Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Understandable, lakini ni muhimu tukawa na alternative ya Independent Party ili the Kafulilas wawe na safe heaven.
I got your point......fikra huru ndani ya vyama vya siasa kwa system tuliyonayo zitazidi kukandamizwa.tena ni fedheha kubwa kwa fikra huru ndani ya vyama vya siasa kukandamizwa na hasa inapotokea kwa chama cha upinzani kinacholalamikia CCM kuminya uhuru wa mawazo na wigo wa kidemokrasia.Baadhi ya vyama kama hivi vinatoa taswira halisi kwamba vingepata ridhaa au kama vitapta ridhaa basi demokrasia na mazingira ya siasa na uanaharakati utakuwa katika wakati mgumu
Enzi chama kimoja case kama hizi angalao zingeleweka lakini kwa sasa napata shida kidogo.Ndani ya vyama vya siasa bado kuna umuhimu mkubwa wa kutoa elimu ya uraia hata kwa baadhi ya viongozi wake (no offense)