Kati ya watoto 9 kwa Mkeo, hakuna mtoto wako halali ila halali ni 1 toka kwa hawara

ludoking

Senior Member
Oct 5, 2008
124
71
Kulikuwa na mashindano kwa familia zenye watoto kumi (10), mshindi alitakiwa apate zawadi ya sh million moja. Jamaa mmoja alikuwa na watoto 9 nyumbani akamwambia mkewe,samahani mke wangu nilifanya kosa kuzaa nje ya ndoa subiri nikamlete huyo mtoto niliyezaa nje ili watimie 10 tushinde hii zawadi. Jamaa aliporudi na yule mtoto pale nyumbani hakukuta mtoto hata mmoja. Akamuuliza mkewe, watoto wengine wako wapi? Mkewe akamjibu ? wamekuja kuchukuliwa na baba zao ili na wao waweze kushinda
 
Back
Top Bottom