Katiba Mpya: NCCR a perfect case for change!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- People unajua NCCR wanatukumbusha umuhimu wa kuondoa utitiri wa Vyama vingi hewa vya Upinzani tulivyonavyo. Wakati umefika ni muhimu through katiba mpya tukavunja vyama vyote vya Upinzani na kubaki na Vitatu tu, CCM, Chadema na Independent Party.

- I mean we cant afford as a Nation kuendelea na this foolishness of mediocre represantation ambapo Wenyeviti wa Vyama vetu vya siasa wanakuwa Semi-Gods through our Ruzuku but no record of anything worthy to us the people of what they are doing with our money zaidi ya kugombana na kufukuzana ambayo ni furaha ya CCM.

- People we need to take our Nation back, from the Mbatias and the likes na ni muhimu tukawa na Independent Party kuondoa ufalme wa Wenyeviti wa Vyama vikuu Viwili tu vya siasa under new katiba.

William @..NYC,USA: Mutuz Le Baharia Big Show!
 
Mbona content na heading haviendani? by the way ngoja tusubiri wana ngangari tuone watasemaje maana inaonekana kama Seif humtakii mema.
 
CUF si tayari walishakuwa part of the ruling party CCM au I am missing something?
kichwa cha habari kimenichanganya kidogo

sasa una maoni gani juu ya hizi tuhuma za waziri wa fedha Mkulo na balozi kamala na mheshimiwa Lukuvi kuwa na degrees na Phd feki?
 
Kumetokea technical problems na heading nimewaomba mods tayari warekebishe.

- Kuhusu PhD feki kama ni kweli na ikithibitishwa kujinufaisha nazo ninaamini ni a Criminal case.
 
Lakini kaka kwanini serikali au waziri husika hawatoi statement ya kukubali au kukanusha hizi habari?

kimya chao means watu wanaendelea ku speculate and this is really bad kitaifa

Mfano issue ya Kamala...I dont want to believe lakini watu walivyolizungumzia inaonekana kuna gaps na maswali ambayo hayana majibu

why cant Ikulu au foreign au wizara husika come up with a report on this allegations?
hivi nchi za wenzetu huko ndivyo mambo yanavyoendeshwa?
 
Nyerere alisema utitiri wa vyama vya kwenye briefcase vitakufa vyenyewe, the problem ni kwamba kuna vyama vya TISS na vya serikali, vile vya serikali (PPPT, UPDP) huwa vinafufuliwa wakati wa chaguzi ili kuwazuga wakubwa kuwa Tanzania kuna democracy na vile vya TISS-CCM (NCCR na sasa CUF) vipo kwa lengo la kuwachanganya wapiga kura. Mathalani watu wanadhani baada ya Kafulila kufukuzwa ruzuku ya NCCR itapungua la hasha ndiyo kwanza inaongezeka. Kwa hiyo inakuwa ngumu sana kuviua vyama vya aina hii kwa vile vina fungu lao kutoka serikalini, ila kuna vyama ambavyo vitakufa naturally.
 
Kumetokea technical problems na heading nimewaomba mods tayari warekebishe.

- Kuhusu PhD feki kama ni kweli na ikithibitishwa kujinufaisha nazo ninaamini ni a Criminal case.
Sasa warekebishe kipi heading au content maana naona watu wanajadili vitu vitatu kwa pamoja PhD feki, Mabalozi na vyama hivyo vitatu.
 
Easyfit dont worry mods wanajua what to do.

- On Vyama vingi vya Upinzani ni lazima wananchi tufike mahali tuvikatae and take back our Nation from the pathetics.

- On vyeti fake somebody needs to sue them naona ndio the only easy way kuwalazimisha wajibu on their PhDs, I hope zipo facts against them cause sipendi us kuwa source ya majungu!
 
kati ya wote ya Mkullo ndiyo kali.. Hana Adv cert,ana Ordinary Diploma,hana degree,lakini ana Masters!
 
- People unajua NCCR wanatukumbusha umuhimu wa kuondoa utitiri wa Vyama vingi hewa vya Upinzani tulivyonavyo. Wakati umefika ni muhimu through katiba mpya tukavunja vyama vyote vya Upinzani na kubaki na Vitatu tu, CCM, Chadema na Independent Party.

- I mean we cant afford as a Nation kuendelea na this foolishness of mediocre represantation ambapo Wenyeviti wa Vyama vetu vya siasa wanakuwa Semi-Gods through our Ruzuku but no record of anything worthy to us the people of what they are doing with our money zaidi ya kugombana na kufukuzana ambayo ni furaha ya CCM.

- People we need to take our Nation back, from the Mbatias and the likes na ni muhimu tukawa na Independent Party kuondoa ufalme wa Wenyeviti wa Vyama vikuu Viwili tu vya siasa under new katiba.

William @..NYC,USA: Mutuz Le Baharia Big Show!

Hakuna atakayeweza kutunga sheria ya kuburn baadhi ya vyama kwa sababu tu ya ruzuku, vipi kuhusu wanachama wa chama husika ambacho unapendekeza kifutwe?
Kama unadhani maamuzi ya chama yanayogharimu chama husika na serikali yanarekebishwa kwa kufuta chama hicho, basi CCM ilipaswa kufutwa kitambo sana.
Then hili swala la katiba mpya usilichukulie kama muarobaini wa taifa kwani katiba hii mpya tunaibadilisha front cover tu.
 
- People unajua NCCR wanatukumbusha umuhimu wa kuondoa utitiri wa Vyama vingi hewa vya Upinzani tulivyonavyo. Wakati umefika ni muhimu through katiba mpya tukavunja vyama vyote vya Upinzani na kubaki na Vitatu tu, CCM, Chadema na Independent Party.

- I mean we cant afford as a Nation kuendelea na this foolishness of mediocre represantation ambapo Wenyeviti wa Vyama vetu vya siasa wanakuwa Semi-Gods through our Ruzuku but no record of anything worthy to us the people of what they are doing with our money zaidi ya kugombana na kufukuzana ambayo ni furaha ya CCM.

- People we need to take our Nation back, from the Mbatias and the likes na ni muhimu tukawa na Independent Party kuondoa ufalme wa Wenyeviti wa Vyama vikuu Viwili tu vya siasa under new katiba.

William @..NYC,USA: Mutuz Le Baharia Big Show!

Willium Malecela,

I must admit that the multi-party system comes with problems of it own – especially the huge cost the government incurs in financing the parties, most of which exist only on paper (husband & wife parties), and have never won even a Councillor election.

The solution to this problem is very simple. Rather than abolish the parties and institute a two-party system, stricter measures should be set down for parties to qualify for state funding. For instance, parties would need to have functional secretariats in at least 18 states of the Union Government or incase after Katiba mpya kama tutakuwa na serikali za majimbo (federal system) and produce at least one individual holding elective office in at least half of these Regions/states. With this sort of framework in place, all the ‘face-me-I-face-you' parties would fizzle out and only the serious parties would survive. Indeed, the current norm of state funding for political parties could even be jettisoned altogether!

We must also understand that three-partyism is not the panacea to a ‘one party state' which we fear the CCM dominance could lead to. Indeed, the CCM supposed dominance of the political space is a function of the defective electoral process, and the party's awesome rigging machinery which is probably the largest and most ruthless in the history of mankind. If we manage to achieve electoral reform, and future elections become more credible, free and fair, the CCM macabre hegemony will whittle away – making way for other parties with more popular candidates. You don't need a two-party system to achieve this; all you need is free and fair elections.

Another problem is that the two or three party system as it is used in the US for example are identified with an ideology. Democrats with liberalism, higher taxes for middle class/rich people. pro-immigration, pro-abortion, pro-anything lol, then the Republicans who are basically the opposite. This is usually not the case.

But anyways most of the Tanzanian parties are not associated with any political ideology and neither are they committed to the furtherance of any issue except stealing as much as they can, although it could be pointed out that they are divided across ethnic lines.
 
Easyfit dont worry mods wanajua what to do.

- On Vyama vingi vya Upinzani ni lazima wananchi tufike mahali tuvikatae and take back our Nation from the pathetics.

- On vyeti fake somebody needs to sue them naona ndio the only easy way kuwalazimisha wajibu on their PhDs, I hope zipo facts against them cause sipendi us kuwa source ya majungu!
Vyama hivi vinafanya haya kwa kuiga yaliyopata kufanywa na CCM tena enzi ya chama kimoja. Akina Seif na Hamad Rashid walifukuzwa uanachama CCM wakati ule ambapo hatukuwa na chama kingine cha siasa. Tatizo sio wingi au utitiri wa vyama bali ni sheria hii ya kijinga kabisa ambayo mtu aliyechaguliwa na WATANZANIA wengi kuwa Mbunge anavuliwa uongozi na kikundi kidogo tu cha watu wanaojiita halmashauri kuu wasiofikia hata 100. Wanakaa kwenye kaukumbi ka kiyoyozi hapa Dar kwa ruzuku yetu wanafikia maamuzi kama haya ambayo sio tu yanamgharimu mhusika bali na Taifa kwa kugharamia upya uchaguzi mdogo.
 
Hapa swala ni uvumilivu. Hata kwenye hao independent candidate watatuboa tu, swala hapa ni kujenga utaifa na kupenda nchi yetu, watoto wetu wajukuu zetu. Tukijua hatufanyi kwa ajili yetu tu tutaendelea. Kwa hali ilivyo hivi sasa wengi ni wanafiki, walafi, wezi, wahujumu na wavivu. wengi wanatumia watanzania masikini na wasio na elimu kujinufaisha kwa mitindo ya posho, ruzuku, ubunge, udiwani, uwaziri na Ikulu.

Inauma sana kuona hata uliowaamini ni wasaliti. Wacha wafu wazike wafu wao. Mpaka wote tujue chungu ya shubiri ndio tutaweza kujua kiza faida yake ni kupotea.

Swala la kufukuzana vyama halitamalizwa na mgombea binafsi, wala katiba mpya. katiba mpya haitafuta vyama vya siasa. Mgombea binafsi hatafuta vyama vya siasa. Nidhamu ya kuhudumia wananchi na madhara ya kufukuzana ubunge, wananchi kujua madhambi ya viongozi wao ndio njia pekee.

Vilevile vijana kujifunza kuwa ukiwa ndani ya mfumo ulioukubali uheshimu viongozi wako. Kutukana viongozi wako eti kisa hamuelewani haisaidii haionyeshi busara wala hakujengi. Tumieni vikao halali mlivyokubaliana kwenye katiba yenu. Jifunzeni kuwa viongozi, uongozi sio kupita na suti ukishangaliwa ni pamoja na uwezo wa kudumu na status quo.

Mbatia ni pandikizi la CCM ila na Kafulila alitumiwa vibaya na wenzake akaweka akili yake rehani; vile vile na yeye anaweza kuwa pandikizi la CCM kwani anavujisha siri kila aendapo. Haiwezekani kila chama yeye ndiye mbaya. Lazima tujifunze subira na tujue madhara na ubishi hata pale unayembishia ni kichaa. Tamaa ya kwenda magogoni kwa mkato itawaponza wengi.

Mimi mwananchi nahujumiwa na wanasiasa, wote wanacheza sanaa na anayechezewa usanii ni mlipa kodi mwananchi masikini.
 
Kumetokea technical problems na heading nimewaomba mods tayari warekebishe.

- Kuhusu PhD feki kama ni kweli na ikithibitishwa kujinufaisha nazo ninaamini ni a Criminal case.

Kama Kihiyo alivuliwa ubunge kwa kashfa inayofanana na hizi degree fake, haki itendeke hata kwa Lukuvi & co. I am with you on this one.
 
Back
Top Bottom