kati ya hìzi,ipì kali?

ndevu mzazi

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
687
237
1.Mwalimu mmoja alijamba darasan
basi kwa aibu mwalimu akaomba likizo
ya mwezi mmoja. Kurudi baada ya lkzo akaulza darasa
®enhee tuliishia wapi? Mwanafunzi
mmoja akajibu "tuliishia pale ULIPO
JAMBA "
VS 2.mgonjwa :dokta naomba unisaidie na
tatizo la kusahau hata ukinambia kitu
muda huo Huo nasahau Daktari :kwan hilo tatizo limekuanza
Lini?
Mgonjwa :tatizo gani?
Daktari :duuh ......hàhahahaha Anza namba ya status then
comment ........ipi kareee 1 vs 2
 
1.Mwalimu mmoja alijamba darasan
basi kwa aibu mwalimu akaomba likizo
ya mwezi mmoja. Kurudi baada ya lkzo akaulza darasa
®enhee tuliishia wapi? Mwanafunzi
mmoja akajibu "tuliishia pale ULIPO
JAMBA "
VS 2.mgonjwa :dokta naomba unisaidie na
tatizo la kusahau hata ukinambia kitu
muda huo Huo nasahau Daktari :kwan hilo tatizo limekuanza
Lini?
Mgonjwa :tatizo gani?
Daktari :duuh ......hàhahahaha Anza namba ya status then
comment ........ipi kareee 1 vs 2

Ya kwanza ni noumer
 
halafu sijui wabongo tukoje sijui! Ukijamba unajiona kama una bonge la aibu,ukijamba unaømba samahani kama vile umepiga mboli unaendelea na mambo yako. Nalog off
 
Mi kuna msela huwa ananiudhi kishenzi yani huwa tukiwa mezani kula msosi lazima achafue hali ya hewa
 
Back
Top Bottom