Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,835
Tukio baya kuliko yote ni lile la kuuawa watafiti likionyesha ni namna gani nchi hii bado haijakombolewa kielimu na haijapewa kipaombele sana sababu inawalenga CCM moja kwa moja na wameitia nchi hii dosari,ila wameshupalia jambo la mwanafunzi kuadhibiwa na walimu wake kwa ujinga wake na kuonyesha umwamba