Kauli na maneno yaliyojipatia umaarufu mwaka 2015-2016

siiitaki mtu asuuumbue mamantilie, bodaboda ni rafiki yangu,, pipoz, pipoz,, ilani yetu mtasoma kwenye mtandao!! hapo kamanda ndo eti kamaliza kuhutubia maelfu ya watanzania waliodeki barabara wakakaa masaa 18 kumsubiri!! ila kusema kweli mwaka jana chama ambacho wengi wetu tulikiamini kwa muda mrefu kilituchezea mchezo wa hatari, wa kipuuzi halafu wa kishamba mnooo..
 
Back
Top Bottom