chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,009
- 20,684
Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze.
Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi ambayo Amiri wake ni SSH, wanamtii, hii ni pamoja na maafisa usalama wa pale Bungeni, Wana utii moja kwa moja kwa Rais.
Mnaowaza kura ya kutokuwa na imani endeleeni kuota, mtakula mnachoota. Hata bajeti ya kuitisha kikao cha Bunge, mpaka SSH aisaini kuruhusu pesa itokeee.
Walinzi katika jumba la spika, makazi yake, wanatoka kwa serikali ya SSH, wanaweza kumzuia Spika asitoke getini, au wale walioko Bungeni wakamzuia asiingie, yeye na wenzake