Kauli kama hizi za CHADEMA zinapotosha watanzania na historia ya nchi kwa ujumla

kumbe na burundi wapo wana ccm,mana kwa lafidh yakiswahili chako utakua umetoka jana buyenzi au makamba,au bujumbura.

Usisikie uovu wowote usione uovu usijizalilishe wala kupiga kite na kulia.usiseme uovu ili usije ukayasikiya yakisemwa dhidi yako na usiyakuze makosa yawengine ili makosa yako mwenyewe yasije yakaonekanamakubwa zaidi na usimtakie fedheha mtu yeyote ili fedheha yako mwenyewe isifichuliwe ishi siku za maisha yako ambazo ni chache sana kwa akili isiyo na mawaa kwa moyo mkunjufu mawazo masafi na asili yako iliyotakasika
 
mkuu uanongea lugha gani maana sikupati kabisa,wadau nisaidieni!

Kwa unyoofu wa bwana! mmeumbwa kuonyeshana upendo kila mmoja kwa mwenzake na siyo kuonyesha upotofu na chuki wekeni mioyo yenu juu ya lolote litakaloletea upatano hakika maneno yaliyotelemswa kutoka mbinguni kwa amri ya mungu ni chanzo cha umoja na upatano kwa ulimwengu kupitia hayo maandiko nimekusamehe
 
CHADEMA siku za karibuni kimekuwa kikijinadi kwa nguvu sana juu ya kupambana na ufisadi,kinajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa wao ndio pekee wanaopigania dhidi ya ufisadi na wengine hawana mamlaka kabisa ya kupinga ufisadi,hata pale ccm walipotangaza kupambana na ufisadi wao walibeza hatua hiyo,sasa tuwaeleweje?? wengine wasishiriki katika kupinga ufisadi?<br />
kwanini historia ya nchi inapotoshwa?? kujinadi kwa CDM kwamba wao ndio walioanzisha hoja za ufisadi na kutamka hadharani majina hadharani ni kukana au kudharau juhudi za mwl NYERERE ambaye alipinga ufisadi kwa vitendo na ninaweza kusema ndio muasisi wa vita vya ufisadi hapa nchini kwahiyo hakuna anaeweza kujitapa zaidi yake,Nyerere alipinga matendo yote ya kifisadi bila kuogopa mtu,ndugu zangu cdm ufisadi si tuu kudokoa mali za umma na hata kujilimbikizia mali,angalia miradi na mabiashara makubwa yanayomilikwa na viongozi wenu,angalia mavazi wanayovaa,angalia maisha yao kiujumla,watoto wao wanakosoma,nini tofauti iliyoko kati yao na maisha ya kifisadi? wengi wao tunajua maisha yao yalikuwaje kabla hawajawa wanasiasa,lakini sasa ni kula starehe na kuwajaza wananchi hofu kuwa nchi yao inaliwa wakati na wao wamo kwenye kula hiyo national cake(ref to 90 million) wala hawakuzikataa!hii inanikumbusha novel moja inaitwa&quot;<font color="red">beautyfull ones are not yet born&quot;</font> kuna ndege anaitwa chichidodo,huyu ndege alikuwa hapendi kinyesi lakini alikuwa anakula wale wadudu wanaotoka/ishi katika kile kinyesi. Cha msingi CDM waache unafiki kama wana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko,basi yaanzie kwao kwanza,KAMA KWELI WANAPINGA UFISADI BASI MAISHA YAO YADHIHIRISHE HIVYO
<br />
<br />




Embu nidokeze kidogo,Fisadi gani wa Ccm anakupumulia Mgongoni? I promise u that i wont tell any one,Blv Me!
 
Back
Top Bottom