Kati ya nyimbo hizi za MAMA, upi zaidi?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Ni wasanii wengi wameimba kuhusu Mama ndani na nje ya nchi, kibongobongo hizi nyimbo 2 za Mama ndizo zilizofanya/zilizowahi kufanya vizuri zaidi na zimetoka katika nyakati tofauti, je ni upi unaukubali zaidi kati ya hizi?

-Mama Yangu by Banana Zoro ft Dknob

vs

-Nani kama Mama by Christian Bella ft Dimpoz
 
Ule wa "sweet mother I will never forget you" Ndio kiboko.. Hawa watoto wa dar wanajua kushusha suruali chini na kushikilia hapo chini ya zipu kwa mwendo wa madaha Kama ardhi ya moto vile.
 
Zote zinaujumbe unaofanana hivyo wimbo wowote wa mama mi hua naupenda haijalishi nani kaimba.
 
Tancut Almasi. ..miezi 9 ya uchungu tumboni mwakooo, yote ulivumilia mama. uchungu mwingi umeupataaa. ...aa mamaaa...huruma.

sina cha kukupa mama...mamaaa....dhidi ya asante mama!

Acha kabisa. Napenda nyimbo zote kumhusu mama!
 
tupia au tupakulie hapa kibarazani hasa kwetu sisi ambao hatujawahi sikiliza tuzisikie tukupe mrejesho
 
Dear mama ,Tupac
Kati ya hizo hapo hakuna ya iliyomzidi mwenzake zote sawa tu
 
Ni wasanii wengi wameimba kuhusu Mama ndani na nje ya nchi, kibongobongo hizi nyimbo 2 za Mama ndizo zilizofanya/zilizowahi kufanya vizuri zaidi na zimetoka katika nyakati tofauti, je ni upi unaukubali zaidi kati ya hizi?

-Mama Yangu by Banana Zoro ft Dknob

vs

-Nani kama Mama by Christian Bella ft Dimpoz

wimbo wa banana ni shida hasa ile original version ambay dknob hayupo,bella anakaa xn hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom