kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 322
- 167
ChAnzo?
Na mimi nasubiri jibuRahisi ni nani?
Faiza foxy akikuulizeni "uko shule mlienda kusomea ujinga?" Mnakasirika, sasa rahisi ndo nani?Huyu ndie rahisi bora barani afrika kwa kukanyaga maneno
Rahisi ni gharama
Ugumu wa maishaChAnzo?
"Watu tumechonga kinyago na kukiweka sebuleni, sasa kimeguka na kuanza kututisha sisi" - Msukuma (MB)
Uchaguzi ujao (kama utakuwepo) kunaweza kutokea fujo na umwagaji mkubwa wa damu kama Wakurugenzi watatii amri za chama na kutaka kupora ushindi wa watu wengine.
Na yule babu wa tume ya uchaguzi. Kama alijua kuwa anachotangaza sio sahihi na bado akaendelea kutangaza alitukosea sana. Vilio vyote hivi vinawahusu moja kwa moja.Lawama zote kwa JK
Na ccm.hakutakuwa na kura za kumchagua mgombea.atapita bila kupingwa.ukibisha.we msaliti.wako wapi waliokuwa wakisema magufuli chaguo LA mungu,?"Watu tumechonga kinyago na kukiweka sebuleni, sasa kimeguka na kuanza kututisha sisi" - Msukuma (MB)
Uchaguzi ujao (kama utakuwepo) kunaweza kutokea fujo na umwagaji mkubwa wa damu kama Wakurugenzi watatii amri za chama na kutaka kupora ushindi wa watu wengine.
Kwahiyo hawa wakurugenzi hawana akili hata kidogo?Statement kama hizi kutoka kwa kiongozi wa nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia na fikra hasi kwa kizazi kijacho:-
Mkurugenzi tunakupa gari na ulinzi pamoja na posho na bado unatangaza wapinzani wameshinda. Hivi mna akili gani ninyi?
Makatibu na wenyeviti mlioshindwa kata nyingi nisisikie mkichukua fomu nyingine katika uchaguzi ujao.
My take:-
Uchaguzi mkuu ujayo kama utakuwepo basi ndio utakuwa uchaguzi hatari kuliko chaguzi zozote zilizowahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Huyo ndo ametuletea matatizo kabisa sijui alikuwa anafikiria nini kumteua huyu mtu