Polisi na waandishi wabadili mtazamo kuhusu ripoti za matukio ovu!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,072
28,267
Najiuliza sana ni nani aliyeweka huu utaratibu wa kuripoti matukio ya kiuhalifu ?Je utaratibu huu unasaidia nini,?
Lengo la kuripoti matukio haya ni nini?
Nani aliyeweka format ya kuripoti.?

Kwa maoni yangu huu ni utaratibu mbovu na unasiriba haiba za mikoa au wilaya bila sababu ya msingi.

Leo hii tunaweza kuaminishwa kuwa mkoa flani unaongoza kwa matukio kisa tu ITV wapo mbele kuripoti matukio na hivyo kuacha mikoa yenye uhalifu katika uhalisia wake.
Aidha tunaporipoti matukio haya je sio chanzo cha kusababisha matukio haya kuigwa na kuendelea kutokea?

Utaratibu huu mbovu usitishwe haraka kuokoa fikra za jamii yetu.
 


Psyop's.

These kinds of news help to create terror in the minds of people and to shape their fear-based behavior.

Which in turn is very useful to keep the "sheep" in check and in control.

Mastori mengi huwa ni ya kutunga yaliyolenga kujenga hofu, kueneza propaganda na kujenga tabia na fikra za watu katika muelekeo mahususi.

Cc: Wakili msomi Nyani Ngabu
 
Back
Top Bottom