Katika Hili CCM Mtaanzia Wapi tena Kuinyooshea CHADEMA Vidole?

Ole Shider

Member
Oct 17, 2014
16
15
Salaam;

Katika Siasa zetu hapa Nchi hasa nikivilenga Vyama hasimu vya CCM na CHADEMA kumekuwako na namna tofauti tofauti kati yao katika kufanya siasa zao Nchi na na kufikisha ujumbe wao kwa Wananchi.

CHADEMA wamekuwa muda mwingi hasa nyakati za kampeini wakitumia CHOPPER wakiamini ndiyo njoa sahihi kwao. Jambo ambalo hata mimi binafsi.niliona hali tija hasa.ukizingatia gharama zinazotumika na taabu wanazopata Wananchi hasa katika Majimbo wanayoyaongoza wao.

Kwa upande mwingine CCM (Chama Tawala) wao wamekuwa wakijinasibu kama jeshi la ardhini lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa Wananchi wote wanafikiwa na kuelezwa yale yanayofaa. Jambo ambalo mtu yeyote anaweza kuelewa hasa ukirudisha kumbukumbu nyuma toka enzi za Mwalimu katika harakati zake za ukombozi.

Mwaka jana katika chaguzi kuna usemi ulivuma sana wa CHOPPER 3 Kata 3 ikimaanisha kuwa CHADEMA walirusha Chopper 3 na kuambulia Kata 3 ilihali wenzao wa CCM Wakipata zaidi ya Kata 26 japo hawakurusha Chopper yeyote vivyo hivyo kwa Majimbo mawili ya Kalenga na Chalinze.

Lakini binafsi na kwa namna ya kushangaza sana na kushtua walio wengi nimestaajabishwa kuona yale yaliyokuwa yakipingwa na wanaCCM dhidi ya wenzao nao pia CCM wameanza kuelekea na kufanya yale yale kwa njia ile ile iliyokuwa ikifanywa na CHADEMA. Ndiyo maana imefikia mahali nikakubali ule usemi usemao ukistaajabu ya CHADEMA utayaona ya CCM......

Swala hili limenipelekea nije na maswali yafuatayo kwa wanaCCM ili mimi na wengine tuweze kujiridhisha na yanayoendelea;

1. Je mtakuwa na majibu yepi kuntu ya kuwaeleza Watanzania pindi mtakapoulizwa kwa nini mlikuwa mnawanyooshea wenzenu vidole nanyi mmeamua kuwaiga??

2. Je mkiwa Chama tawala na mnapoyatazama na kufahamu kwa moyo wa dhati taabu wanazopitia watanzani mathalan madawa hakuna, changamoto za maabara na kadhalika hivi kweli mnastahili kufanya hayo mnayoyafanya??

3. Binafsi katika watu ambao labda ningependekeza atumie CHOPPER labda ni Katibu wenu Mkuu mzee Kinana na nyote mmeona kazi anayofanya ila hakuwahi fanya hivyo na naamini hajawahi kufikiri kufanya hivyo yeye hutumia usafiri anaoukuta huko aendako. Na nadhani hufanya hivyo ili kuwathibitishia Watanzania kuwa CCM nayo inataabika na kuomboleza pamoja nao ktk kila taabu wanazopitia. Je ni kwamba ninyi mmempuuza ama mmeamua kujikweza ili kuonekana ni wanaCCM wenye upeo mkubwa kuliko wenzenu wote?

4. Mtu wa pili pia ambaye ningedhani angestahili CHOPPER labda ni Raisi wa Taifa hili wakatio akikagua miradi ya maendeleo ila ameendelea kuwa muungwana sana na kutotaka kuudharau na kuupuza utu wa Watanzania amekuwa akisafiri kwa barabara ambazo amezisimamia yeye mwenyewe katika utawala wake na hili husadia hata kuwaeleza Watanznaia manake umejionea mwenyewe.. Sasa ninyi wanaCCM wengine wa CHOPPER huko angani mtanataka muwaambie Watanzania mnatekeleza Ilani gani? Ama ni Ilani ya UN ya kukwepa Ebola??

5. Nimepata kusikia kwamba wenzenu CHADEMA wakati mwingine hifanya hivyo ili angalau kupata umati wa watu kule wasiko kubalika hasa wale watakaokuna kushangaa CHOPPER.. Na ninyi mtueleze leo mnatumia Chopper ili kukusanya watu??

6. Moja ya falsafa ya Mwenyekiti wenu wa CCM ni maisha bora kwa kila Mtanzania. Sasa hamuoni hakutakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania hasa kwa kuwasumbua wanafunzi madarasani na makelele ya Chopper. Na ktk hili lazma mtazame na Polisi au jeshi vifaa kama Chopper hutumika panapo na shughuli maalum ili kutowasumbua Watanzania......

Ni hayo machache tu kwa leo mimi binafsi na Watanzania wengine ama wanaowaamini ama wenye kutaka kuwaamini na kuwa sehemu yenu wangependa kujua... Ili nasi tuweze kujiridhisha je mnatenda mnayo yaamini ama mnaamini wanayotenda wenzenu??
 
mkuu jibu lako analo Makonda dialo na joseph msukuma wanaotumia CHOPPER kwa maslahi yao wakimnadani mgombea wao
 
Hueleweki shida yako ni nini.Hivi hujui ccm wameishiwa wamebaki kugeza kwa upinzani.
 
hivi chopper moja ya Chadema na mashangingi 40 ya ccm kipi hutumia gharama kubwa?na ni nani anatumia gharama kubwa ktk uchaguzi zaidi ya ccm ambao uzushi wao hatimaye utatugawa wa tz ktk misingi ya ukabila udini nk. haukumbuki walivyodai wakati cuf inaanzishwa oooh cha waislam na chadema ooih cha wakristo na mara cha kaskazini/ukabila huku wakiwawekea maneno midomoni wabunge na viongozi wao angalia propaganda na siasa za maji safi
 
Wewe ulitakiwa uzaliwe Enzi za Kale za Zama za Mawe kabla hata moto hujagunduliwa.

Hata unapaswa ujue JK na Kinana kutotumia Chopper huko sio kuonyesha uzalendo bali ni ghilba tu maana Mabilioni wanayoyaiba na familia zao ni zaidi ya kununua na kutumia chopper.

Wanajifanya kuruka Mkoja kumbe wanakanyaga Mavi.

CHADEMA NDIO WAZALENDO WAKO WAZI NA SI WANAFIKI KAMA MACCM.
 
Chopa na Iptl vinaendana? Sidhani kama mleta mada unaonea huruma nchi yako hile hali ccm wanavyofanya sivyo kabisa
 
Kama ulikuwa unafikiri CCM wanabana matumizi katika kampeini zao, Hebu jaribu kuulizia gharama za uchaguzi walizotumia kwenye kampeni zao 2010.

CAG ameomba hizo gharama mpaka ameondoka madarakani CCM hawakuwahi kumpatia.

Kama kutotumia chopper ndio kuwajali wananchi, basa watanzanoia tungempatia kura Prof Lipumba maana yeye alitumia PUNDA!
 
Salaam;

Katika Siasa zetu hapa Nchi hasa nikivilenga Vyama hasimu vya CCM na CHADEMA kumekuwako na namna tofauti tofauti kati yao katika kufanya siasa zao Nchi na na kufikisha ujumbe wao kwa Wananchi.

CHADEMA wamekuwa muda mwingi hasa nyakati za kampeini wakitumia CHOPPER wakiamini ndiyo njoa sahihi kwao. Jambo ambalo hata mimi binafsi.niliona hali tija hasa.ukizingatia gharama zinazotumika na taabu wanazopata Wananchi hasa katika Majimbo wanayoyaongoza wao.

Kwa upande mwingine CCM (Chama Tawala) wao wamekuwa wakijinasibu kama jeshi la ardhini lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa Wananchi wote wanafikiwa na kuelezwa yale yanayofaa. Jambo ambalo mtu yeyote anaweza kuelewa hasa ukirudisha kumbukumbu nyuma toka enzi za Mwalimu katika harakati zake za ukombozi.

Mwaka jana katika chaguzi kuna usemi ulivuma sana wa CHOPPER 3 Kata 3 ikimaanisha kuwa CHADEMA walirusha Chopper 3 na kuambulia Kata 3 ilihali wenzao wa CCM Wakipata zaidi ya Kata 26 japo hawakurusha Chopper yeyote vivyo hivyo kwa Majimbo mawili ya Kalenga na Chalinze.

Lakini binafsi na kwa namna ya kushangaza sana na kushtua walio wengi nimestaajabishwa kuona yale yaliyokuwa yakipingwa na wanaCCM dhidi ya wenzao nao pia CCM wameanza kuelekea na kufanya yale yale kwa njia ile ile iliyokuwa ikifanywa na CHADEMA. Ndiyo maana imefikia mahali nikakubali ule usemi usemao ukistaajabu ya CHADEMA utayaona ya CCM......

Swala hili limenipelekea nije na maswali yafuatayo kwa wanaCCM ili mimi na wengine tuweze kujiridhisha na yanayoendelea;

1. Je mtakuwa na majibu yepi kuntu ya kuwaeleza Watanzania pindi mtakapoulizwa kwa nini mlikuwa mnawanyooshea wenzenu vidole nanyi mmeamua kuwaiga??

2. Je mkiwa Chama tawala na mnapoyatazama na kufahamu kwa moyo wa dhati taabu wanazopitia watanzani mathalan madawa hakuna, changamoto za maabara na kadhalika hivi kweli mnastahili kufanya hayo mnayoyafanya??

3. Binafsi katika watu ambao labda ningependekeza atumie CHOPPER labda ni Katibu wenu Mkuu mzee Kinana na nyote mmeona kazi anayofanya ila hakuwahi fanya hivyo na naamini hajawahi kufikiri kufanya hivyo yeye hutumia usafiri anaoukuta huko aendako. Na nadhani hufanya hivyo ili kuwathibitishia Watanzania kuwa CCM nayo inataabika na kuomboleza pamoja nao ktk kila taabu wanazopitia. Je ni kwamba ninyi mmempuuza ama mmeamua kujikweza ili kuonekana ni wanaCCM wenye upeo mkubwa kuliko wenzenu wote?

4. Mtu wa pili pia ambaye ningedhani angestahili CHOPPER labda ni Raisi wa Taifa hili wakatio akikagua miradi ya maendeleo ila ameendelea kuwa muungwana sana na kutotaka kuudharau na kuupuza utu wa Watanzania amekuwa akisafiri kwa barabara ambazo amezisimamia yeye mwenyewe katika utawala wake na hili husadia hata kuwaeleza Watanznaia manake umejionea mwenyewe.. Sasa ninyi wanaCCM wengine wa CHOPPER huko angani mtanataka muwaambie Watanzania mnatekeleza Ilani gani? Ama ni Ilani ya UN ya kukwepa Ebola??

5. Nimepata kusikia kwamba wenzenu CHADEMA wakati mwingine hifanya hivyo ili angalau kupata umati wa watu kule wasiko kubalika hasa wale watakaokuna kushangaa CHOPPER.. Na ninyi mtueleze leo mnatumia Chopper ili kukusanya watu??

6. Moja ya falsafa ya Mwenyekiti wenu wa CCM ni maisha bora kwa kila Mtanzania. Sasa hamuoni hakutakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania hasa kwa kuwasumbua wanafunzi madarasani na makelele ya Chopper. Na ktk hili lazma mtazame na Polisi au jeshi vifaa kama Chopper hutumika panapo na shughuli maalum ili kutowasumbua Watanzania......

Ni hayo machache tu kwa leo mimi binafsi na Watanzania wengine ama wanaowaamini ama wenye kutaka kuwaamini na kuwa sehemu yenu wangependa kujua... Ili nasi tuweze kujiridhisha je mnatenda mnayo yaamini ama mnaamini wanayotenda wenzenu??
MATUMIZI YA CHOPA CCM NI LAZIMA YAHOJIWE, KWASABABU HIZI NI FEDHA ZA WALIPA KODI NADHANI ZITAKUWA CHENZJI ZA RADA IPTLNA ESCROW UFISADI MKUBWA USIOPIMIKA. HAWA NGALULUMA KILA MMOJA WAO WATAHAKIKISHA WANAPIGA HELA YA KUFA MTU KWA AJILI YA KUNUNUA WAPIGA KURA. SAFARI HII HAIJAPATA KUTOKEA MAANAKE WATAANDAA HATA MAPILAU KWENYE MIKUTANO YA KAMPEINI KUWALISHA LIMBWATA WAPIGA KURA. Hii kali ya mwaka!
 
Salaam;

Katika Siasa zetu hapa Nchi hasa nikivilenga Vyama hasimu vya CCM na CHADEMA kumekuwako na namna tofauti tofauti kati yao katika kufanya siasa zao Nchi na na kufikisha ujumbe wao kwa Wananchi.

CHADEMA wamekuwa muda mwingi hasa nyakati za kampeini wakitumia CHOPPER wakiamini ndiyo njoa sahihi kwao. Jambo ambalo hata mimi binafsi.niliona hali tija hasa.ukizingatia gharama zinazotumika na taabu wanazopata Wananchi hasa katika Majimbo wanayoyaongoza wao.

Kwa upande mwingine CCM (Chama Tawala) wao wamekuwa wakijinasibu kama jeshi la ardhini lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa Wananchi wote wanafikiwa na kuelezwa yale yanayofaa. Jambo ambalo mtu yeyote anaweza kuelewa hasa ukirudisha kumbukumbu nyuma toka enzi za Mwalimu katika harakati zake za ukombozi.

Mwaka jana katika chaguzi kuna usemi ulivuma sana wa CHOPPER 3 Kata 3 ikimaanisha kuwa CHADEMA walirusha Chopper 3 na kuambulia Kata 3 ilihali wenzao wa CCM Wakipata zaidi ya Kata 26 japo hawakurusha Chopper yeyote vivyo hivyo kwa Majimbo mawili ya Kalenga na Chalinze.

Lakini binafsi na kwa namna ya kushangaza sana na kushtua walio wengi nimestaajabishwa kuona yale yaliyokuwa yakipingwa na wanaCCM dhidi ya wenzao nao pia CCM wameanza kuelekea na kufanya yale yale kwa njia ile ile iliyokuwa ikifanywa na CHADEMA. Ndiyo maana imefikia mahali nikakubali ule usemi usemao ukistaajabu ya CHADEMA utayaona ya CCM......

Swala hili limenipelekea nije na maswali yafuatayo kwa wanaCCM ili mimi na wengine tuweze kujiridhisha na yanayoendelea;

1. Je mtakuwa na majibu yepi kuntu ya kuwaeleza Watanzania pindi mtakapoulizwa kwa nini mlikuwa mnawanyooshea wenzenu vidole nanyi mmeamua kuwaiga??

2. Je mkiwa Chama tawala na mnapoyatazama na kufahamu kwa moyo wa dhati taabu wanazopitia watanzani mathalan madawa hakuna, changamoto za maabara na kadhalika hivi kweli mnastahili kufanya hayo mnayoyafanya??

3. Binafsi katika watu ambao labda ningependekeza atumie CHOPPER labda ni Katibu wenu Mkuu mzee Kinana na nyote mmeona kazi anayofanya ila hakuwahi fanya hivyo na naamini hajawahi kufikiri kufanya hivyo yeye hutumia usafiri anaoukuta huko aendako. Na nadhani hufanya hivyo ili kuwathibitishia Watanzania kuwa CCM nayo inataabika na kuomboleza pamoja nao ktk kila taabu wanazopitia. Je ni kwamba ninyi mmempuuza ama mmeamua kujikweza ili kuonekana ni wanaCCM wenye upeo mkubwa kuliko wenzenu wote?

4. Mtu wa pili pia ambaye ningedhani angestahili CHOPPER labda ni Raisi wa Taifa hili wakatio akikagua miradi ya maendeleo ila ameendelea kuwa muungwana sana na kutotaka kuudharau na kuupuza utu wa Watanzania amekuwa akisafiri kwa barabara ambazo amezisimamia yeye mwenyewe katika utawala wake na hili husadia hata kuwaeleza Watanznaia manake umejionea mwenyewe.. Sasa ninyi wanaCCM wengine wa CHOPPER huko angani mtanataka muwaambie Watanzania mnatekeleza Ilani gani? Ama ni Ilani ya UN ya kukwepa Ebola??

5. Nimepata kusikia kwamba wenzenu CHADEMA wakati mwingine hifanya hivyo ili angalau kupata umati wa watu kule wasiko kubalika hasa wale watakaokuna kushangaa CHOPPER.. Na ninyi mtueleze leo mnatumia Chopper ili kukusanya watu??

6. Moja ya falsafa ya Mwenyekiti wenu wa CCM ni maisha bora kwa kila Mtanzania. Sasa hamuoni hakutakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania hasa kwa kuwasumbua wanafunzi madarasani na makelele ya Chopper. Na ktk hili lazma mtazame na Polisi au jeshi vifaa kama Chopper hutumika panapo na shughuli maalum ili kutowasumbua Watanzania......

Ni hayo machache tu kwa leo mimi binafsi na Watanzania wengine ama wanaowaamini ama wenye kutaka kuwaamini na kuwa sehemu yenu wangependa kujua... Ili nasi tuweze kujiridhisha je mnatenda mnayo yaamini ama mnaamini wanayotenda wenzenu??

Ole Shider

Hii inaonyesha kweli ELIMU YA KIDEMOKRASIA hatuna kabisa; Tunameelemewa na nuksi ya Ushabiki

Mawazo yako yote ni kufikira hiyo CHOPPER kuwa ndio kosa --- Haujua ya kuwa Chama TAWALA wanatumia PESA za SERIKALI kwenye CHAGUZI - Wanampeleka KINANA; Wanahikisha ya kuwa kama kuna VIVUKO wakati wakiwa huko Wananchi watavushwa BURE - Bado Baadaye Mbunge wa ENEO hilo inambidi ahudhurie hiyo MIKUTANO JIMBONI Kwake - PESA hazitoki ndani ya CCM; BALI ni SERIKALINI na wote wana Ma Entourage wote wanalipwa perDEM; Acha Wanamuziki wanaosindikiza hao WanaSiasa kutoa burudani; na Vyakula... PETROLI na MALAZI ya that ENTOURAGE... Hii yooote haituletei Demokrasia ila Corruption ya Hali ya Juu... Kila mtu sasa anakimbilia huko Awe Daktari wa Wagonjwa; Mwalimu; Muuza Dawa za kulevya; Polisi; Mwanajeshi; Mzururaji; Dereva; Yaya; Mke wa mtu; Mkulima; Mfanyabiashara; Tajiri.... WOTE HAO WANAKUTANA KWENYE SIASA na KUSHIKANA MIKONO KAMA an A TEAM...

Kwahiyo POLITICS in TANZANIA is not FAIR; NCHI ZINGINE ZINA TUME YA UCHAGUZI HURU na YENYE NGUVU zaidi hata RAIS wa nchi hawezi kuivunja au kuipinga...

Mfano mzuri ni Kuhusu MIKOA YA MTWARA; LINDI na RUVUMA - Ilizuiliwa kwa Campaign za kisiasa wakati ule Wananchi walipochukizwa na Maamuzi ya Serikali na Chama Tawala juu ya GAS huko MTWARA...

Ufupi ni Campaign ziliruhusiwa hivi karibuni na wa kwanza kwenda ni Makamu wa pili wa Rais ZANZIBAR - Huko MTWARA na RUVUMA na sasa ni KATIBU MKUU wa CCM huko LINDI na MTWARA.. kweli wapenda haki wote hawaoni hiyo ni BIAS kuliko hiyo CHOPPER ??? Where is our MEDIA; Our Civil Society ??

Ole Shider..... Civil society and the media can help by denouncing corruption and putting pressure on the government. But the real impediments to the fight against corruption are as much the interests of the politico-administrative apparatus as the fatalism and ignorance of the victims, maintained by a culture of fear nurtured by those who benefit from corruption. But before one can act, it is necessary to be informed. That is why research into the incidence of corruption and its effects is so important. Only on that basis can action by civil society and aid agencies be guided.
 
Salaam;

Katika Siasa zetu hapa Nchi hasa nikivilenga Vyama hasimu vya CCM na CHADEMA kumekuwako na namna tofauti tofauti kati yao katika kufanya siasa zao Nchi na na kufikisha ujumbe wao kwa Wananchi.

CHADEMA wamekuwa muda mwingi hasa nyakati za kampeini wakitumia CHOPPER wakiamini ndiyo njoa sahihi kwao. Jambo ambalo hata mimi binafsi.niliona hali tija hasa.ukizingatia gharama zinazotumika na taabu wanazopata Wananchi hasa katika Majimbo wanayoyaongoza wao.

Kwa upande mwingine CCM (Chama Tawala) wao wamekuwa wakijinasibu kama jeshi la ardhini lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa Wananchi wote wanafikiwa na kuelezwa yale yanayofaa. Jambo ambalo mtu yeyote anaweza kuelewa hasa ukirudisha kumbukumbu nyuma toka enzi za Mwalimu katika harakati zake za ukombozi.

Mwaka jana katika chaguzi kuna usemi ulivuma sana wa CHOPPER 3 Kata 3 ikimaanisha kuwa CHADEMA walirusha Chopper 3 na kuambulia Kata 3 ilihali wenzao wa CCM Wakipata zaidi ya Kata 26 japo hawakurusha Chopper yeyote vivyo hivyo kwa Majimbo mawili ya Kalenga na Chalinze.

Lakini binafsi na kwa namna ya kushangaza sana na kushtua walio wengi nimestaajabishwa kuona yale yaliyokuwa yakipingwa na wanaCCM dhidi ya wenzao nao pia CCM wameanza kuelekea na kufanya yale yale kwa njia ile ile iliyokuwa ikifanywa na CHADEMA. Ndiyo maana imefikia mahali nikakubali ule usemi usemao ukistaajabu ya CHADEMA utayaona ya CCM......

Swala hili limenipelekea nije na maswali yafuatayo kwa wanaCCM ili mimi na wengine tuweze kujiridhisha na yanayoendelea;

1. Je mtakuwa na majibu yepi kuntu ya kuwaeleza Watanzania pindi mtakapoulizwa kwa nini mlikuwa mnawanyooshea wenzenu vidole nanyi mmeamua kuwaiga??

2. Je mkiwa Chama tawala na mnapoyatazama na kufahamu kwa moyo wa dhati taabu wanazopitia watanzani mathalan madawa hakuna, changamoto za maabara na kadhalika hivi kweli mnastahili kufanya hayo mnayoyafanya??

3. Binafsi katika watu ambao labda ningependekeza atumie CHOPPER labda ni Katibu wenu Mkuu mzee Kinana na nyote mmeona kazi anayofanya ila hakuwahi fanya hivyo na naamini hajawahi kufikiri kufanya hivyo yeye hutumia usafiri anaoukuta huko aendako. Na nadhani hufanya hivyo ili kuwathibitishia Watanzania kuwa CCM nayo inataabika na kuomboleza pamoja nao ktk kila taabu wanazopitia. Je ni kwamba ninyi mmempuuza ama mmeamua kujikweza ili kuonekana ni wanaCCM wenye upeo mkubwa kuliko wenzenu wote?

4. Mtu wa pili pia ambaye ningedhani angestahili CHOPPER labda ni Raisi wa Taifa hili wakatio akikagua miradi ya maendeleo ila ameendelea kuwa muungwana sana na kutotaka kuudharau na kuupuza utu wa Watanzania amekuwa akisafiri kwa barabara ambazo amezisimamia yeye mwenyewe katika utawala wake na hili husadia hata kuwaeleza Watanznaia manake umejionea mwenyewe.. Sasa ninyi wanaCCM wengine wa CHOPPER huko angani mtanataka muwaambie Watanzania mnatekeleza Ilani gani? Ama ni Ilani ya UN ya kukwepa Ebola??

5. Nimepata kusikia kwamba wenzenu CHADEMA wakati mwingine hifanya hivyo ili angalau kupata umati wa watu kule wasiko kubalika hasa wale watakaokuna kushangaa CHOPPER.. Na ninyi mtueleze leo mnatumia Chopper ili kukusanya watu??

6. Moja ya falsafa ya Mwenyekiti wenu wa CCM ni maisha bora kwa kila Mtanzania. Sasa hamuoni hakutakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania hasa kwa kuwasumbua wanafunzi madarasani na makelele ya Chopper. Na ktk hili lazma mtazame na Polisi au jeshi vifaa kama Chopper hutumika panapo na shughuli maalum ili kutowasumbua Watanzania......

Ni hayo machache tu kwa leo mimi binafsi na Watanzania wengine ama wanaowaamini ama wenye kutaka kuwaamini na kuwa sehemu yenu wangependa kujua... Ili nasi tuweze kujiridhisha je mnatenda mnayo yaamini ama mnaamini wanayotenda wenzenu??
ziziii ziiii simmeona?
mziki wa chadema ccm wataweza wapi
 
Back
Top Bottom