Kauli hii inanikera, nifanyeje?

lazima ufanye utafiti ujue mambo ambayo huwa yanamuudhi kufikia kusema maneno hayo...ndoa hazina formula na kila binadamu yuko tofauti na mwingine.

Ahsante sana Mama D! Ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnaanza vibwagizo vya ajabu. Narudia tena wanawake sio watu, sio binadamu, ni hatari kwa maisha ya waume zao.

Nenda Musoma mjini ndo utathibitisha kuwa ninachosema ni sahihi; kuna mtaa mmoja wenye nyumba ni wanawake tu - wote wajane!
lol!wanaume wenzio wanaofaidi utamu wa wanawake wakisikia maneno kama haya huwa waagiza mug tu za kilauri wanakata kilaji na nyama choma huku wakimsifu Muumba kwa heri alizowajalia na baraka za kumiliki wanawake wa aina yetu!wapi Kaizer , Asprin, Mtambuzi The Boss, Dark City , HorsePower ,pacha wangu mtoto wa mama yangu SnowBall na wengine woote MNAOJIAMINI NI WANAUME WA UKWELI bila kumsahau mtani wangu watu8, Erickb52, kakaangu moto2012 na mashosti zangu WANAWAKE WA UKWELI gfsonwin, mke mwanzangu wa sirini cacico, FP dadangu uvi koki dada mkubwa? na wengine woote wa mrengo wa kulia
 
Last edited by a moderator:
Kuondoka kwangu usingeweza! Nikijibiwa ndivyo sivyo nachukua muda kutafakari; daima maamuzi wakati wa hasira huwa siyo mazuri; na kwa kulijua hilo ndo maana hajaondoka pamoja na kuwa na mawazo kama hayo.

you bet nisingeweza kuondoka kwako, you know why? Coz nisingekuwepo in the first place. Men like you are never my type!
 
Fikiria kesi ndogo kama hii;
Amechelewa kurudi nyumbani; anakukuta uko nje; unamuuliza mbona umechelewa hivi ulikuwa wapi?
Jibu; Eh! Baba fulani nisiongee ma marafiki zangu eti kisa nitaulizwa? kama ni hivyo ni bora nikupishe waje wengine wajaribu!

Utajisikiaje kwa jibu la namna hiyo??? Inakera!

aisee mkuu pole sana, inaonekana huyo mwanamke amechoka maisha ya ndoa, so ninachoweza kukushauri ni kukaa chini pamoja, akupe sababu za msingi za kutoa majibu kama hayo, then utajua nini cha kufanya ndugu yangu
 
Tatizo mkiambiwa ukweli
mnaanza vibwagizo vya ajabu. Narudia tena wanawake sio watu, sio
binadamu, ni hatari kwa maisha ya waume zao.

Nenda Musoma mjini ndo utathibitisha kuwa ninachosema ni sahihi; kuna
mtaa mmoja wenye nyumba ni wanawake tu - wote wajane!

Kwa kauli hizi ana kila sababu ya kukukumbusha kuwa ana kwao. Ulioa ili nini kama wanawake unawaona ni hatari?
 
you bet nisingeweza kuondoka kwako, you know why? Coz nisingekuwepo in the first place. Men like you are never my type!

UMEONA ENH!TUNAO WANAOTUZUZUA AKILI !TUNAWAHESHIMU MFANO HAKUNA !sio huyu mvaa gagulo mwenzetu
 
wewe unasumbululiwa na jambo moja;umeshindwa kumpenda ,kumtunza na kuish kwa akil na mkeo sasa unaumia ukiona wenzio wanafurahia ndoa zao.la kukushaur omba ushaur jinsi ya kuboresha ndoa yake na jifunze kumpenda mkeo kama ubavu wako, huenda hukulelewa ktk mazingira ya upendo so learn 2love her and nt 2dispise hr!

Yawezekana ukawa sahihi; lakini nimpendeje jamani? Kwa wanaonifahamu ana kwa ana na wanaonitembelea home, wana-appreciate life style ya familia yetu, neno moja tu hilo ndo linanikera pale anapolitamka na si kwamba ni mara kwa mara, hutokea baada ya miaka kadhaa hivyo kunitonesha.
 
kama si watu si binadam huyo mkeo waish naye ili nn?au yy mwanaume mwenzio? Mfumo dume ndio unaokutesa grow up kwan though wasema umeoa maneno yako yakufanya uonekane kama kijana anayebalehe

mi ndo mana nakupenda mamduchu!huyu mvulana tu wanaume wa ukweli hawaongei hii mineno!TUPA KULE
 
aisee mkuu pole sana, inaonekana huyo mwanamke amechoka maisha ya ndoa, so ninachoweza kukushauri ni kukaa chini pamoja, akupe sababu za msingi za kutoa majibu kama hayo, then utajua nini cha kufanya ndugu yangu

Ahsante kwa ushauri wako mzuri!
 
lol!wanaume wenzio wanaofaidi utamu wa wanawake wakisikia maneno kama haya huwa waagiza mug tu za kilauri wanakata kilaji na nyama choma huku wakimsifu Muumba kwa heri alizowajalia na baraka za kumiliki wanawake wa aina yetu!wapi Kaizer , Asprin, Mtambuzi The Boss, Dark City , HorsePower ,pacha wangu mtoto wa mama yangu SnowBall na wengine woote MNAOJIAMINI NI WANAUME WA UKWELI bila kumsahau mtani wangu watu8, Erickb52, kakaangu moto2012 na mashosti zangu WANAWAKE WA UKWELI gfsonwin, mke mwanzangu wa sirini cacico, FP dadangu uvi koki dada mkubwa? na wengine woote wa mrengo wa kulia

Nimemfuatilia ndugu yangu mleta thread tokea awali na nimejaribu kutoa ushauri wangu kwa kadiri nilivyomuelewa...
Binafsi nadhani kuna ugonjwa wa kutokuelewana wameufuga muda mrefu na sasa umefika mahali pabaya...
Hii ni hatari kwa mahusiano kwa kuwa lazima mmoja ataathirika kama si wote...
Hakuna kitu kizuri kwenye maisha ya ndoa kama MAPATANO (hii ndio ahadi ya kwanza), kwani katika hilo ndio kuna upendo, furaha nk nk...
Ila mi nadhani ndugu Tutor B, hujachelewa bado una nafasi ya kushughulikia ndoa yako na kurudisha mapatano ya awali...
 
Last edited by a moderator:
inakera kweli, sasa huyu mwananke ana matatizo, kwanza yawezekana anasema hivo kukutisha unajua tena wanawake akili zao ndogo saana, pili yawezekana ni mambo ambayo aliyazoea kuyasema bila kumaanisha, au background ya familia yake wazazi walikua wanatishana mbele ya watoto mambo kama hayo, ila kama hana makosa makubwa ya kumwacha, mpende mtimizie ilyo haki yake, nadhani mtaelewana kwani kupishana kimawazao katika familia ya wawili mbona kawaida, mwanaume pia unakosea, ila maana na msingi kusaeheana wongo jombaaaaaa
Nisiharibu thread ya Tutor B, lakini kwanini huwa mnaamini mwanamke ana akili ndogo? Mnanikeraje?
 
Yawezekana ukawa sahihi; lakini nimpendeje jamani? Kwa wanaonifahamu ana kwa ana na wanaonitembelea home, wana-appreciate life style ya familia yetu, neno moja tu hilo ndo linanikera pale anapolitamka na si kwamba ni mara kwa mara, hutokea baada ya miaka kadhaa hivyo kunitonesha.

mi ntakupa makavu mpaka ukae kwenye mstari we huwezi kumuongelea mkeo kidharau namna hii halafu useme watu wanaappreciate maisha mnayoishi!KWA KIPI?
 
Nisiharibu thread ya Tutor B, lakini kwanini huwa mnaamini mwanamke ana akili ndogo? Mnanikeraje?
IHARIBU TU!MWENYEWE ASHAIHARIBU!angeenda vizuri tungemshauri vizuri tu lakini kwa mwendo huu wape tu za uso
 
mi ntakupa makavu mpaka ukae kwenye mstari we huwezi kumuongelea mkeo kidharau namna hii halafu useme watu wanaappreciate maisha mnayoishi!kwa kipi?

niko kwenye mstari tangia hapo; ila inapotokea kero nikaijadiri humu; ikatokea wa kunijibu vibaya unataka nijibu nini? Kwa ujumla nawaheshimu wanawake sana tena sana.
 
Back
Top Bottom