Kauli ya JK Kuipongeza Marekani kufuatia kifo cha Osama yaja?

Mwanakijiji Hivi mnajua Osama alikana mara 3, kuwa hakuhusika na 9/11? USA ikabidi tu watengeneze target wa kumtwisha mzigo huu. Anyway tuta debate kirefu sana kitu hili.
Back to topic!

Kauli na body language ya Kikwete vili ni confuse hadi basi. Nilibaki natafakari kwa mda sana bila kuewlewa. Kama kuna mtu anaweza post clip ile naomba aweke.

Kwanza haikua planned announcement, ni swala la BY THE WAY!!
Pili it was hardly a stern statement from a leader whose country was allegedly targeted by this "master mind." Compare his statement with that of Mwai Kibaki. Huyu jamaa mzima kweli au ana regress?

Yani niliona mtu ambaye yuko confused between emotions zake as an individual and what he needs to say and potray as the leader of Tanzania, a country apparently dirtectly affected by Osama. Ni heri angekaa kimya. Au intelligensia yetu anayoiamini sana imemwambia Osama wasn't involved in TZ bombings!?
 
Baada ya uchaguzi wa marekani utaskia eti aliekufa sie osama lkn walifanana tu. Kaazi kweli kweli
 
Nimejaribu kufuatilia mlolongo mzima wa mauaji/kuuwawa kwa Osama sambamba na pongezi zilizotolewa na viongozi wetu lakini bado nimekuwa nikishindwa kuelewa hivi mambo kadhaa wa kadhaa mfano.

1. Hivi Osama amekufa mara ngapi?
2. Kama kweli ameuliwa na tumemsikia Obama akisema "mwili wake tunao" inawezekana kweli wasionyeshe mwili wake na mzike kimya kimya?
3. Ikiwa Obama alisema Osama atazikwa within 24 hours kwa taratibu za dini yake je Osama ni dini gani inayozika waumini wao baharini?

Nafikiria lakini sipati jawabu naona ni bora niache kufikiria maana nafika mbali kiasi naweza kutatizika nafikiria pengine........

1. Obama amelose popularity na hii habari inaweza kumpandisha chati kisiasa.
2. Wamarekani wanatafuta mlango wa kutokea Afghanistani na inawabidi watengeneze storyya kuwa yule aliesababisha wao kuingia huko ameshakufa ya nini waendelee kukaa huko.
3. Wanahisi vita haitaisha kirahisi hasa kuzingatia ni majuzi tu wafungwa wanaoaminika ni wafuasi wa Talibani waliweza ku break na kufanikiwa kutokomea kusikojulikana hii ikiwa na maana jeshi la Talibani litakuwa lime gain.

Ni bora niache kufikiria nisije kuwa chizi nikijikite kwenye matatizo yetu yanayotukabili.

Osama Shot Down Video - Welcome | Facebook

mtasema yote, but the guy is no more. mlitaka oeneshwe ili raia wa marekani wauwane? mlitaka azikwe nchi kavu ili wafuasi wake wageuze kaburi lake mahala pa kuabudia? mlitaka wamarekani wamuoneshe ili iweje? mnafikiri osama kauwawa na mgambo? do u know what CIA is all about?

kwa taarifa yenu ni kwamba kauli ya awali ya obama inabaki kama ilivyo 'they have took custody of his body'. wanaume wanae. wamtupe baharini ili iweje?
 
Yeye Osama alipopeleka yale mandege na kuwatoa roho watu elfu tatu kwa ghafla kwanini hakwenda mahakamani? Kwanini hakufungua mashtaka ili ajitokeze na kudoa madai yake? Osama hakuwa na madai yoyote ya msingi. Waliokuwa na madai ya kweli tumewaona Tahrir Square, tumewaona Tunisia na tunaendelea kuwaona katika nchi za Kiarabu ambapo Waislamu wameamka dhidi ya serikali zao. Osama alikuwa wapi?

http://www.youtube.com/watch?v=ezIU6ZxYU3A&feature=related

http://www.youtube.com/watch?v=yh7pOrRr_3o&feature=related

Free Online Videos Establish Proof of 9/11 Inside Job
 
Nimejaribu kufuatilia mlolongo mzima wa mauaji/kuuwawa.

1. Hivi Osama amekufa mara ngapi?
2. Kama kweli ameuliwa na tumemsikia Obama akisema "mwili wake tunao" inawezekana kweli wasionyeshe mwili wake na mzike kimya kimya?
3. Ikiwa Obama alisema Osama atazikwa within 24 hours kwa taratibu za dini yake je Osama ni dini gani inayozika waumini wao baharini?

1. Obama amelose popularity na hii habari inaweza kumpandisha chati kisiasa.
2. Wamarekani wanatafuta mlango wa kutokea Afghanistani na inawabidi watengeneze storyya kuwa yule aliesababisha wao kuingia huko ameshakufa ya nini waendelee kukaa huko.
3. Wanahisi vita haitaisha kirahisi hasa kuzingatia ni majuzi tu wafungwa wanaoaminika ni wafuasi wa Talibani waliweza ku break na kufanikiwa kutokomea kusikojulikana hii ikiwa na maana jeshi la Talibani.

Ni bora niache kufikiria nisije kuwa chizi nikijikite kwenye matatizo yetu yanayotu

Kuna aina ya fikra imezuka siku hizi inaitwa conspiracy theory, hii imewafanaya watu wasiweze kufikiri na kuamini hata kama jambo ni kweli au sikweli. Wapo wanaoamini sep 11 hakuna ndege zilizopiga majengo hata kama ushahidi wa upo. Wapo wanaosema marekani haikufika katika mwezi,lakini hawajiulizi imekuwaje wamefika katika mars, n.k
Wakati mwingine watu wanachuki tu na kuziundia theory ziwe kweli.

Alipouawa Al zaqawi kuna watu walikataa kuamini hata pale picha ilipotolewa hadharani, wakisema imetengenezwa hollywood. Ndugu wa marehemu wakajitokeza hadithi ikaishia hapo. Lakini ubiishi ulikuwa third world zaidi kuliko Jordan au Iraq.
Osama haijawahi kutangazwa kuwa kauawa, bali imewahi kutangazwa amefariki kwasababu ya ukimya. Akajitokeza katika mikanda na tetesi zikaisha. Mwezi uliopita alitoa video ambayo wataalamu wanathibitisha kuwa ilikuwa ni yake.

Kujulikana alipo lilikuwa suala la muda mrefu , na waliotoa baadhi ya habari ni washirika wake waliokamatwa na wengine insiders. Hata hivyo hakukuwa na uhakika 100 %kuwa Obama aliishi katika nyumba ile.
Kulikuwa na mashauriano endapo nyumba ibomolewe auawe, au akamatwe au auawe on the spot.
Hoja ya kwanza, nyumba ikibomolewa bado hakutakuwa na proof kuwa kauawa. Akikamatwa italeta tabu na kumpatia umaarufu zaidi.Jambo rahisi ni kumuua, lakini pia Osama hakuwa tayari kukamatwa. Aliwahi kumwambia mmjoa wa walinzi wake kuwa ikiwa hivyo basi ampige risasi kuliko kukamatwa na wamerekani.

Majirani wamethibitisha kuwa nyumba haikuwa ya kawaida, hata taka taka zilikuwa zinachomwa moto. Unajua ni kwanini??
Maiti ya aliyekuwa mkewe imethibitishwa na maafisa wa pakistan, na mmiliki wa nyumba aliyeuawa pia maiti zao zipo pakistan.
Kazikwa baharini na wataalamu wa mambo ya dini ya kiislam waliobobea wamethibitisha kuwepo utaratibu huo.
Je unaweza onyesha kaburi la Al zaqawi? Kumzika mahali panapojulikana kungehamasisha watu zaidi'inspire' na pengine kaburi lake lingekuwa mahali pa 'hija'.
Suala linabaki, je picha za matukio zitolewe hadharani? Ni lazima ieleweke kuwa Osama ana una ushawishi mkubwa sana kwahiyo kila jambo linalofanyika lazima liwe limeangaliwa vema na kwa usahihi kuepeuka 'back lash'

Hivi ni nani anaweza kuwa mkatoliki zaidi ya pope? Alqaida wenyewe wamekiri kuwa mzee amefariki na ameuawa, na sasa wanajiandaa kutoa mkanda wa video aliorekodi kabla. Hii hufanywa na wanajitoa mhanga kama tulivyoona London 7/7 n.k. Video hiyo ili rekodiwa iwe inspiration endapo ingetokea isivyotarajiwa. Sielewi kwanini mtanzania aone sivyo !

Oparesheni za kijeshi ni mambo yanatokea duniani, hata hapa uganda imetokea. Kwa nchi yenye utaalam mkubwa kama marekani, sijui kipi kitawazuia kufanya opereshi. Wanachoogopa ni political ramification kama iliyomkuta Jimmy Carter, na kama umeona the situation room pale white house usingekuwa na shaka.

Al qaida hawajahi kutangaza kifo cha Osama kabla, lakini sasa wamesema mzee wao hawanaye tena na wanajipanga, sasa kwanini mtanzania ubishe!
 
Napata shida kuchanganua mambo haya. kifupi kunahitajika taarifa na tafakari zaidi. siungi mkono ugaidi laini pia sipendi kushangilia kuuawa kwa mtu yeyote bila kupatiwa haki ya kujibu tuhuma zake

hakuna mahali ambapo imewahi kuthibitishwa kwmaba osama alifanya hayo nayaodaiwa kufanya. hata tangazo la FBi halisemi moj kwa moja kwmaba alihusika na mashambulizi ya septemba 11.2001.

nimeshangazwa sana na wamerakni kuonekana wakisherehekea mauaji ya obama, wanashangilia kuuawa kwa binadamu mwenzao.!. hawana tofauti kubwa na wanayemtuhumu kwa mauaji, tofauti yao ni kwamba yeye anauhumiwa lakini wao wamehusika na kukiri vile vile

nakumbuka maandiko ya mwanakijiji katika tukio la wakenya waliouawa kilimanjaro wakiwa katika gari aina ya suzuki escudo. alipinga hatua ya polisi wa tanzania kufanya mauaji ya watuhumiwa bila kufikishwa mahakamani. alipendekeza kuundwa kwa tume huru kuchunguza mauaji hayo. leo kwanini tubadilike?

kuna mambo mengi yanachanganya... hagtukuambiwa kuwa osama aliuawa desemba 13, 2001. kwanini iwe sasa?

Mkuu mbona "B" haiko karibu na "S" kwenye keyboard?
 
Ni wazi wazungu wanaogopa kufa ndio maana mtu mmoja amewahangaisha wazungu mill 100 huku wakitumia kila aina ya silaha za maangamizi kumsaka.
Imegharimu vifo vya watu million nchini Iraq, Pakistan na Afaganistan, Libya na hata suda kuwalinda wazungu na Osama.
hii inanifanya nianze kuona fahari kuwa mwafrika asiegopa kifo. kwani afrika kifo ni simple ishu tofauti na wazungu
 
mtasema yote, but the guy is no more. mlitaka oeneshwe ili raia wa marekani wauwane? mlitaka azikwe nchi kavu ili wafuasi wake wageuze kaburi lake mahala pa kuabudia? mlitaka wamarekani wamuoneshe ili iweje? mnafikiri osama kauwawa na mgambo? do u know what CIA is all about?

kwa taarifa yenu ni kwamba kauli ya awali ya obama inabaki kama ilivyo 'they have took custody of his body'. wanaume wanae. wamtupe baharini ili iweje?
Hivi huyo Osama dini wafuasi wake huwa wanaabudu makaburi eeh! Nilikuwa silijui ilo.

Kila nikisoma hivi visa vya US inavyocheza na media na watu wakaamini uwa nacheka sana...!

Kufa kila kiumbe kitakufa, hakuna atakaye bakia isipokuwa dhati yake Mwenyezi Mungu tu.

Serikali ya US ilipotaka kuivamia Iraq ilitangaza kuwa serkali ya Iraq ikiongozwa na Sadam Hussein ina uwezo wa kutengeneza na wanamiliki siraha za maangamizi... Tukaonyeshwa na picha za kuchorwa kwenye kompyuta...! Wengi wakaamini na wale waliopinga wakaonekana kuwa majuha wasio juha kitu, maana Marekani ndio kila kitu.

Wakavamia nchi, wakauwa wanawake na watoto, wazee kwa vilema...! Tukasubiri hizo siraha, tukaambiwa kuwa siraha hazikupatikana, ila walichotaka ni kumuondoa dikteta, walipobanwa zaidi wasema kuwa... Aaah tunawaletea demokrasia raiya wa Iraq, na kweli tunaiona demokrasia ya kuuwana na kutenganishwa baina yao.
 
Nimejaribu kufuatilia mlolongo mzima wa mauaji/kuuwawa kwa Osama sambamba na pongezi zilizotolewa na viongozi wetu lakini bado nimekuwa nikishindwa kuelewa hivi mambo kadhaa wa kadhaa mfano.

1. Hivi Osama amekufa mara ngapi?
2. Kama kweli ameuliwa na tumemsikia Obama akisema "mwili wake tunao" inawezekana kweli wasionyeshe mwili wake na mzike kimya kimya?
3. Ikiwa Obama alisema Osama atazikwa within 24 hours kwa taratibu za dini yake je Osama ni dini gani inayozika waumini wao baharini?

Nafikiria lakini sipati jawabu naona ni bora niache kufikiria maana nafika mbali kiasi naweza kutatizika nafikiria pengine........

1. Obama amelose popularity na hii habari inaweza kumpandisha chati kisiasa.
2. Wamarekani wanatafuta mlango wa kutokea Afghanistani na inawabidi watengeneze storyya kuwa yule aliesababisha wao kuingia huko ameshakufa ya nini waendelee kukaa huko.
3. Wanahisi vita haitaisha kirahisi hasa kuzingatia ni majuzi tu wafungwa wanaoaminika ni wafuasi wa Talibani waliweza ku break na kufanikiwa kutokomea kusikojulikana hii ikiwa na maana jeshi la Talibani litakuwa lime gain.

Ni bora niache kufikiria nisije kuwa chizi nikijikite kwenye matatizo yetu yanayotukabili.

Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More

(1) Ni kweli kaka inachanganya sana kuhusu kifo cha Osama; afe mara ngapi? Lakini ukifuatilia taarifa mbali mbali za nyuma kuhusu "vifo" vya Osama vilikuwa vinavumishwa na wafuasi wake kwa malengo maalumu. Sidhani kama Marekani iliwahi kukubali kwamba Osama kafa hadi juzi walipothibitisha hivyo. Kwa hiyo wa kukuchanganya katika hili ni hao wafuasi wake na kwa uvumi ukanda huo haujambo; ni kama mila na desturi kwao kuvumisha mambo tangu mababu na mababu wa mababu zao; fuatilia kwa makini hata siasa za huko, uvumi na uongo ni jadi.

(2) Waoneshe mwili wake wa nini? Si watu wangeandama duniani kote? Nadhani Marekani walivyofanya wako sahihi, vingenevyo yangezuka madai ya kudhalilisha maiti tena ukizingatia nafasi aliyokuwa nayo Osama katika jamii.

(3) Marekani imeshasema kwamba ilikuwa vigumu kupata nchi ambayo ingekubali kumzika Osama na ukizingatia ilitakiwa iwe ndani ya saa 24 hivyo suluhisho pekee, nionavyo mimi, ilikuwa kufanya walivyofanya. Lakini habari njema ni kwamba hawakuutupa mwili baharini ila waliuzika.

Hivi kama Osama hakuweza kutenda haki kwa maelfu ya binadamu waliouwawa kwa vitendo vyake na wengi wetu pengine hatujali sana juu juu ya vifo hivyo, yeye ni nani hasa hata tusikitikie kifo chake. Sidhani kama Osama ana thamani kuliko binadamu wengine aliowauwa.

Heri yeye angalau maiti yake imeonekana, lakini baadhi ya aliowauwa wamepotelea kusikojulikana hata leo.
 
Watanzania waliokufamwaka 98 pale US Embassy hawana dhamani mbele ya watawala wetu ndio maana kwao siyo big deal Osama kuuwawa. Hawatasema chochote official!
 
Nilichokuwa nahofia ndiyo hicho tena.. yaani CCM wanatabirika kupita kiasi:

By DAILY NEWS Reporter and Agencies, 3rd May 2011 @ 12:00

THE government has called on people to remain vigilant and take all precautionary measures against any possible terrorist attack in the face of the death of Osama Bin Laden.

Bin Laden, 54, founder and leader of al-Qaeda, was shot dead by US forces on Sunday in the Pakistani city of Abbottabad. US officials say the compound in Abbottabad is just a few hundred metres from the Pakistan Military Academy.

A statement issued on Tuesday through the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation noted that Tanzanians should be vigilant in order to create a safety environment for the country and the world at large.

The statement further said that the death of Osama was another lesson that a criminal can always run but never hide.

On Monday, President Jakaya Kikwete also described the death of bin Laden as ‘a relief' since al Qaeda, a terror group he lead, was responsible for simultaneous bombings in the 1998 of US embassies in Dar es Salaam and Nairobi.

Osama bin Laden's death has been confirmed by DNA tests that show a "virtually ‘100' per cent match with the al Qaeda leader, US security officials revealed.

He is believed to have ordered the attacks on New York and Washington on 11 September 2001, as well as a number of other deadly bombings in other parts of the world.

Officials say bin Laden was shot above his left eye, blowing away a section of his skull and was also shot in the chest.

The Saudi exile had been the world's most wanted man since the September 11, 2001, attacks on New York and Washington that killed nearly 3,000 people.

News of his death, announced by President Barack Obama shortly before midnight Sunday Eastern time, drew cheering crowds to the streets of New York and the gates of the White House.

"A small team of Americans carried out the operation with extraordinary courage and capability. No Americans were harmed. They took care to avoid civilian casualties," he said. "After a firefight, they killed Osama bin Laden and took custody of his body," said President Obama.

Some analysts think that the death of bin Laden will have a huge psychological impact on members of the al –Qaeda terrorist organization.
 
endelea kucheka mkuu.

osama is no more! ukipenda meza; ukitaka tema. shauri yako!!!
Ah ah ah ah ah ah ah... Kufa kwake akunipunguzii wala kuniongezea chochote kwenye maisha yangu ya kila siku...! Hiyo ni juu yao na watu wao wanaopenda na kuamini media drama, mimi hainishughulishi kwa kweli. Kwa sababu tangia mwanzo sikuweza kuwaamini kuwepo kwake huyo Osama, sasa sijui hiyo meza na kutema inakujaje hapa.

Kicheko kinaendelea....! kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi koh ko koh koh.... mgh!
 
Katika hili la ulimwengu kujipa unafuu na ugaidi kwa kupisha kule Osama, tusije tukasikia Mufti wa Tanzania tena kaitisha maandamano toka Kinondoni kwa Manyanya (Mahakama ya Simu za Mikononi) kwenda viwanja vya Biafra.

Kama miguu itakua inawasha kwenda kuandamania mambo ya nje wakati Watanzania 98 walipochinjwa pale ubalozi wa Marekani hatukuona maandamano yoyote ile, basi itakua ni vema wakavute subira kidogo kwa Viji-Osama vya hapa hapa nchini nao lao si mbali sana waje wakaliandamanie hapo baadaye kidogo!!!

Watanzania waliokufamwaka 98 pale US Embassy hawana dhamani mbele ya watawala wetu ndio maana kwao siyo big deal Osama kuuwawa. Hawatasema chochote official!
 
Katika hili la ulimwengu kujipa unafuu na ugaidi kwa kupisha kule Osama, tusije tukasikia Mufti wa Tanzania tena kaitisha maandamano toka Kinondoni kwa Manyanya (Mahakama ya Simu za Mikononi) kwenda viwanja vya Biafra.

Kama miguu itakua inawasha kwenda kuandamania mambo ya nje wakati Watanzania 98 walipochinjwa pale ubalozi wa Marekani hatukuona maandamano yoyote ile, basi itakua ni vema wakavute subira kidogo kwa Viji-Osama vya hapa hapa nchini nao lao si mbali sana waje wakaliandamanie hapo baadaye kidogo!!!
Hivi waislaam wamewakosea nini nyie Wakristu kiasi kwamba hamna hata adabu na viongozi wetu. Mbona kuna kina Carlos magaidi waliotingisha dunia nzima na hatusemi kuhusika kwao na kanisa au Kardinali ila tu inapokuwa muislaam basi shida hatuhemi..Na kwa uhakika Hitler aliua kwa kutumia jina la dini na hakuna mtu anamhusisha nba kanisa ila nyie tu kila kitu waislaam hivi waislaam vile kisha ati mnajisifu mmesoma.. ama kweli shule za kata kiboko..
 
Mwanakijiji anadai eti kwa nini Osama, hakujisalimisha Ubalozini, au afungue mashitaka ya kujisafisha!!, lol haya makubwa!. JE KWA KUTOKUFANYA HAYO NDO USHAHIDI WA KUHUSIKA NA SEPTEMBER 11 ATTACKS?. hivi kutokufungua kesi dhidi ya madai fulani ndiyo ushahidi wa kwamba Umefanya?. Rule of Law iko wapi?, maana Obama alipoingia madarakani alisema japo marekani ipo katika vita dhidi ya Ugaidi lakini "itaremain true to its values", sasa values ni zipi "kuua watuhumiwa?". OSAMA WAS NOT GUILTY UNTIL PROVEN SO IN THE COURT OF JUSTICE.
 
Ni vizuri ungesoma tulikuwa tunazungumzia nini.. naona umerukia mwishoni.
 
Back
Top Bottom