Katika Matukio Haya Matatu Ungekuwa Upande Gani?

Tukio baya kuliko yote ni lile la kuuawa watafiti likionyesha ni namna gani nchi hii bado haijakombolewa kielimu na haijapewa kipaombele sana sababu inawalenga CCM moja kwa moja na wameitia nchi hii dosari,ila wameshupalia jambo la mwanafunzi kuadhibiwa na walimu wake kwa ujinga wake na kuonyesha umwamba
 
Mtu Kama Anapiga Kura Halafu Mwishowe Zinachakachuliwa,Atapoteza Ujasiri wa Kuamua!Kwani Anajua Mwisho wa Siku Atachaguliwa Kiongozi wa Kumtawala!
Madini Ni Yetu,ila Wazungu Ndio Wanaya Chimba!
Nalipa Bill ya Umeme TANESCO,ila Kila Mwezi IPTL Analipwa 400M!
Yanini Kuthamini Rasilimali Hizi Kama Sina Maamuzi Nazo?
Hii Vicious Circle Sijui Itaisha Lini?

exactly .....
 
Katika matukio yote matatu nisingekuwepo kwenye tukio hata moja kwa kuwa matukio yote yanatakiwa uwe na roho ya kinyama isiyokuwa na huruma ndiyo uweze kuyatenda,isipokuwa ningeweza kuwa kwenye tukio la Zanzibar la Polisi kuchukua dawa ya kawi Ili viatu vyangu viwezo kung'aa na tukio la msajili kumtambua Lipumba Kama Mwenyekiti halali wa CUF kwa kuwa ningekuwa ninatetea mlo wangu wa kila siku.
 
Majibu ya Hoja Zako Zote Mzee Mwanakijiji ni Hii Habari
 
Attachments

  • 1475859416310.jpg
    1475859416310.jpg
    95.6 KB · Views: 33
Nimesoma sijaona neno "Marekani" hata pamoja.

Labda nukuu unioneshe palipoandikwa hivyo katika bandiko la awali kabisa.

Nenda paragraph ya nane.

....Ujinga una gharama kubwa sana kwa watu.Ndiyo maana wenzetu walioendelea....

Marekani nimeitumia kama mfano tu wa hao walioendelea ambao kwa mujibu wa mwandishi wao wameufuta ujinga.
 
Mtu Kama Anapiga Kura Halafu Mwishowe Zinachakachuliwa,Atapoteza Ujasiri wa Kuamua!Kwani Anajua Mwisho wa Siku Atachaguliwa Kiongozi wa Kumtawala!
Madini Ni Yetu,ila Wazungu Ndio Wanaya Chimba!
Nalipa Bill ya Umeme TANESCO,ila Kila Mwezi IPTL Analipwa 400M!
Yanini Kuthamini Rasilimali Hizi Kama Sina Maamuzi Nazo?
Hii Vicious Circle Sijui Itaisha Lini?
Jibu kubwa ni hili Mwanakjj
 
Mzee Mwanakijiji

Tuna ujinga na mmomonyoko wa maadili wa kijamii uliopita siasa za vyama.

Kuanzia kwa rais - sikiliza tu kauli zake za kijingajinga, mtu ambaye anatakiwa kuwa na uwezo wa kupata Ph.D ya Chemistry- mpaka kwa mahohehahe wasojua la muazini wala mteka maji msikitini.

Kibaya zaidi, tushaukubali ujinga huu kama sehemu ya maisha yetu tu. Ukianza kukemea wewe ndiye unaonekana wa ajabu.

Maneno mazito haya; na yana ukweli wake. Lakini tunajenga vipi maadili ya watu au vikundi vya watu?
 
Hata hizi vurugu kwenye vyama vya siasa na katika uchanguzi mkuu sababu kuu ni bangi. Hata baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya siasa hta ukiwaangalia tu kwenye macho yao utagundua ni wavuta bangi hata kama huna utaalamu wa udokta. Just look at their iris you will see what I mean.

Nilitaka kucheka lakini nikaogopa kama vipi unachosema kuwa ni kweli? .. taifa la wavuta bangi duh!
 
Sijaona mantiki yakutaka kutuaminisha kuwa huu ujinga uko huku kwetu pekee.

Hao polisi wa Marekani wanaoua watu weusi wanatofauti gani na hao uliowataja?

Na wenyewe kwani tatizo ni nini? si ni ujinga ule ule? Watu wanaweza kuchanganya kwenda shule na mtu kuwa mjinga. Mtu anaweza kwenda shule na akabaki na ujinga wake...
 
Sijaona mantiki yakutaka kutuaminisha kuwa huu ujinga uko huku kwetu pekee.

Hao polisi wa Marekani wanaoua watu weusi wanatofauti gani na hao uliowataja?
NA WANAOTUMBUA MAJIPU MBELE YA HADHARA HATA JIPU KAMA LIMEKAA SEHEMU NYETI
 
Na tukio la nne ni jinsi tunavyo piga kura na tunao wachagua....

mihemko mitupu.....

la nne ndo hasaa linahusu yoote hayo

Hasira za kukosa uongozi tunaotamani zinaishia kwa viti na wanafunzi.....
Hilo jambo la nne umeandika kiumbea, umeandika ili kumshambulia mtu.....
 
Tatizo siamini kuwa ni ujinga. Tanzania imepiga hatua kubwa kupambana na ujinga tangia Nyerere kutangaza ujinga kuwa kati ya maadui 3 wa nchi mara tu baada ya nchi kupata uhuru mwaka 1961. Maadui wakuu wengine ni umaskini na maradhi.

Haya yanayotokea sasa ni matokeo ya kuongezeka kwa matumizi ya madawa ya kulevya - bangi, coccaine na mengine ya aina hiyo kwa vijana wetu. Nina uhakika hao walimu, washabiki wa yanga, wanakijiji wa Dodoma mvumi (kwa Lusinde) na huyo mtoboa macho wote ni watumiaji wa bangi. Hakuna jingine kwani nchi ilipokuwa na wajinga wengi zaidi hiyo miaka ya 1960s vitendo kama hivyo vilikuwa hakuna.

Hata hizi vurugu kwenye vyama vya siasa na katika uchanguzi mkuu sababu kuu ni bangi. Hata baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya siasa hta ukiwaangalia tu kwenye macho yao utagundua ni wavuta bangi hata kama huna utaalamu wa udokta. Just look at their iris you will see what I mean.
Ujinga una levels nyingi mkuu. Kujua kusoma na kuandika pekee kunaweza kusifute ujingaa. Ujinga ni neno pana na nafikiri kulitumia kama linamaanisha elimu si sahihi maana unaweza ukawa mpaka na PhD na bado ukawa mjingaaa.
 
Back
Top Bottom