Katibu mkuu nishati na madini kikaangoni kesho

Deo mwanyika anataka ubunge na chama gani huko njombe kusini?

Kwa jinsi alivyokuwa corrupt hawezi kuomba ubunge kupitia chama kingine zaidi ya CCM. Deo ndiye mtu pekee ambaye wakati wote wa chaguzi amekuwa kiunganishi kati ya CCM na Barrick katika kupata pesa za kufanyia kampeni kwa CCM. Sina uhakika na chaguzi kabla ya 2005 lakini chaguzi nyingine zote, ikiwa pamoja na wa jimbo la Arumeru Mashariki, Barrick waliichangia CCM.
 
Deo mwanyika fisadi wa madini tanzania
Napenda kuwaambia watanzania kuwa tuangalie sana jinsi tunavyosalitiwa na baadhi ya watanzania wenzetu ambao wamekuwa wakifanaya unafiki wa kujifanya wanapenda nchi yao na watu wao.
Deo mwanyika ni makamu wa rais kampuni ya barik gold mine na yupo kwenye mchakato wa kutafuta ubunge njombe kusini jimbo la spika makinda.
Leo anatoa zawadi za mipira kwa vijana njombe akijifanya anapenda sana vijana,lakini tujiulize kwa nini leo na sio jana???/hadi awe na nia ya kutaka ubunge ndio aje?na wapi anakozipata hizo pesa za kuhonga watu apate ubungeeeeeeeeee
njombe kumbukeni munaweza kutoa afadhali na kuweka potelea mbali​
 
Back
Top Bottom