Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele.

Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi hata wao hawatapenda kuandika Katiba mpya, wataing'ang'ania Katiba hii hii.

Katiba hii ya 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi ambae anajali watu wake kwakuwa kwa kutumia katiba hii unaweza kujenga barabara ya njia 6 hata kwenye mitaa yenye msongamano mkubwa kama ya Posta au Kariakoo kwa gharama ndogo kabisa. Lakini, Katiba hii ni mbaya kwa kiongozi mbaya, mwizi, mbadhilifu, mvivu, mkabila, mdini, goigoi na dikteta.

Hata hivyo, sitaki mtu atuaminishe watanzania kuwa Katiba mpya ndiyo itakayomaliza shida zetu za upatikanaji wa hewa safi, maji safi, chakula, afya, amani na huduma nyingine ambazo sasa hivi hazifanyi vizuri. Kenya tuliwasifu sana kuwa wanayo Katiba mpya na yakisasa kabisa, lakini hali yao sio bora kivileee kama nilivyokuwa ninatarajia kuiona. Bado Kenya walihangaika sana na mambo yao ya uchaguzi na kutoa matokeo ya uchaguzi. Kule Marekani wanayo katiba bora sana lakini bado walisumbuliwa na uchaguzi na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wao.

Siwezi kuunga mkono serikali kupunguza fedha kwenye miradi kama ya maji, afya, elimu, kilimo, na miundombinu kwasababu ya kwenda kuandika Katiba mpya. Wengi wanaoitaka Katiba mpya haraka na kufa na kupona ni kwaajili tu ya kuongeza uwezekano kwa kundi na watu wao kuweza kuchaguliwa na kupata uongozi wa kuchaguliwa kama vile Urais, Ubunge na Udiwani na kuunda serikali. Malengo kama haya sio kipaumbele kwangu mimi mtanzania.

Ninapenda Katiba mpya, lakini Katiba ambayo inamuadhibu kikamilifu mtu yeyote ambae ataiba au kutumia vibaya rasilimali zetu, katiba ambayo inalinda rasilimali zetu na watu wetu kikamilifu, katiba ambayo inajali haki za watu, lakini Katiba ambayo asiyefanyakazi hatakula wala kutibiwa.

Na mara nyingi "Kaiba nzuri" ni ile inayowafurahisha wazungu, yenye maslahi kwa wazungu kuliko raia.
 
Katiba mpya ni muhimu sana tena sanaaa....

Najua hii katiba tuliyo nayo mamlaka ya Raisi akitoka MWENYEZ MUNGU anafuata Rais wa JMT..

Kuongozaa nchi sio kama kuitawala familia yako au ka ukoo Kako..

Issue ni kua mm Huwa naamini katika fikra za ADOLF HITRER
Kuna binadamu Mungu kawapendelea kuwapa akili na upeo na maono Sasa Hawa watumike kuwasaidia wengine jinsi ya kufikiria na kufanya maamuzi Kwa niaba so tuwaelimishe...
Kwa miaka mitatu it's a logic hapo natofautiana na mama Samia otherwise nyuma ya pazia Kuna kitu ambacho mama Samia kakiona Sasa ameamua kukikwepa...
 
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele.

Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi hata wao hawatapenda kuandika Katiba mpya, wataing'ang'ania Katiba hii hii.

Katiba hii ya 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi ambae anajali watu wake kwakuwa kwa kutumia katiba hii unaweza kujenga barabara ya njia 6 hata kwenye mitaa yenye msongamano mkubwa kama ya Posta au Kariakoo kwa gharama ndogo kabisa. Lakini, Katiba hii ni mbaya kwa kiongozi mbaya, mwizi, mbadhilifu, mvivu, mkabila, mdini, goigoi na dikteta.

Hata hivyo, sitaki mtu atuaminishe watanzania kuwa Katiba mpya ndiyo itakayomaliza shida zetu za upatikanaji wa hewa safi, maji safi, chakula, afya, amani na huduma nyingine ambazo sasa hivi hazifanyi vizuri. Kenya tuliwasifu sana kuwa wanayo Katiba mpya na yakisasa kabisa, lakini hali yao sio bora kivileee kama nilivyokuwa ninatarajia kuiona. Bado Kenya walihangaika sana na mambo yao ya uchaguzi na kutoa matokeo ya uchaguzi. Kule Marekani wanayo katiba bora sana lakini bado walisumbuliwa na uchaguzi na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wao.

Siwezi kuunga mkono serikali kupunguza fedha kwenye miradi kama ya maji, afya, elimu, kilimo, na miundombinu kwasababu ya kwenda kuandika Katiba mpya. Wengi wanaoitaka Katiba mpya haraka na kufa na kupona ni kwaajili tu ya kuongeza uwezekano kwa kundi na watu wao kuweza kuchaguliwa na kupata uongozi wa kuchaguliwa kama vile Urais, Ubunge na Udiwani na kuunda serikali. Malengo kama haya sio kipaumbele kwangu mimi mtanzania.

Ninapenda Katiba mpya, lakini Katiba ambayo inamuadhibu kikamilifu mtu yeyote ambae ataiba au kutumia vibaya rasilimali zetu, katiba ambayo inalinda rasilimali zetu na watu wetu kikamilifu, katiba ambayo inajali haki za watu, lakini Katiba ambayo asiyefanyakazi hatakula wala kutibiwa.

Na mara nyingi "Kaiba nzuri" ni ile inayowafurahisha wazungu, yenye maslahi kwa wazungu kuliko raia.
Ku..........ko
 
Jambo la kukumbuka ni kwamba katiba ndiyo "sheria mama". Kama katiba "sheria mama" ina 'matobo matobo', hata sheria zitakazotungwa zitakuwa na 'matobo matobo'. Ndiyo maana katiba inaweza kusema "X" na kiongozi au law enforcer akasema "Y" (akafanya jambo linalopingana na katiba) na bado akaonekana yuko sahihi kwa mujibu wa sheria. Katika mazingira kama haya tunakuwa tukisonga mbele kidogo, tunarudi nyuma sana. Kwenye sheria nimejifunza "any law enforcer must do or not do something with the authority of the law". Ukiona law enforcer (kama baadhi wanavyofanya) anatenda jambo bila kufuata sheria na bado anaona ndiyo wajibu wake kufanya hivyo, ujue kuna tatizo kubwa.
 
Kwa hiyo unaafiki tufanye training mpya kwa miaka 3 kabla ya kuandika nyingine.
 
kwa akili kama hizi za mtoa hoja tunaomba serikali iongoze miaka mitano zaidi watu waelimishwe umuhimu wakatiba
mitano haitoshi mi nafikiri iwe 20 kabisa ili watoto na wajukuu zetu wajikite kuvijua vifungu vyote vitakavyoandikwa ili visiwasumbue huko mbeleni kwenye tafsiri.
 
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele.

Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi hata wao hawatapenda kuandika Katiba mpya, wataing'ang'ania Katiba hii hii.

Katiba hii ya 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi ambae anajali watu wake kwakuwa kwa kutumia katiba hii unaweza kujenga barabara ya njia 6 hata kwenye mitaa yenye msongamano mkubwa kama ya Posta au Kariakoo kwa gharama ndogo kabisa. Lakini, Katiba hii ni mbaya kwa kiongozi mbaya, mwizi, mbadhilifu, mvivu, mkabila, mdini, goigoi na dikteta.

Hata hivyo, sitaki mtu atuaminishe watanzania kuwa Katiba mpya ndiyo itakayomaliza shida zetu za upatikanaji wa hewa safi, maji safi, chakula, afya, amani na huduma nyingine ambazo sasa hivi hazifanyi vizuri. Kenya tuliwasifu sana kuwa wanayo Katiba mpya na yakisasa kabisa, lakini hali yao sio bora kivileee kama nilivyokuwa ninatarajia kuiona. Bado Kenya walihangaika sana na mambo yao ya uchaguzi na kutoa matokeo ya uchaguzi. Kule Marekani wanayo katiba bora sana lakini bado walisumbuliwa na uchaguzi na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wao.

Siwezi kuunga mkono serikali kupunguza fedha kwenye miradi kama ya maji, afya, elimu, kilimo, na miundombinu kwasababu ya kwenda kuandika Katiba mpya. Wengi wanaoitaka Katiba mpya haraka na kufa na kupona ni kwaajili tu ya kuongeza uwezekano kwa kundi na watu wao kuweza kuchaguliwa na kupata uongozi wa kuchaguliwa kama vile Urais, Ubunge na Udiwani na kuunda serikali. Malengo kama haya sio kipaumbele kwangu mimi mtanzania.

Ninapenda Katiba mpya, lakini Katiba ambayo inamuadhibu kikamilifu mtu yeyote ambae ataiba au kutumia vibaya rasilimali zetu, katiba ambayo inalinda rasilimali zetu na watu wetu kikamilifu, katiba ambayo inajali haki za watu, lakini Katiba ambayo asiyefanyakazi hatakula wala kutibiwa.

Na mara nyingi "Kaiba nzuri" ni ile inayowafurahisha wazungu, yenye maslahi kwa wazungu kuliko raia.
Na pesa za kodi wabunge 50 Zanzibar wanaowakilisha watu milioni 2 Dodoma kwa pesa ya walipa kodi wa Bara sii matumizi mabaya ya pesa? Kwa miaka 60 unajua madarasa mangapi yangejengwa na pesa hii? KATIBA NZURI NI KILA KITU
 
Katiba mpya ni muhimu sana tena sanaaa....

Najua hii katiba tuliyo nayo mamlaka ya Raisi akitoka MWENYEZ MUNGU anafuata Rais wa JMT..

Kuongozaa nchi sio kama kuitawala familia yako au ka ukoo Kako..

Issue ni kua mm Huwa naamini katika fikra za ADOLF HITRER
Kuna binadamu Mungu kawapendelea kuwapa akili na upeo na maono Sasa Hawa watumike kuwasaidia wengine jinsi ya kufikiria na kufanya maamuzi Kwa niaba so tuwaelimishe miaka mitatu it's a logic hapo natofautiana na mama Samia otherwise nyuma ya pazia Kuna kitu ambacho mama Samia kakiona Sasa ameamua kukikwepa...
Shida ya hao watu unaowasema kuwa wana upeo sio kweli kwamba wanataka kusaidia wengine bali kinachowakera wao zaidi kwenye katiba hii ni tume ya uchaguzi na sheria ya jeshi la polisi baasi. Yaani wanachotaka wao ni barabara ya kwenda Ikulu iwe pana baasi. Katiba hii ya sasa iliandikwa na watu wachache sana bila kuwahusisha wananchi, tusirudie kosa hilo tena. Elimu ya Katiba itolewe kwa watu maana kuna watu wengi ambao walikuwa watoto wakati ule wa tume ya Katiba ya Warioba ambao sasa wamekuwa watu wazima.
 
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele.

Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi hata wao hawatapenda kuandika Katiba mpya, wataing'ang'ania Katiba hii hii.

Katiba hii ya 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi ambae anajali watu wake kwakuwa kwa kutumia katiba hii unaweza kujenga barabara ya njia 6 hata kwenye mitaa yenye msongamano mkubwa kama ya Posta au Kariakoo kwa gharama ndogo kabisa. Lakini, Katiba hii ni mbaya kwa kiongozi mbaya, mwizi, mbadhilifu, mvivu, mkabila, mdini, goigoi na dikteta.

Hata hivyo, sitaki mtu atuaminishe watanzania kuwa Katiba mpya ndiyo itakayomaliza shida zetu za upatikanaji wa hewa safi, maji safi, chakula, afya, amani na huduma nyingine ambazo sasa hivi hazifanyi vizuri. Kenya tuliwasifu sana kuwa wanayo Katiba mpya na yakisasa kabisa, lakini hali yao sio bora kivileee kama nilivyokuwa ninatarajia kuiona. Bado Kenya walihangaika sana na mambo yao ya uchaguzi na kutoa matokeo ya uchaguzi. Kule Marekani wanayo katiba bora sana lakini bado walisumbuliwa na uchaguzi na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wao.

Siwezi kuunga mkono serikali kupunguza fedha kwenye miradi kama ya maji, afya, elimu, kilimo, na miundombinu kwasababu ya kwenda kuandika Katiba mpya. Wengi wanaoitaka Katiba mpya haraka na kufa na kupona ni kwaajili tu ya kuongeza uwezekano kwa kundi na watu wao kuweza kuchaguliwa na kupata uongozi wa kuchaguliwa kama vile Urais, Ubunge na Udiwani na kuunda serikali. Malengo kama haya sio kipaumbele kwangu mimi mtanzania.

Ninapenda Katiba mpya, lakini Katiba ambayo inamuadhibu kikamilifu mtu yeyote ambae ataiba au kutumia vibaya rasilimali zetu, katiba ambayo inalinda rasilimali zetu na watu wetu kikamilifu, katiba ambayo inajali haki za watu, lakini Katiba ambayo asiyefanyakazi hatakula wala kutibiwa.

Na mara nyingi "Kaiba nzuri" ni ile inayowafurahisha wazungu, yenye maslahi kwa wazungu kuliko raia.
Umeandika weeee! Umeonesha kuwa ni mmoja wa wale wanaoambiwa katiba haikuwekei chakula mezani!
Katiba ni mkataba kati yako na serikali kuwa baada ya wewe kulipa kodi nayo inalazimika kukutimizia mahitaji yote ukiwemo ulinzi. Bila katiba hautakuwa na wakumdai endapo utakosa makazi, elimu, huduma za afya, maji, chakula cha kununua au ardhi ya kulima.
Bila katiba hauna wa kumdai maishani mwako.
 
Kwa hiyo unaafiki tufanye training mpya kwa miaka 3 kabla ya kuandika nyingine.
Hatuna haraka hiyo ya kupata katiba mpya leoleo, kwani uzuri au ubaya wa katiba unapimwa kwa kutumia kiwango cha furaha walichonacho raia wake. hata uwe na Katiba nzuri namna gani kama watu hawana maji, chakula, usafiri na usafirishaji, usalama, elimu bora, nishati ya uhakika, afya, malazi na mavazi katiba hiyo haitakuwa na maana yoyote.
 
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele.

Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi hata wao hawatapenda kuandika Katiba mpya, wataing'ang'ania Katiba hii hii.

Katiba hii ya 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi ambae anajali watu wake kwakuwa kwa kutumia katiba hii unaweza kujenga barabara ya njia 6 hata kwenye mitaa yenye msongamano mkubwa kama ya Posta au Kariakoo kwa gharama ndogo kabisa. Lakini, Katiba hii ni mbaya kwa kiongozi mbaya, mwizi, mbadhilifu, mvivu, mkabila, mdini, goigoi na dikteta.

Hata hivyo, sitaki mtu atuaminishe watanzania kuwa Katiba mpya ndiyo itakayomaliza shida zetu za upatikanaji wa hewa safi, maji safi, chakula, afya, amani na huduma nyingine ambazo sasa hivi hazifanyi vizuri. Kenya tuliwasifu sana kuwa wanayo Katiba mpya na yakisasa kabisa, lakini hali yao sio bora kivileee kama nilivyokuwa ninatarajia kuiona. Bado Kenya walihangaika sana na mambo yao ya uchaguzi na kutoa matokeo ya uchaguzi. Kule Marekani wanayo katiba bora sana lakini bado walisumbuliwa na uchaguzi na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wao.

Siwezi kuunga mkono serikali kupunguza fedha kwenye miradi kama ya maji, afya, elimu, kilimo, na miundombinu kwasababu ya kwenda kuandika Katiba mpya. Wengi wanaoitaka Katiba mpya haraka na kufa na kupona ni kwaajili tu ya kuongeza uwezekano kwa kundi na watu wao kuweza kuchaguliwa na kupata uongozi wa kuchaguliwa kama vile Urais, Ubunge na Udiwani na kuunda serikali. Malengo kama haya sio kipaumbele kwangu mimi mtanzania.

Ninapenda Katiba mpya, lakini Katiba ambayo inamuadhibu kikamilifu mtu yeyote ambae ataiba au kutumia vibaya rasilimali zetu, katiba ambayo inalinda rasilimali zetu na watu wetu kikamilifu, katiba ambayo inajali haki za watu, lakini Katiba ambayo asiyefanyakazi hatakula wala kutibiwa.

Na mara nyingi "Kaiba nzuri" ni ile inayowafurahisha wazungu, yenye maslahi kwa wazungu kuliko raia.

Hara Kwa kuku chakula na Maji ni muhimu kuliko Katiba.

Ama kweli umeandika kama kuku tu.
 
Wanaharakati siku zote huona udhaifu wa serikali hawana uwezo wa kuwa na maongezi chanya juu ya kile kinachofanywa.

Wengi wao ni wakazi wa mijini wasiojua nini kinaendelea huko Kigoma, huko Sumbawanga. Serikali inaposhughulika na kero moja kwa moja inaondoa sababu za wanaharakati kuwa na umuhimu kila mahali wanaposomwa habari zao.
 
NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele.

Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi hata wao hawatapenda kuandika Katiba mpya, wataing'ang'ania Katiba hii hii.

Katiba hii ya 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi ambae anajali watu wake kwakuwa kwa kutumia katiba hii unaweza kujenga barabara ya njia 6 hata kwenye mitaa yenye msongamano mkubwa kama ya Posta au Kariakoo kwa gharama ndogo kabisa. Lakini, Katiba hii ni mbaya kwa kiongozi mbaya, mwizi, mbadhilifu, mvivu, mkabila, mdini, goigoi na dikteta.

Hata hivyo, sitaki mtu atuaminishe watanzania kuwa Katiba mpya ndiyo itakayomaliza shida zetu za upatikanaji wa hewa safi, maji safi, chakula, afya, amani na huduma nyingine ambazo sasa hivi hazifanyi vizuri. Kenya tuliwasifu sana kuwa wanayo Katiba mpya na yakisasa kabisa, lakini hali yao sio bora kivileee kama nilivyokuwa ninatarajia kuiona. Bado Kenya walihangaika sana na mambo yao ya uchaguzi na kutoa matokeo ya uchaguzi. Kule Marekani wanayo katiba bora sana lakini bado walisumbuliwa na uchaguzi na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wao.

Siwezi kuunga mkono serikali kupunguza fedha kwenye miradi kama ya maji, afya, elimu, kilimo, na miundombinu kwasababu ya kwenda kuandika Katiba mpya. Wengi wanaoitaka Katiba mpya haraka na kufa na kupona ni kwaajili tu ya kuongeza uwezekano kwa kundi na watu wao kuweza kuchaguliwa na kupata uongozi wa kuchaguliwa kama vile Urais, Ubunge na Udiwani na kuunda serikali. Malengo kama haya sio kipaumbele kwangu mimi mtanzania.

Ninapenda Katiba mpya, lakini Katiba ambayo inamuadhibu kikamilifu mtu yeyote ambae ataiba au kutumia vibaya rasilimali zetu, katiba ambayo inalinda rasilimali zetu na watu wetu kikamilifu, katiba ambayo inajali haki za watu, lakini Katiba ambayo asiyefanyakazi hatakula wala kutibiwa.

Na mara nyingi "Kaiba nzuri" ni ile inayowafurahisha wazungu, yenye maslahi kwa wazungu kuliko raia.
Pata mirinda nyeusi kwa uwasilishaji huu! Ambaye hatakuelewa ni mlemavu wa akili
 
Na pesa za kodi wabunge 50 Zanzibar wanaowakilisha watu milioni 2 sii matumizi mabaya ya pesa? Kwa miaka 60 unajua madarasa mangapi yangejengwa na pesa hii? KATIBA NZURI NI KILA KITU
Suala la wingi au uchache wa wabunge ni la wananchi wenyewe. Kinachofanyika huko Zanzibar unakijua kwa kina?
 
Umeandika weeee! Umeonesha kuwa ni mmoja wa wale wanaoambiwa katiba haikuwekei chakula mezani!
Katiba ni mkataba kati yako na serikali kuwa baada ya wewe kulipa kodi nayo inalazimika kukutimizia mahitaji yote ukiwemo ulinzi. Bila katiba hautakuwa na wakumdai endapo utakosa makazi, elimu, huduma za afya, maji, chakula cha kununua au ardhi ya kulima.
Bila katiba hauna wa kumdai maishani mwako.
Kwani katiba hii ya sasa haisemi hivyo? Wanaohimiza Katiba mpya wanachoangalia zaidi Ibara zinazohusu uchaguzi, tume ya uchaguzi na sheria ya jeshi la polisi baasi. Hawa ni watu wanaotaka kuingia Ikulu tu bila kuangalia maslahi mapana ya taifa. Ningewaunga mkono kama kero yao ya kutaka katiba mpya ingekuwa kuwaondolea kinga viongozi wote kushitakiwa watakapofanya makosa makubwa.
 
Na pesa za kodi wabunge 50 Zanzibar wanaowakilisha watu milioni 2 Dodoma kwa pesa ya walipa kodi wa Bara sii matumizi mabaya ya pesa? Kwa miaka 60 unajua madarasa mangapi yangejengwa na pesa hii? KATIBA NZURI NI KILA KITU
Kwani Katiba hii inaelekeza hivyo? Kwani idadi hii ya wabunge ni maelekezo ya Kikatiba? Huwataki wazanzibar tu bila sababu. Dhana kama hiyo ndiyo iliyovuruga mchakato wa katiba ulipita, UKAWA waling'ang'ania muungano wa mkataba na serikali tatu.
 
Kwani katiba hii ya sasa haisemi hivyo? Wanaohimiza Katiba mpya wanachoangalia zaidi Ibara zinazohusu uchaguzi, tume ya uchaguzi na sheria ya jeshi la polisi baasi. Hawa ni watu wanaotaka kuingia Ikulu tu bila kuangalia maslahi mapana ya taifa. Ningewaunga mkono kama kero yao ya kutaka katiba mpya ingekuwa kuwaondolea kinga viongozi wote kushitakiwa watakapofanya makosa makubwa.
Ndani ya katiba iliyopo mengi ni ya hiari, hii inatokana na wakati ilipotungwa.
 
Back
Top Bottom