Kauli na maneno yaliyojipatia umaarufu mwaka 2015-2016

Salaam wana JF
Tukiwa tumeingia mwezi wa mwisho kuhitimisha mwaka huu, ebu tukumbushane kali na maneno yaliyojipatia umaarufu mkubwa kwa awamu hii kuanzia mwaka kipindi cha kampeni mwaka.
Binafsi naanzia na neno ambalo nadhani lilijipatia umaarufu sana hasa mwaka jana;

KUKATWA.
Kilaza
Prof Mihogo
 
Back
Top Bottom