Kimsingi inatia huruma na mara nyingine hasira sana kuishi kwa this country! Huu waweza kua ufinyu wa upeo wa viongozi wa nchi, kisha ukaamishiwa kwa wananchi tuliokua wengi wenye njaa kali kiasi hata muda wa kuweza kufikiria nn kinafanyika katika nchi yetu hatujabakiziwa!Masikini weeee.... NG'OMBE WA MASIKINI HAZAI..! afadhali hata serikali inapata wa kuikopesha... sasa mlalahoi huyu atakopa wapi wakati weitingi chaji inaendelea kuongezeka?!!!
Wakati huo huo Deni lake amabalo serikali ilikopa ili viongozi wake wapate kusafiri nje ya ichi kubembea, kutembelea midenge ya kifahali, mishangingi, matanuzi ya wafuta viatu vyao, sitingi alawansi kutoka gorofa ya tatu kwenda gorofa ya pili, DENI linazidi kupaa kutoka tilioni 9 mwaka 2009, likafika tilioni 11 2010 mara vuuuu hadi tilioni 22 mwishoni mwa mwaka jana (2011). SIPENDI KUJUA HADI JUNE 2012 LIMEFIKIA 25 TILLION??? WALA SITAKI KUJUA MKAPA ALIACHA DENI KIASI GANI KABLA YA MKWELE BY 2005.
Mtaji wa siasa sisiem ni ujinga na umaskini wa mdanganyika. Tutaendelea kudanganyika kwa kubemba mimba ya mika kumi kumi, bora mwanafunzi anayebebeshwa ya miezi tisa!