Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,936
- 55,819
๐๐๐๐๐Hayo ungeyasema kipindi kilee Cha dikteta mungu wenu
Yesu Wa Kangi Lugola
๐๐๐๐๐Hayo ungeyasema kipindi kilee Cha dikteta mungu wenu
Watanzania Siyo WajingaCCM wanawaona Watanzania hamnazo
Ujuavyo wewe, kudai katiba mpya ndiyo kuzingatia katiba!

Kumbe wengi tunamshtukia Samia kwamba mambo mengi sana anamuiga JPM..Jpm ame-set a very bad precedent.
..umesahau alivyoapisha mawaziri sebuleni kwake Chato?
..Je, ulikuwa miongoni mwa waliolaani Jpm kugeuza Chato kuwa Ikulu, au ulikuwa ktk kundi la washangiliaji?
..matendo ya Jpm ndio yanayompa nguvu Maza kufanya mambo ndivyo-sivyo.
Ujuavyo wewe, kudai katiba mpya ndiyo kuzingatia katiba!
Kwa hiyo akiwa nje anakosa ulinzi wa rais na clearence yake...na makamu wa rais huku nyumbani anapata ulinzi wa rais na clearence level ya rais!?Nchi haiendeshwi kwa kanuni za kijiweni. Tunaenda na wakati kwa kufanya mabadiliko ya katiba na sheria!
Na kama taratibu za kubadilisha mambo nazo zimepitwa na wakati je? Mpaka taratibu zifuatwe na mambo yabadilike duniani tayari kutakuwa na mambo mengine. Kila siku tunabaki nyuma mpaka lini?Nimekwambia zipo taratibu za kubadilisha mambo ili twende na wakati. Is that too hard for you to understand?
Ziko wapi hizo taratibu!?Nimekwambia zipo taratibu za kubadilisha mambo ili twende na wakati. Is that too hard for you to understand?
Sijui tutaacha lini fikira za kitumwa!!!...hapa kiingereza Cha nini!!?Seriously? Now youโre making fun of yourself. I didnโt know you had responded to me before you even had read and understood what is in post #1. Haraka ilikuwa ya nini kuandika juu ya kitu usichokijua?
Rais wa Tanzania anapata wapi uhalali wa kujifanya kwamba yeye ni indispensable (unsubstitutable)? Kwamba Tanzania bila yeye haiwezi kitu chochote?
Kwa mara nyingine tena, nimeona Chifu Hangaya (akiwa Washington, DC) amefanya uteuzi wa viongozi watatu, kama press release niliyoambatanisha inavyoonesha. Kama kawaida anaendelea na ukiukaji wa Katiba yetu.
Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya Katiba hiyo hiyo, ili Rais ahesabike kuwa yuko nje ya nchi, lazima awe nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne.
Ingawa Ofisi ya Rais wa JMT yaweza kuwa mahali popote ndani ya mipaka ya JMT, katu haiwezi kuwa mahali popote tu duniani, kama Chifu Hangaya anavyotaka kuifanya. Ni lazima iwe ndani ya mipaka ya nchi yetu.
Vilevile, nchi haiwezi kuwa na Rais zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Rais awapo nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne, Makamu wa Rais (au Waziri Mkuu, endapo Makamu wa Rais naye hayupo) ndiye Rais wa nchi kwa kipindi hicho (Kaimu Rais)! Period. Why is she so insecure?
Hivi, Katiba ya Tanzania ipo ili itusaidie, kama kila uchao inasiginwa na wale walioapa kuilinda?
View attachment 2188837
Ndivyo Katiba yetu inavyoelekeza au mapenzi ya Rais ni legal substitute for our Constitution?
Well said....Hata American presidents hawashitakiwi kwa kutumia penal code. Kuna impeachment process kwenye katiba yao kama ilivyo kwenye katiba yetu. Tofauti ni kwamba sisi ni mateka wa kujitakia wa Rais. Hata kama katiba yetu itakuwa inafanana exactly na USA bado watawala wataendelea kuisigina kadri wapendavyo!
Vilevile, nchi haiwezi kuwa na Rais zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Rais awapo nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne, Makamu wa Rais (au Waziri Mkuu, endapo Makamu wa Rais naye hayupo) ndiye Rais wa nchi kwa kipindi hicho (Kaimu Rais)! Period. Why is she so insecure?Rais wa Tanzania anapata wapi uhalali wa kujifanya kwamba yeye ni indispensable (unsubstitutable)? Kwamba Tanzania bila yeye haiwezi kitu chochote?
Kwa mara nyingine tena, nimeona Chifu Hangaya (akiwa Washington, DC) amefanya uteuzi wa viongozi watatu, kama press release niliyoambatanisha inavyoonesha. Kama kawaida anaendelea na ukiukaji wa Katiba yetu.
Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya Katiba hiyo hiyo, ili Rais ahesabike kuwa yuko nje ya nchi, lazima awe nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne.
Ingawa Ofisi ya Rais wa JMT yaweza kuwa mahali popote ndani ya mipaka ya JMT, katu haiwezi kuwa mahali popote tu duniani, kama Chifu Hangaya anavyotaka kuifanya. Ni lazima iwe ndani ya mipaka ya nchi yetu.
Vilevile, nchi haiwezi kuwa na Rais zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Rais awapo nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne, Makamu wa Rais (au Waziri Mkuu, endapo Makamu wa Rais naye hayupo) ndiye Rais wa nchi kwa kipindi hicho (Kaimu Rais)! Period. Why is she so insecure?
Hivi, Katiba ya Tanzania ipo ili itusaidie, kama kila uchao inasiginwa na wale walioapa kuilinda?
View attachment 2188837
Unateseka ukiwa pande zipi wewe****Rais wa Tanzania anapata wapi uhalali wa kujifanya kwamba yeye ni indispensable (unsubstitutable)? Kwamba Tanzania bila yeye haiwezi kitu chochote?
Kwa mara nyingine tena, nimeona Chifu Hangaya (akiwa Washington, DC) amefanya uteuzi wa viongozi watatu, kama press release niliyoambatanisha inavyoonesha. Kama kawaida anaendelea na ukiukaji wa Katiba yetu.
Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya Katiba hiyo hiyo, ili Rais ahesabike kuwa yuko nje ya nchi, lazima awe nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne.
Ingawa Ofisi ya Rais wa JMT yaweza kuwa mahali popote ndani ya mipaka ya JMT, katu haiwezi kuwa mahali popote tu duniani, kama Chifu Hangaya anavyotaka kuifanya. Ni lazima iwe ndani ya mipaka ya nchi yetu.
Vilevile, nchi haiwezi kuwa na Rais zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Rais awapo nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne, Makamu wa Rais (au Waziri Mkuu, endapo Makamu wa Rais naye hayupo) ndiye Rais wa nchi kwa kipindi hicho (Kaimu Rais)! Period. Why is she so insecure?
Hivi, Katiba ya Tanzania ipo ili itusaidie, kama kila uchao inasiginwa na wale walioapa kuilinda?
View attachment 2188837
Basi katiba mpya inaitajika, lakini kwa sasa hafuate katiba.Dunia ya leo ya kidigitali unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani. Siyo lazima ukae ofisini kama umepigiwa msumari. Rais anaweza kuchapa kazi hata akiwa ndani ya ndege anavuka bahari ya Atlantic. Anaweza kuongea na baraza lake la mawaziri au mkuu wa majeshi kupitia Zoom.
Nijuavyo mimi huwezi kuwa mbunge bungeni bila chama, kuna 19 sasa hivi bungeni bila chama. Waliingia enzi za mwendazake.