Chadema Wamlilia Rais Samia Kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndugu Reuben kuwa DED Masasi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amelalamikia kuwa si Haki kumteua Mwenyekiti wa CCM kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye kimsingi Ndiye Msimamizi wa Uchaguzi

Mnyika ameongea maneno makali sana ambayo naogopa hata kuyaweka hapa

Ndugu Reuben ameteuliwa kuwa DED wa Masasi na kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM huko Mwanza

Nawatakia Dominica Njema 😀
 
CHADEMA hawajamlilia bali wamemshangaa 🤭🤭😱
 
Halafu kuna watu mnapata kabisa ujasiri wa kwenda kupiga kura wakati wa uchaguzi!!
Yaani DED kama huyo ndiyo utegemee kabisa kumtangaza mshindi halali kwenye uchaguzi!!

Aisee mimi nina akili sana kususia kupiga kura mpaka pale tu nchi itakapokuwa na Katiba iliyotokana na matakwa ya wananchi, badala ya ile inayoilinda CCM, kupitia policcm ya mwaka 1977!

Lakini pia uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi, na ambayo haiteuliwi moja kwa moja na Mwenyekiti wa CCM.
 
Huyu Mama asiendeleze ubabe wa Magufuli kaiambia Dunia nzima kuwa yeye ni "Reformer" sasa ni nini hiki?
 
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amelalamikia kuwa si Haki kumteua Mwenyekiti wa CCM kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ambaye kimsingi Ndiye Msimamizi wa Uchaguzi

Mnyika ameongea maneno makali sana ambayo naogopa hata kuyaweka hapa

Ndugu Reuben ameteuliwa kuwa DED wa Masasi na kwa sasa ni Mwenyekiti wa CCM huko Mwanza

Nawatakia Dominica Njema 😀
Vyeo vyote vimegeuzwa vya shukrani kwa makada
 
Hata chalamila alikuwa mkiti wa ccm iringa akaja kuwa RC mbeya
RC Ni cheo Cha kisiasa kwa hiyo hakuna tatizo. Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi kisiasa, kijamii na kiuchumi kimkoa ni Mkuu wa mkoa hata hata kama Kuna mkiti wa CC mkoa mwenye power ni Mkuu wa mkoa.
 
Huyu Mama asiendeleze ubabe wa Magufuli kaiambia Dunia nzima kuwa yeye ni "Reformer" sasa ni nini hiki?
Alivoingia madarakani watu walijua ni malaika wakakesha kwenye mabar wakila ulabu wakasahau kuwa nzi wa kijani wanafanana.

Na subirini mwakani uchaguzi wa mitaa mtakavyopigwa kata funua!watu wamekalili kwamba hawezi kuwakata wagombea majina wakati kuna mbinu kibao.

Na IGP Wambura ameshaambiwa ajiandae!kudadek mbona mtamkumbuka Jiwe kama alivomkumbuka Mh Tundu A L na kamanda Mdude Nyangali wameshamkumbua.
 
Acha tisha toto bora huyu Mama kuliko Magufuli na ukatili wake dhidi ya Wananchi.
 
Kwa kweli Rais kakosea Sana. Hivi huko kwenye halmashauri hakuna watumishi wakupandishwa vyeo Hadi aletwe mwenyekiti wa CCM?.
 
Alivoingia madarakani watu walijua ni malaika wakakesha kwenye mabar wakila ulabu wakasahau kuwa nzi wa kijani wanafanana.

Na subirini mwakani uchaguzi wa mitaa mtakavyopigwa kata funua!watu wamekalili kwamba hawezi kuwakata wagombea majina wakati kuna mbinu kibao.

Na IGP Wambura ameshaambiwa ajiandae!kudadek mbona mtamkumbuka Jiwe kama alivomkumbuka Mh Tundu A L na kamanda Mdude Nyangali wameshamkumbua.
Wote ni walewale, sema Magufuli uovu wake aliuweka hadharani , huyu Rais wa Sasa najifanya mwema kumbe ameficha makucha.
 
Back
Top Bottom