Katika migogoro juu ya mipaka kati ya nchi na nchi kuweka msimamo mapema ni hatua muhimu na lazima?

baluhya M.

Member
Apr 22, 2011
33
79
kuweka msimamo wetu kama TAIFA juu ya mgogoro wa ziwa Nyasa na wenzetu malawi ilikuwa ni hatua muhimu na ya lazima(Kwenye chemistry this is called a necessary step towards reaction),bila kuweka masimamo wetu wa kwamba tuko tayari kama taifa kulinda nchi yetu na mipaka yake kwa GHARAMA YOYOTE wamalawi wasingeweza kulipa uzito swala la majadiliano makini(serious) yenye malengo mahuhusi ya kufikia mwafaka.
 
You sound like kamati ya Ulinzi ya Bunge la TZ. Si sahihi..kuweka msimamo maana yake huitaji mazungumzo. Kukiwa na dispute juu ya jambo njia ya busara ni kuzungumza ilo jambo na sio kukurupuka na majibu eti tuko tayari kwa vita!
 
Ni sawa na mtu (mwanaume)ambaye ametongoza na ameshakubaliana na msichana na wameingia tayari katika mapenzi, then anakuja kukuuliza..."unamwonaje Erotica, ananifaa kuwa mchumba?"
Kama tunao msimamo wa kitaifa maongezi hayatakuwa na tija, maana tutavutia ili maongezi yatoe favor kwenye msimamo wetu!
 
Back
Top Bottom