Kauli na maneno yaliyojipatia umaarufu mwaka 2015-2016

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
1,735
2,686
Salaam wana JF
Tukiwa tumeingia mwezi wa mwisho kuhitimisha mwaka huu, ebu tukumbushane kauli, misemo na maneno yaliyojipatia umaarufu mkubwa kwa awamu hii kuanzia mwaka kipindi cha kampeni mwaka.
Binafsi naanzia na neno ambalo nadhani lilijipatia umaarufu sana hasa mwaka jana;

KUKATWA.
 
[HASHTAG]#Hapa[/HASHTAG] kazi tu.
Ukuta.
Sijaribiwi.
Dai risiti.
goli la mkono.
.............
....
 
Back
Top Bottom