Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Nimevutiwa na hii hoja, shida watu hamjaelewa mwenye uzi anataka nn. Kwa elimu yangu ya autos BONGO gari ilioko practical ni VX hilo halina ubishi. Lakini the best SUV dunia nzima itaendelea kua na hakuna nyingine zaid ya Range rover. Izi story za mtaani sijui Nissan ama VX V8 kuzifananisha na RR ni kumkosea heshima Range rover, toka lini turbocharger ikamkuta Supercharge ni bora ukajua tofauti kwanza thn ucompare Nissan na VX ni turbocharge while Range rover ni Supercharge apa namaanisha kuna extraboost ya uchomaji in cylinder in addition to extra air, wakati turbocharge its only extra air uchomaji unabaki constant.

Tukija kwny suala la comfortability na luxurious Range ni next level Just compare zinapopita kwa road jinsi VX V8 ilivyo plastic na range ikoje. NIssan Kosa lao kubwa wanasuccumb to pressure hili toleo lao jipya engine ni very OK but shida ni power to weight ratio. nissan body zito so more power needed wakati range wamesolve suala la power to weight ratio body made of aluminium na also wametumia composite material so gari ni more lighter.

Kwa hali ya bongo na upractical au uhalisia VX V8 is the logical choice kuanzia terrain issues mpka maintanance BUT kwa best SUV heshima inabaki kwa Range rover. na watu waache kuangalia uzuri wa body ni vizuri ukajua technical stuff na technology kucompare vitu. Mwisho wa siku mtakuja kusema Yutong ni nzuri Kulko Scania Irizar au Volvo bus.

Umeeleweka ila kweli tofauti ni turbo tu??!!
Au hiyo technical aspect uliyotaja ndio basi imetosha????
 
Umeeleweka ila kweli tofauti ni turbo tu??!!
Au hiyo technical aspect uliyotaja ndio basi imetosha????
Tofauti ziko nyingi ila izo pamoja na aluminium chasis keny range rover ndio ninazojua na ziko proved. Issue kubwa Range rover hawakurupuki kutoa toleo tofauti na Japanese wao wako kwny business model tofauti na kampuni kama toyota ambao wao goal yao kubwa ni kumaxmize sales. Range rover issue sio sales pekee na pia prestige na status yao dats why lazima unakuta range Rover ina cut edge technology kucompare na Japanese. alie ligi moja nae ni G-Class na hio its coz of history ya G-CLASS na status ilionao ndan ya Mercedez family.
 
Afadhali umesema RR iwekwe pembeni....that thing is out of this world! Naomba vijana waangalie TOP GEAR kwasababu nsjua kui experience hii kitu sio rahisi,RR is always 10yrs ahead of other SUV...BMW walinunua Land Rover purposely baada ya muda mfupi wakatoa X5 then LR ikarudi GB lakini Leo Hi X5 kashaachwa na RR ten years!

Kweli kwenye edition za RR za mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000 zilikuwa zikitumia engine ya BMW, 2.5d na 3.0d....ila sasa hivi haipo GB bana, ipo kwa Tata Motors, ambaye alinunua pia na Jaguar, kuwa na English | Jaguar Land Rover Corporate Website kama kampuni moja...ingawa kiwanda kweli bado kipo Coventry..
 
Manufacturer's Suggested Retail Price

Mkuu hebu tujuze maana ya MSRP ili tuelewe.
Hata hivyo kwa kawaida Toyota LC200 ina bei kubwa kuliko Nissan Patrol.
Range Rover tatizo lake kubwa ni kuharibika kwa electrical/electronic systems zake, na hapa nchini wengi wamelizwa.
Baki njia kuu, baki magari ya Kijapani.
 
article-2477960-1906E63A00000578-171_634x353.jpg

Range-Rover-5_2310728k.jpg

new-cars-for-2013-land-rover-range-rover-photo-472484-s-original.jpg

style.jpg

2014-Nissan-Patrol-31.jpg

patrol-02-overview.ashx

2012-Toyota-Land-Cruiser-VX-R-4-450x337.jpg

2007_Toyota_Land_Cruiser-200_01.jpg

Toyota-Land-Cruiser-2013-Price-in-Pakistan-2014-Pictures.jpg

Nimeongeza BMW na Marcedes BENZ

19361showing.jpg

Mercedes-Benz-G63AMG-2013-Jeep-September-2013-BellaNaija.jpg

Mercedes-Benz-GL-class-Grand-Edition.jpg

2009_mercedes_benz_suv-wide.jpg

cdb451fada2e8cf0caa6011283672d62.jpg

2015-Mercedes-Concept-Coupe-SUV-vs-2015-BMW-X6-bmw-610x330.jpg

635532206094256586-APC-2015-BMW-X5-M-SUV.jpg

automedias-top-10-luxury-suvs-includes-2015-bmw-x5-73031_1.jpg
Haya makitu sisi wengine wenu ni kutuumiza tuu mioyo tukaishia kujilaani na ma umasikini yetu yaliyo topea!,
Kuna baadhi ya choices sio uzuri, ubora au uimara wa gari, bali ni brand tuu, kwenye saloon cars mimi ni Benz, kwenye SUV ni RR!, ila pia sisi African families, mke, kimada, watoto lukuki, huwezi kuiepuka option ya Japanese cars kushughulikia mambo ya nyumbani na vigari vya watoto kuendea collage!.

Kwenye SUV, umeziacha hizi zifutazo

[h=3]Compact SUVs[/h]Affordable Compact SUVs
[h=4]Affordable Compact SUVs[/h]Generally priced below $30,000.

See full rankings»

[h=4]Luxury Compact SUVs[/h]Generally priced above $30,000.

See full rankings»

[h=3]Midsize SUVs[/h]Affordable Midsize SUVs
[h=4]Affordable Midsize SUVs[/h]Generally priced below $40,000.

See full rankings»

[h=4]Luxury Midsize SUVs[/h]Generally priced above $40,000.

See full rankings»

[h=3]Large SUVs[/h]Affordable Large SUVs
[h=4]Affordable Large SUVs[/h]Generally priced under $55,000.

See full rankings»

[h=4]Luxury Large SUVs[/h]Generally priced above $55,000.

See full rankings»

[h=3]Hybrid SUVs[/h]Hybrid SUVs
[h=4]Hybrid SUVs[/h]
See full rankings»

[h=3]Crossover SUVs[/h]Affordable Crossover SUVs
[h=4]Affordable Crossover SUVs[/h]Generally priced below $35,000.

See full rankings»

[h=4]Luxury Crossover SUVs[/h]Generally priced above $35,000.

See full rankings»

[h=3]Off-Road SUVs[/h]Off-Road SUVs
[h=4]Off-Road SUVs[/h]
See full rankings»

[h=3]2-Row and 3-Row SUVs[/h]Affordable SUVs with 2 Rows
[h=4]Affordable SUVs with 2 Rows[/h]
See full rankings»

[h=4]Affordable SUVs with 3 Rows[/h]
See full rankings»

[h=4]Luxury SUVs with 2 Rows[/h]
See full rankings»

[h=4]Luxury SUVs with 3 Rows[/h]
See full rankings»

Pasco
 
Nimevutiwa na hii hoja, shida watu hamjaelewa mwenye uzi anataka nn. Kwa elimu yangu ya autos BONGO gari ilioko practical ni VX hilo halina ubishi. Lakini the best SUV dunia nzima itaendelea kua na hakuna nyingine zaid ya Range rover. Izi story za mtaani sijui Nissan ama VX V8 kuzifananisha na RR ni kumkosea heshima Range rover, toka lini turbocharger ikamkuta Supercharge ni bora ukajua tofauti kwanza thn ucompare Nissan na VX ni turbocharge while Range rover ni Supercharge apa namaanisha kuna extraboost ya uchomaji in cylinder in addition to extra air, wakati turbocharge its only extra air uchomaji unabaki constant.

Tukija kwny suala la comfortability na luxurious Range ni next level Just compare zinapopita kwa road jinsi VX V8 ilivyo plastic na range ikoje. NIssan Kosa lao kubwa wanasuccumb to pressure hili toleo lao jipya engine ni very OK but shida ni power to weight ratio. nissan body zito so more power needed wakati range wamesolve suala la power to weight ratio body made of aluminium na also wametumia composite material so gari ni more lighter.

Kwa hali ya bongo na upractical au uhalisia VX V8 is the logical choice kuanzia terrain issues mpka maintanance BUT kwa best SUV heshima inabaki kwa Range rover. na watu waache kuangalia uzuri wa body ni vizuri ukajua technical stuff na technology kucompare vitu. Mwisho wa siku mtakuja kusema Yutong ni nzuri Kulko Scania Irizar au Volvo bus.

Ww usifikili toyota wameanza kutengeneza SUV jana mzee, toyota ni gari nzur na usiseme range rover ni kali kuzidi land cruiser kwa vigezo vp? kuna vigezo range rover ni nzur kama speed bt ukija kwny offroad huwezi kufananisha land cruiser na range rover hata siku moja, toyota wanatengeneza gari kutumika dunia tofauti na range rover wanatengeneza kwa matumizi ya uraya, unasema land cruiser ina turbocharger ww! Nenda kaisome land cruiser vizur,land cruiser ina twinturbo sana na engine ya Mercedes benz G wagon mpya, na kwa technology range ni mtoto mdogo kwa magari ya ujeruman kama vile Mercedes benz G series, audi Q7 na Bmw
Technilogy ipo ujerumani wala si ungeleza
 
Tofauti ziko nyingi ila izo pamoja na aluminium chasis keny range rover ndio ninazojua na ziko proved. Issue kubwa Range rover hawakurupuki kutoa toleo tofauti na Japanese wao wako kwny business model tofauti na kampuni kama toyota ambao wao goal yao kubwa ni kumaxmize sales. Range rover issue sio sales pekee na pia prestige na status yao dats why lazima unakuta range Rover ina cut edge technology kucompare na Japanese. alie ligi moja nae ni G-Class na hio its coz of history ya G-CLASS na status ilionao ndan ya Mercedez family.

Siyo kama range rover hawakurupiki tatizo mtaji mzee! Soma history ya land rover ambayo inatengeneza range rover utaona kampuni inauzwa kila siku mara kwa bmw,tata na nw Volkswagen, range rover hajauza magari mangi sana dunia compare na land cruiser, kitu kinachonunuliwa sana maana yake ni kizur au sio?
 
Humu ndani kuna watu wamehama kwenye mada badala ya kuchambua kitaalamu wameanza kutolea wengine maneno makali, wengine wanaita magari ya kijapan ya watoto kuendea shule nk.

Ushauri wangu;
Kwa wingi huu ambao nimeuona hapa ukisapoti RR, BMW, Benz G Class nina imani kabisa Watanzania uchumi unakua hasa wana JF sina shaka siku tukiandaa Get Together Party Car Parking itapendeza.
Vinginevyo tusiishi maisha ya kwenye Top Gear wakati hali halisi haiko hivyo. Kuna mdau amenifurahisha hapo juu at least amepromote na kaSUV kangu Lexus RX, ahsante sana. Tukutane barabarani, tukutane filling station....
 
Toyota Land Cruiser 79,000$ MSRP

Range Rover 90,000$ MSRP

Nissan Patrol New Model 120,000$ MSRP

Japo bei inaweza isiwe kigezo.

Range Rover iko juu japo cyo zote. Mfano Range Rover Autobiography ya 2013 ni comfortable seat zake zina massage, zinaslide zote hadi za nyuma, ina wireless music system kwamba watu wote wanne wanaweza kusikiliza musiki tofauti bila kuathiriana unavaa hear phone za wireless, screen yake mnaweza kuwatch vitu tofauti, dreva ataona map na abiria wa mbele ataweza kuangalia movie on the same screen on the same time na wengine wataangalia wanavyovichagua wao. Pia ni all weather, unaweza kupita rough road, unaeza kupita njia za tope na milimani nk. Ukiwa upo high speed mfano speed 140kph ghafla kukawa na bumps au gari au kitu kingine itapunguza speed yenyewe hadi minimum speed ambayo ni 80 kph hata kama umekanyagia mafuta hadi mwisho. Pia ina camera ndani na nje both sides of which unaweza kurekodi matukio hata ukivamiwa na majambazi au mtu kukusababishia ajali isipokuwa lazima uziprogam na kuziaweka on. Pia ni economical kwenye fuel consumption. Average ya 12 km per 1 liter. Bei yake hapa ni $ 160 bila ushuru. Tatizo ukilinunua hadi na maushuru ni zaidi ya Tsh 350 m. Wasiwasi wangu ni ukishalinunua haliuziki ni lako unless uuze nusu ya bei ya kununulia

Inafatiwa na Toyota Vx v8 land cruiser hizi nazo ni comfortable japo cyo zote na ni all weather. Kuna zingine cyo comfortable. Fuel consumption cyo mbaya ni 10-12 km/liter. Bei yake pamoja na ushuru yaweza fika Tsh 260m. Nalo ukilinunua haliuziki kwa faida.

Nissan cjaichunguza sana hii mpya ila bei nadhani ni karibia million 300 pamoja na ushuru.
 
Range ndio gari yangu ya ndoto,hayo mengine madebe tu kwangu

Mkuu tupo pamoja! Kwa range sipindui iwe ya kinduu au kike hayo ni makelele tu! Akipita Range Rover hata asiyejua gari lazima aitolee macho! Range tamu has a muungurumo wake,tatizo wabongo mnafikiri kila gari inatengenezwa kwa kuangalia njia zenu! Range si ya vjjn,hii gari kwake lami utaipenda! Kila mtengenezaji huwa anaangalia
soko lake ,sisi huku ubishi tu ,range kwa kwenda kwetu Tarime tena kijijini Nyarero sijui Nyamongo utaitesa tu. Range ni tamu kweli, naomba kiwanda kisife mpaka ninunue yangu!
 
Humu ndani kuna watu wamehama kwenye mada badala ya kuchambua kitaalamu wameanza kutolea wengine maneno makali, wengine wanaita magari ya kijapan ya watoto kuendea shule nk.

Ushauri wangu;
Kwa wingi huu ambao nimeuona hapa ukisapoti RR, BMW, Benz G Class nina imani kabisa Watanzania uchumi unakua hasa wana JF sina shaka siku tukiandaa Get Together Party Car Parking itapendeza.
Vinginevyo tusiishi maisha ya kwenye Top Gear wakati hali halisi haiko hivyo. Kuna mdau amenifurahisha hapo juu at least amepromote na kaSUV kangu Lexus RX, ahsante sana. Tukutane barabarani, tukutane filling station....

Mkuu kujua na kumiliki ni lazima viende pamoja??!!!
 
Mkuu kujua na kumiliki ni lazima viende pamoja??!!!

Mkuu kama umenisoma vizuri nimeanza na angalizo.
Sio vibaya ukijua kitu kwa undani ukaelimisha wengine kama mwanataaluma, nawapongeza wote walioelimisha wenzao kitaalamu kabisa lakini pia wamejitokeza wengine ambao walifikia kuwaita wenzao wajinga, wengine kuita magari mengine ni ya vimada, watoto wa shule nk hao ndio niliowapa angalizo.
Na nimefurahi mjadala sasa umerudi njia kuu, tuendelee...
 
Kweli kwenye edition za RR za mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000 zilikuwa zikitumia engine ya BMW, 2.5d na 3.0d....ila sasa hivi haipo GB bana, ipo kwa Tata Motors, ambaye alinunua pia na Jaguar, kuwa na English | Jaguar Land Rover Corporate Website kama kampuni moja...ingawa kiwanda kweli bado kipo Coventry..

Halo kwenye TATA ni documents tu mkuu...everything about LR JAGUAR remains BRITISH that's why people still buy it...BTW I thought kiwanda kipo Birmingham?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Humu ndani kuna watu wamehama kwenye mada badala ya kuchambua kitaalamu wameanza kutolea wengine maneno makali, wengine wanaita magari ya kijapan ya watoto kuendea shule nk.

Ushauri wangu;
Kwa wingi huu ambao nimeuona hapa ukisapoti RR, BMW, Benz G Class nina imani kabisa Watanzania uchumi unakua hasa wana JF sina shaka siku tukiandaa Get Together Party Car Parking itapendeza.
Vinginevyo tusiishi maisha ya kwenye Top Gear wakati hali halisi haiko hivyo. Kuna mdau amenifurahisha hapo juu at least amepromote na kaSUV kangu Lexus RX, ahsante sana. Tukutane barabarani, tukutane filling station....

Mkuu kwani kuisifia gari ni mpaka uimiliki hadi wewe use me tukikutana tuje nazo?! Basis mtoa mada angesema tusifie gari tunazoendesha na wengine tusingechangia humu maanake hata baiskeli hatuna....BTW rx300 yako ya mwaka gani? Its a classy motor.
 
Back
Top Bottom