Katibu kata ccm kata mgwashi afariki dunia...pigo kwa mh.shelukindo...

Madevu

Member
Apr 19, 2010
25
1
Napenda kutoa taarifa za kusikitisha za kuondokewa na mwanachama,kada na kiongozi wa CCM kata ya mgwashi jimbo la bumbuli,Mama Krista Sheshe, aliyekuwa katibu wa CCM kata ya mghwashi, wilaya lushoto jimbo la bumbuli.
Marehemu Krista amefia hospitali ya wilaya Lushoto baada ya kuugua kwa muda wa mwezi mmoja...
Alikuwa ni kiongozi mwenye msimamo wa dhati na aliyekuwa mstari wa mbele kutetea chama pale panapotokea uvunjwaji wa kanuni za chama, amekitumikia chama kwa muda mrefu na amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na msimamo wake.

Kufariki kwa kada huyu wa chama ni pigo kwa chama lakini pia i pigo kubwa kwa Mh Shelukindo kwani alikuwa ni mtu aliyemtegemea sana kwakuwa hakuteteleka katika msimamo, mama Krista alikataa kurubuniwa na baadhi ya viongozi wa chama ili kumuunga mkono mtu aliyejitokeza kutaka kugombea ubunge mwaka huu, na hapo ndipo tofauti yeye na mewenyekti wake zilpoanza,mpaka anafariki uongozi wa wa chama w kata haukuwa pamoja kutokana na tofauti za kiitikadi na marehemu kuendelea kumuunga mkono mbunge aliyekuwepo madarakani....

Marehemu atazikwa kesho mchana huko mgwashi..
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..Amen
 
Back
Top Bottom