Leo nipo na watoto wangu tunaenda shopping,ghafla mwanangu wa kike aliyepo baby class akaanza kuniomba nimnunulie ice cream za rain bow.Nilishtuka sana,nikamuuliza amejuaje mambo ya rainbow?Akanijibu huyaona yakitangazwa kwenye katuni Masha and the bear.Nimeogopa mno sababu hiyo katuni nilikuwa nawaona kila siku wakiiangalia na sikutilia shaka lolote.Hatua pekee niliyochukua ni kuwaambia kila sehemu wakiona mambo ya rainbow,wajue hao ni mashetani wasiomjua Mungu.Sina hakika kama watoto wamenielewa.Wazazi tuanze kufuatilia katun wanazotizama watoto wetu