Katibu mpya wa CCM wilaya ya Mbeya mjini

Acha kumshanga handsome,kitendo cha mtanzania yeyote kuwa mwana CCM kinatosheleza kutambua uzuzu wake isipokuwa awe yeye mwenyewe ni mnufaika[FISADI]Nyani huyo usicheke naye utavuna mabua
 
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.

kumbe ndio wewe ulikuwa mwenyekiti wa ccm udom? Kuna kashfa hapa kuwa ulikula milioni 4 za chama hebu tuambie halafu inasemekana wewe mtoto si riziki..?
 
Najivunia sana kuwa mwana-familia wa Jf!!
Mhh!! Sidhani kama atarudi tena jamvini kutetea UOZO!!
 
ahaaaaaaaa,ukitaka kumuua mbwa msingizie ana kichaa,utajua tuu watoa hoja dhaifu lazima tjifunze itammaduni wa kuvumiliana ktkt political ideologies,unless otherwise tunaandaa Taifa la vurugu in future,Jenga hoja Matusi hayata saidia hasa ktk kujadili mambo ya msingi kama haya,Nyama wee
 
mh.Sangarara nakuheshim sana hii ni kutokana na michango yako,but aware na political saying,ni kauli tuu Kiongozi wangu,we ume transalate vp????

Nadhani utakuwa umeona baadhi ya members walivyokushambulia apo juu, nia yangu ni kukuelekeza kuchagua maneno ya kutumia kwa upana, hasa kwa kuzingatia maana ya maneno na kauli katika jamii husika, ndio maana nimekuuliza unajua wanawake huwa wanamaanisha nini, sababu maana ambayo huwa wanaipa kauli hiyo haitegemewi mwanamme anaweza akaibebesha kauli hiyo pia, you just need to be selective of the language kiongozi. ungetuma post hii kwenye jamii ya wakenya ningekaa kimya kabisa, sababu wangeichukulia kama ulivyoichukulia wewe.
 
Kila mtu anaweza kuwa kiongozi shupavu acheni mawazo potofu
 
ahaaaaaaaa,ukitaka kumuua mbwa msingizie ana kichaa,utajua tuu watoa hoja dhaifu lazima tjifunze itammaduni wa kuvumiliana ktkt political ideologies,unless otherwise tunaandaa Taifa la vurugu in future,Jenga hoja Matusi hayata saidia hasa ktk kujadili mambo ya msingi kama haya,Nyama wee
Haaaa!! Hii ndo tabu ya kuzaliwa G.house ukakulia B..r!! Wakumlaum hapa ni Mlezi kwa uzembe wa kukufunda.
 
Huyu katibu anafanaa tena CCM walichelewa sana kumgundua huyu kijana,hizo history eti za mbeya day,scout,zilishapitwa na wakati.kwa vile kijana mwenzetu tushirikiane arekebishe mambo hapa mjini.History haijengi.watu waliokuwa wanafuata history ndio hawa walioifikisha nchi hii hapa kwenye umaskini wa hali ya juu .Tubadiri fikra za kumtafuta mchawi na tuwe na fikra endelevu.
Peace.
 
Back
Top Bottom