Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

Mkuu mwaka huu akuna kijana atakaye dhubutu kupeleka kura kwa ukoo wa panya walisha tudanganya maneno yote walisha maliza hawana neno jipya lamwisho lilikuwa maisha bora kwa kila mtanzania!! Hawakina muongo na wengine wanarufurahisha tu siku zisonge watapata kura za vijana wa ukoo wa panya ambao ni wachache sana!! Wanahesabika bila hatakuwapanga!!
Ukoo wapanya umefikia mwisho wao!!
Ukawa ndio tumaini jipya
Mkuu, haya mapanya tumeambiwa yako kwenye mtungi na wameuinamisha yatoke yenyewe ili wayauwe. Sasa sijui yakitoka nani atayauwa maana hata huyo muuwaji ni panya pia. Ila ukawa nani anagombea?
 
Hii yangu sio kura ya ndio lakini nnaemuona Lameck Nchemba yuko vizuri sana
 
Ni afadhali dr Harrison angechukua angeleta challenge kidogo kwenye akili yangu,hao wengine wasaka tonge tu
 
CCM tupatie Prof. Muhongo. Ni mtu anayetekeleza majukumu yake kwa vitendo. Pamoja na jitihada zote za wafanyabiashara walanguzi kumpiga vita kupitia wanasiasa ucwara, watanzania tunao ufahamu. Tumetafakari, kupambanua na kuelewa
 
Mi issue ya gesi kila nyumba imenivutia sana,nimeanza kupiga picha jinsi nyumba za nyasi na tembe za dodoma zitakavyonufaika na ubunifu huu wa Proffesor.

Kuongea tu mbona rahisi issue ni kutekeleza ahadi kamuulize JK na flyover sembuse gesi kila nyumba kwa miundo mbinu ipi wameshindwa umeme, maji, kila nyumba!
 
Wewe kama humtaki prof muhongo utakua unamatatizo au huyo mgombea mwigine amekununua au amekuahidi nafasi fulani hivi.
 
kwakweli umevunja mbavu zangu
Muhongo nouma nchi ambazo hakufika ni chade na ile iliyopo mwisho wa mwezi ambayo hasimu wake alikwenda kufungia ndoa mzee wetu mzalendo meng mauritania zijuwi chad aliitoa kwa sababu gani!!
Muhongo anauwezo wakufanya uwongo ukawa kweli kwa 100%
 
Mkuu, haya mapanya tumeambiwa yako kwenye mtungi na wameuinamisha yatoke yenyewe ili wayauwe. Sasa sijui yakitoka nani atayauwa maana hata huyo muuwaji ni panya pia. Ila ukawa nani anagombea?
Simba mwenda pole ndio mla nyama please wait loading ukawa........
 
Muhongo mwisho wa matatizo,tuache unafikı.Jamaa ana sifa zote na ziada.Anajiamini sana.Elimu kitu nzuri sana,hata kama hauna hela unajiona mwenye thamani kuliko mabilionea wote.
 
Back
Top Bottom