johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,640
- 142,987
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amehudhuria Ibada ya Jumapili ya Mwanza baada ya Christmas wilayani Hai mkoani Kilimanjaro
Mh Mnyika aliongozana na Viongozi kadhaa wa Chadema wakiwemo Wabunge wa Viti Maalum
Source: TBC
Mh Mnyika aliongozana na Viongozi kadhaa wa Chadema wakiwemo Wabunge wa Viti Maalum
Source: TBC