Kauli kama hizi kutoka kwa Kiongozi wa Nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia

"Watu tumechonga kinyago na kukiweka sebuleni, sasa kimeguka na kuanza kututisha sisi" - Msukuma (MB)

Uchaguzi ujao (kama utakuwepo) kunaweza kutokea fujo na umwagaji mkubwa wa damu kama Wakurugenzi watatii amri za chama na kutaka kupora ushindi wa watu wengine.

why not wakati wengi wao ni makada hata weledi wa ukurugenzi hawana.
 
"Watu tumechonga kinyago na kukiweka sebuleni, sasa kimeguka na kuanza kututisha sisi" - Msukuma (MB)

Uchaguzi ujao (kama utakuwepo) kunaweza kutokea fujo na umwagaji mkubwa wa damu kama Wakurugenzi watatii amri za chama na kutaka kupora ushindi wa watu wengine.
Na ccm.hakutakuwa na kura za kumchagua mgombea.atapita bila kupingwa.ukibisha.we msaliti.wako wapi waliokuwa wakisema magufuli chaguo LA mungu,?
 
Kwani madaraka au mamlaka ya Raisi hayakuridhiwa na bunge?wapi kaenda kinyume Na mamlaka aliyopewa?
 
Statement kama hizi kutoka kwa kiongozi wa nchi ni hatari sana kwa ustawi wa demokrasia na fikra hasi kwa kizazi kijacho:-

Mkurugenzi tunakupa gari na ulinzi pamoja na posho na bado unatangaza wapinzani wameshinda. Hivi mna akili gani ninyi?

Makatibu na wenyeviti mlioshindwa kata nyingi nisisikie mkichukua fomu nyingine katika uchaguzi ujao.

My take:-
Uchaguzi mkuu ujayo kama utakuwepo basi ndio utakuwa uchaguzi hatari kuliko chaguzi zozote zilizowahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Kwahiyo hawa wakurugenzi hawana akili hata kidogo?

Mbona yeye ndiyo anakuwa hana akili hata kidogo
 
Huyo ndo ametuletea matatizo kabisa sijui alikuwa anafikiria nini kumteua huyu mtu

Hata angemteua Lowassa pia Mngemsema pia,

kumbuka Mlimsafisha Lowassa baada ya kukatwa na angepitishwa na CCM angekuwa Fisadi na Jk angelaumiwa kwa kupitisha Fisadi
 
Lowasa ana busara na hekima siyo kama huyu wa kwenu
Hata angemteua Lowassa pia Mngemsema pia,

kumbuka Mlimsafisha Lowassa baada ya kukatwa na angepitishwa na CCM angekuwa Fisadi na Jk angelaumiwa kwa kupitisha Fisadi
 
Back
Top Bottom