui gani hao.
Haya mambo ya siri ndio yanafanya jeshi kuwa kichka cha Ufisadi.

Maadui tishio wa tazania ni wanasiasa na maamuzi yaoya ajabu ajabu.

Usisangae hata ukifanya simple security and threat analysis kwa taifa la tanzania RA, JK, Lowasa, CCM ndio maadui wanaongoza kuliko hata Uganda ,kenya ,etc

Usiwe na ksumba kuwa lazima mambo yote ya jeshiyawe siri. hata majeshi yaliyoendelea huwa yanato taarifa fulani fulani kwa umma.

Sababu wamefanya madudu sasa watu tutauliza na tutataka kujua
- hayo maboumu yaliyolipuka ni ya aina gani
-Yalinunuliwa lini?
-Uchunguzi au Auditing ndani ya jeshi juu ya uhifadhi na maghala ha hayo mabomu wake mara ya mwisho umefanyika nini?
- Wakisema ni accident na si uzembe basi tunashauri wadai fidia kwa watengezaji
 
nani ataivamia Tanzania? hata aseme hatuna hata ghala moja nchi gani hii mpaka ivamiwe? Kwanza wakazi wa Gongoolamboto poleni sana, pili kama ulimsikiliza mkampigia makofi kwa ujumbe wake huo kazi mnayo - sijui sisi tuwasaidije kwa hilo.

Kama bado mnasikiliza na kupigia makofi kauli za kisiasa kwa kweli shughuli ipo, kumbukeni wenzenu wa mbagala yaliyowakuta na hadi leo wengine hawajalipwa wanachostahili.
 
Back
Top Bottom