Katibu wa UWT(CCM) Amina Makiragi amtuhumu Lembeli na Kamati yake ya Bunge!!

Laiser James

Member
Dec 5, 2013
77
8
Ni katika kikao cha kamati ya Wabunge wa Ccm,taarifa zinamnukuu Katibu mkuu wa Umoja wa Wanawake[UWT] wa chama hicho,Amina Makiragi akimtuhumu Lembeli na kamati yake kuwasilisha ripoti hiyo Bungeni badala ya kuipeleka katika kamati ya chama kwanza.

""Mheshimiwa Mwenyekiti""huyu Lembeli kweli ni mwenzetu huyu??
Mimi nadhani sio mwenzetu kabisa kabisaa! Huyu ni "Mpinzani". Angekuwa mwenzetu [Ccm] asingewasilisha ripoti hii Bungeni bila kupitisha kwetu kwenye chama kwanza,,,alisema Makirangi kwa sauti ya ukali!

Alikua mbunge wa Lushoto,Hennry Daffa Shekiffu ambae alikua mjumbe ktk kamati ya bunge iliyochunguza utekelezaji wa operesheni Tokomeza aliyeinuka na kumzima Makirangi.

Akiongea kwa sauti ya ukali,Shekiffu alisema, "Mimi ni mjumbe wa NEC" [Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM] kama ni chama hata mimi nina uchungu nacho
Kazi hii hatukutumwa na Ccm ili tuwaletee wao ripoti,"tulitumwa na Bunge na tumeifanya kwa maslahi ya Taifa".

Source; Gazeti la Mawio.
 
Lembeli ni CCM na ametusafishia njia kushinda uchaguzi 2015 kiulaini!
 
Hatimae Shekifu ameongea????? Mmmhhh kweli uchaguzi umekaribia!!!!!!
 
habari hii ishaletwa jamvini siku tano zilizopita.

acha uongo Mawio hutoka Alhamisi ambayo hata tahila akiongeza siku mpaka leo ni siku ya tatu sasa tano zipi au ndo walewale ambao mnathamini vyama vyenu badala ya maslahi ya Taifa.
 
Naomba tuheshimiane pls kabla sijakuhamisha jukwaa, hunijui nakujua huna la kunifanya. Sisi ndio wenye nchi hii

Acha kuleta ujinga wa kutishana, wewe ni MBURURA tu na kama unavyosema wewe ni miongoni mwa wenye nchi basi ndio maana mmetufikisha hapa tulipo, mjinga mkubwa we unatuletea habari za kwenye vilabu vya pombe hapa JF.
 
Ina maana ingepelekwa kwenye chama chama kingefunika huo uovu kwani ccm ni chama cha maovu kiyafiche?
 
Ni upumbavu kwa mbunge aliyeingia bungeni kwa tiketi ya CCM kusema Chama hakikumtuma kazi hiyo Bali ni bunge huyu naye ni mbunge MZIGO!!
 
Sijaelewa kitu sina hela ya kiroba rashidi nigongee ugoro

------.jpg
 
Back
Top Bottom