Kauli serikali ya CCM ina maana gani? kwani tuna serikali ngapi Tanzania

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Nikiwasikia viongozi hasa mawaziri, wabunge wa ccm na watendaji wakuu wa serikali hutoa kauli hii SERIKALI YA CCM itafanya hili au imefanya hili nauliza Tanzania tuna serikali ngapi kutofautisha ni serikali gani inayofanya kazi sasa? Au kuna serikali ya Chadema pia inaongoza nchi
 
Back
Top Bottom