Kati ya nyimbo hizi za MAMA, upi zaidi?

0.Sizzla Thank you mama
1. Banana mama yangu
2. 2pac dear mama
4. Bella nani kama mama
Nb. Sifuri ndio ya kwanza na moja ndio ya pili
 
1. A song for mama - Boys II Men
2. Mama Yangu - Banana
3. Dear Mama - Tupac Shakur

Aisee hayo majimbo huniambii kitu, design ukiwaza sanaa unaweza toa chozi (Mama ni mtu mwingine kabisaaa acheni tu hata akikukera unabaki kimya tu).
 
Swali ni kuhusu nyimbo mbili zilizotajwa ambazo ni ile Mama yangu wa Banana na Nani kama mama wa Bella. Naona majibu tofauti. Mimi napenda zaidi huo wa Christian Bella. Una ujumbe murua sana na hata midundo yako iko bomba zaidi ya ile ya Banana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom