Katiba inaonesha Rais akiwa nje ya nchi majukumu yanabaki kwa Makamu. Kwanini Rais anatoa 'press' akiwa nje?

Ujuavyo wewe, kudai katiba mpya ndiyo kuzingatia katiba!
 
..Jpm ame-set a very bad precedent.

..umesahau alivyoapisha mawaziri sebuleni kwake Chato?

..Je, ulikuwa miongoni mwa waliolaani Jpm kugeuza Chato kuwa Ikulu, au ulikuwa ktk kundi la washangiliaji?

..matendo ya Jpm ndio yanayompa nguvu Maza kufanya mambo ndivyo-sivyo.
Kumbe wengi tunamshtukia Samia kwamba mambo mengi sana anamuiga JPM

japo anapenda kujifanya anaji distance na kila legacy ya Magufuli

anafuta baadhi lakini mengine mengi ya hovyo anayabeba kama yalivyo
 
Ujuavyo wewe, kudai katiba mpya ndiyo kuzingatia katiba!
 
Nchi haiendeshwi kwa kanuni za kijiweni. Tunaenda na wakati kwa kufanya mabadiliko ya katiba na sheria!
Kwa hiyo akiwa nje anakosa ulinzi wa rais na clearence yake...na makamu wa rais huku nyumbani anapata ulinzi wa rais na clearence level ya rais!?
 
Nimekwambia zipo taratibu za kubadilisha mambo ili twende na wakati. Is that too hard for you to understand?
Na kama taratibu za kubadilisha mambo nazo zimepitwa na wakati je? Mpaka taratibu zifuatwe na mambo yabadilike duniani tayari kutakuwa na mambo mengine. Kila siku tunabaki nyuma mpaka lini?
 
Seriously? Now youโ€™re making fun of yourself. I didnโ€™t know you had responded to me before you even had read and understood what is in post #1. Haraka ilikuwa ya nini kuandika juu ya kitu usichokijua?
Sijui tutaacha lini fikira za kitumwa!!!...hapa kiingereza Cha nini!!?
 
Nyie Rais mnamuona kama bibiyenu naona mnabwabwaja sana endeleeni
Rais wa Tanzania anapata wapi uhalali wa kujifanya kwamba yeye ni indispensable (unsubstitutable)? Kwamba Tanzania bila yeye haiwezi kitu chochote?

Kwa mara nyingine tena, nimeona Chifu Hangaya (akiwa Washington, DC) amefanya uteuzi wa viongozi watatu, kama press release niliyoambatanisha inavyoonesha. Kama kawaida anaendelea na ukiukaji wa Katiba yetu.

Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya Katiba hiyo hiyo, ili Rais ahesabike kuwa yuko nje ya nchi, lazima awe nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne.

Ingawa Ofisi ya Rais wa JMT yaweza kuwa mahali popote ndani ya mipaka ya JMT, katu haiwezi kuwa mahali popote tu duniani, kama Chifu Hangaya anavyotaka kuifanya. Ni lazima iwe ndani ya mipaka ya nchi yetu.

Vilevile, nchi haiwezi kuwa na Rais zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Rais awapo nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne, Makamu wa Rais (au Waziri Mkuu, endapo Makamu wa Rais naye hayupo) ndiye Rais wa nchi kwa kipindi hicho (Kaimu Rais)! Period. Why is she so insecure?

Hivi, Katiba ya Tanzania ipo ili itusaidie, kama kila uchao inasiginwa na wale walioapa kuilinda?

View attachment 2188837
 
Ndivyo Katiba yetu inavyoelekeza au mapenzi ya Rais ni legal substitute for our Constitution?

Katiba ni makaratasi yaliyotengenezwa na watu siyo msaafu, mbona yule jamaa mwingine alikuwa akiikanyaga kanyaga na mkawa mnashangilia tu, tena kwa kuumiza watu kabisa, afadhali hata huyu kateua,

Au ndo lile kundi fulani La ukanda fulani bado mna chuki naye,

Kipindi kile watu wanapigana tupate katiba mpya mlikuwa mkipambana mnaandamana aongezewe miaka kumi tena, na sasa tunasema Samia apewe mikumi tena baada ya 2030, period!!
 
Hata American presidents hawashitakiwi kwa kutumia penal code. Kuna impeachment process kwenye katiba yao kama ilivyo kwenye katiba yetu. Tofauti ni kwamba sisi ni mateka wa kujitakia wa Rais. Hata kama katiba yetu itakuwa inafanana exactly na USA bado watawala wataendelea kuisigina kadri wapendavyo!
Well said....

Wanadhani katiba inamdomo na sauti ya kupaza pale inapovunjwa.

Hata walete katiba wanayodhani ni bora kuliko zote duniani...kama hatutakuwa na watu wanaoisimamia na kuitetea ni kupoteza muda tu.

Mangapi yanavunjwa na yapo kwenye sheria Toka 1977!!
 
Rais wa Tanzania anapata wapi uhalali wa kujifanya kwamba yeye ni indispensable (unsubstitutable)? Kwamba Tanzania bila yeye haiwezi kitu chochote?

Kwa mara nyingine tena, nimeona Chifu Hangaya (akiwa Washington, DC) amefanya uteuzi wa viongozi watatu, kama press release niliyoambatanisha inavyoonesha. Kama kawaida anaendelea na ukiukaji wa Katiba yetu.

Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya Katiba hiyo hiyo, ili Rais ahesabike kuwa yuko nje ya nchi, lazima awe nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne.

Ingawa Ofisi ya Rais wa JMT yaweza kuwa mahali popote ndani ya mipaka ya JMT, katu haiwezi kuwa mahali popote tu duniani, kama Chifu Hangaya anavyotaka kuifanya. Ni lazima iwe ndani ya mipaka ya nchi yetu.

Vilevile, nchi haiwezi kuwa na Rais zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Rais awapo nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne, Makamu wa Rais (au Waziri Mkuu, endapo Makamu wa Rais naye hayupo) ndiye Rais wa nchi kwa kipindi hicho (Kaimu Rais)! Period. Why is she so insecure?

Hivi, Katiba ya Tanzania ipo ili itusaidie, kama kila uchao inasiginwa na wale walioapa kuilinda?

View attachment 2188837
Vilevile, nchi haiwezi kuwa na Rais zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Rais awapo nje ya nchi kwa muda unaozidi saa ishirini na nne, Makamu wa Rais (au Waziri Mkuu, endapo Makamu wa Rais naye hayupo) ndiye Rais wa nchi kwa kipindi hicho (Kaimu Rais)! Period. Why is she so insecure?
Pagumu sana hapo ndugu
 
Unateseka ukiwa pande zipi wewe****
 
Dunia ya leo ya kidigitali unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani. Siyo lazima ukae ofisini kama umepigiwa msumari. Rais anaweza kuchapa kazi hata akiwa ndani ya ndege anavuka bahari ya Atlantic. Anaweza kuongea na baraza lake la mawaziri au mkuu wa majeshi kupitia Zoom.
Basi katiba mpya inaitajika, lakini kwa sasa hafuate katiba.
 
Nijuavyo mimi huwezi kuwa mbunge bungeni bila chama, kuna 19 sasa hivi bungeni bila chama. Waliingia enzi za mwendazake.

Unataka kila Mtanzania aingilie kati mgogoro wa CDM na wanachama wake?
 
Back
Top Bottom