Katibu mpya wa CCM wilaya ya Mbeya mjini

Chilipamwao

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
523
128
Nimesoma hapa jamvini kuwa katibu mpya wa wilaya ya mbeya CCM ni Raymond Mwangwale. Nimecheka sana, huyu bwana amesoma sm Azimio na tumesoma pamoja MBEYA DAY 1995-1998. hana kitu na kama CCM wamedhani kuwa kumleta huyu Mbeya ndio dawa, wasubiri matokeo!..
 
Kwa nini sasa hawakukupa wewe huo Katibu wa Mbeya kama huyo Raumond hana kitu. Wacha wivu wa kijinga
 
Kaka acha uongo,kaka ray namfaham tangu day one yeye ndiye aliyenipeleka kuniandikisha pale azimio 1993 darasa la kwanza,nimeishi nae nonde kule ray anaipenda ccm tangu mdogo alikuwa chipkizi,then akawa scout,na baadaye kaingia umoja wa vijana ccm kumbuka ccm inahtaji watu wenye moyo na wakujituma kama yeye, na sio eti wenye elimu kuubwa wkt siasa hawazijui,mby secondary 2likuwa tunaimba wimbo wenye ubet unaosema "elimika nenda katumike" na raymond mwangwala ameelimika so anatumika sasa
 
Acha wivu wa kike kijana.
Ray kafanya kazi ndani ya chama muda mrefu ukiunganisha uzoefu na uwezo alionao ndio maana kafika hapo.
Kumbuka watu wanakua..huwezi kumjaji mtu kwa tabia zake za shule ya msingi.
OTIS
 
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.
 
Mwanaume wa Shoka naomba ufafanuzi ?.Hii ni moja ya sifa za wanasiasa ?.

Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.
 
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.

hizi kauli za kumwambia mwenzako mwanaume wa shoka, zinatufanya tukuwekee alama ya kuuliza, zaidi ukiangalia na profile name yako ya 'handsome" aka sharobaro, dah. nakumbuka kauli hizi zilimponza SS wakati anamsifia EL kwenye vikao vyao vya NEC, akaambiwa aeleze uanaume wa lowassa akabaki kimya......
 
Huyo mi namfahamu vizuri alishakuwa na kashfa ya kuiba mitihani hapo Mbeya day sec school
 
hizi kauli za kumwambia mwenzako mwanaume wa shoka, zinatufanya tukuwekee alama ya kuuliza, zaidi ukiangalia na profile name yako ya 'handsome" aka sharobaro, dah. nakumbuka kauli hizi zilimponza SS wakati anamsifia EL kwenye vikao vyao vya NEC, akaambiwa aeleze uanaume wa lowassa akabaki kimya......

Kwani mmesahau agizo la kameruni?
 
Acha wivu wa kike kijana.
Ray kafanya kazi ndani ya chama muda mrefu ukiunganisha uzoefu na uwezo alionao ndio maana kafika hapo.
Kumbuka watu wanakua..huwezi kumjaji mtu kwa tabia zake za shule ya msingi.
OTIS

hivi wivu wa kike ukoje? Naomba kueleshwa!
 
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.

Kuna mahali nimekusoma umeandika ulisoma UDSM early 90s, na sasa hapa unasema umemfahamu ray ukiwa UDOM. Na inafahamika UDOM imeanza juzi kati hapa, Je umerudia chuo? Au umeshasahau ulichoandika!
 
Maranya huna Jipya fikiri mara mbili Udom Masters,acha ushamba kijana,
 
kwann mtu akia mrengo mwingi unakosa uvumilivu??ukiwa mwanasiasa we unataabu sana,kuna kitu kinaiwa Politial tolerance,jifunze kuwa nacho Nyama kabisa wewe,
 
Raymond ni miongoni mwa Majembe mazito ndani ya Chama cha Mapinduzi shupavu,kijana,Mtanashati wa Fikra,Mweledi katika kutenda si Mwongo anasema Kweli daima,i know hi,.i was Ccm chairman Udom while he was UVccm Secretary Dodoma Region,i like him,siriazly he is Gentleman,mwanaume wa shoka ajuae akitendacho daima,Hongera Kaka.

Handsome, unaelewa wanawake huwa wanamaanisha nini wanaposema "fulani ni mwanamme wa shoka"???
unajua implication ya wewe kutoa kauli kama hiyo??
 
mh.Sangarara nakuheshim sana hii ni kutokana na michango yako,but aware na political saying,ni kauli tuu Kiongozi wangu,we ume transalate vp????
 
Hahaha mimi nimesema kuhusu uwezo wake kisiasa, yes alikuwa chipukizi, hakuwahi kuwa scout mi nilikuwa boy scout so najua usinidanganye, nasema ana uwezo mdogo sana kisiasa, aliwahi kuwa HP Mbeya Sec mimi nikiwa na nafasi nyingine. Sitaki kueleza mengi ila nasema CCM are loosers kwa kudhani kuwa yeye anaweza. Huo wivu wa kike unatoka wapi. Je umepiga mswaki asubuhi?
 
Maranya huna Jipya fikiri mara mbili Udom Masters,acha ushamba kijana,

"Maneno makali na hasira ni tatizo letu ccm" kuwatisha watu wasiulize maswali. NA KUMBUKA CCM teuzi zetu zina matatizo kwani wakati mwingine hata prisoners, matapeli, mafisadi ndo usiseme wameteuliwa kuwa viongozi, na kwa taarifa ndugu yangu wewe kama kweli ni ccm ulipaswa kupokea maneno aliyotoa kama mtaji wa kufanyia kazi ili kujirekebisha na si kwa majibu mabovu. "hata mimi nafuatilia mwenendo wa namna viongozi wetu wa wilaya wanavyotumika hovyo, na wakati mwingine mipango mibovu ya kamati yetu ya siasa ktk hali hii ya ushindani kama hii ya kuzunguka na kuwaeleza watu vitu vya kufikirika fikirika kana kwamba na wao si chombo chenye dola kwa mfano swala la mbolea, kupanda kwa bei ya umeme na swala zima la kudhibiti mipaka kwa wakulima walioachwa wazame ktk ushindani wakati wa kuhitaji pembejeo. kupitia mikutano ya hadhara ya mh. viti maalum mary mwanjelwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom