kati ya hawa nani mkali?....na kwa nini?

Huyo Musiba hana lolote analojuwa.
Yeye akiambiwa atoe tathmini ya mechi basi anapita kulekule alikopita Dr Licky then anaanza kutaja marafiki zake ''eeh ndugu yangu Balantanda wa JF sijui anahali gani huki aliko, maana mpaka Arsenal chama lake wako nyuma''...huyo ndo Musiba.

Tehe teh.....GC....umenichekesha kweli hapa...Liki Abdallah ni mzuri ukilinganisha na hao wengine.....anaaaayefuatia kwa mbaaaaaaaaaali ni rafiki yangu(wa kitambo Shafii,huyu anaujua mpira kaucheza japo s kwa daraja la juu,alikuwa anacheza sana mpira miaka ya mwishoni ya 90 mpaka alipoenda IFM......alikuwa anacheza sana hata akienda SHIMIVUTA,so anachocomment anakimaanisha maana alikuwa anaupiga mpira kisawasawa,winga tereza huyu).............Hawa wengine akina Edo na Sapi bado sana..............Liki yuko juu
 
dr ricky abdallah ni mzuri wa historia flani za kisoka na si mchambuzi mzuri wa soka au match husika,misemo ya kisoka au maana ya baadhi ya vitu ndo vinamfanya ajizolee mashabiki, hamfanyi mshabiki akapata tathmini stahiki.edo na shafii dauda wanajitahidi kutoa tathmini za match husika japo wanabase katika source moja ya habari zao na pia ni bias and sometimes ujuaji unazidi na kuchukulia soka au ukocha ni kitu rahisi.........musiba?hana ajualo hata kidogo!umenikumbusha enzi muhdini michuzi akiwa ktk t.v na dr ricky yeye ilikuwa kazi kuuliza vitu visivyohusiana na soka mara utamsikia "dr nimemwona shabiki kavaa kofia ya nini ile?"that was nonsense ktk uchambuzi wa soka
 
Teh teh jana nikamuona tena musiba akichambua game ya Barca na Inter....dah jamaa bure yule
 
Dr Licky Abdallah ni mkali uchambuzi wake unavutia, mtiririko wa maneno, lugha za ucheshi na za kisoka, historia za timu na mchezaji, anakumbukumbu nzuri na muwazi kwa jambo asilolijua. Kwa ufupi anakipaji.
 
dr ricky abdallah ni mzuri wa historia flani za kisoka na si mchambuzi mzuri wa soka au match husika,misemo ya kisoka au maana ya baadhi ya vitu ndo vinamfanya ajizolee mashabiki, hamfanyi mshabiki akapata tathmini stahiki.edo na shafii dauda wanajitahidi kutoa tathmini za match husika japo wanabase katika source moja ya habari zao na pia ni bias and sometimes ujuaji unazidi na kuchukulia soka au ukocha ni kitu rahisi.........musiba?hana ajualo hata kidogo!umenikumbusha enzi muhdini michuzi akiwa ktk t.v na dr ricky yeye ilikuwa kazi kuuliza vitu visivyohusiana na soka mara utamsikia "dr nimemwona shabiki kavaa kofia ya nini ile?"that was nonsense ktk uchambuzi wa soka

Umenichekesha sana...
 
Shafii atakuja kuwa mchambuzi mzuri sana

Shafi ana tabia moja mbaya na chafu.
Kama mwenzie kaongea point na ikaonekana wazi kuwa ile ni point basi ni lazma na yeye atairekebisha na kutia maneno yake mawili matatu ili mradi tu aonekane yeye pia alikuwa anajua.
 
Tehe teh.......mzee mwenzangu naona Rossoneri mwaka huu mhhhhhhhhhhhhhhh...mmefulia kwa kweli
 
Tehe teh.......mzee mwenzangu naona Rossoneri mwaka huu mhhhhhhhhhhhhhhh...mmefulia kwa kweli

Teh teh Rosonelli ama Diavori jana tumemlambisha haja kubwa Fiorentina.
Goli la ushindi la Milan lilifungwa na the Saint...
 
Kwa kusifia uwezo wa mtu au timu au kuhabarisha watu mambo wasiyoyajua kuhusu soka "Dr." Licky/Riki ni mkali................kwa uchambuzi wa soka la kiufundi......Adolf Rishard, Ali Mayai na Mziray ni wakali zaidi.......
 
Dr Licky mkali. Hawa wengine bado sana.

EDDO anatupa update za kutosha kuliko hao wengine ambao kwa kiasi kikubwa huonyesha upenzi wao kwa timu kuliko kweli halisi!.Nategemea makubwa zaidi kutoka kwake wakati wa michuano ya World Cup South mwezi ujao.
 
Kwa updates Dr hana mpinzani.
Na si tu Update, jamaa anaweza akakuchimbulia mambo ya ndaani ambayo hukuwahi kuyaona ktk web yeyote.
Kwa hiyo si Edo wala Shafi anayemfikia Dr kwa Updates
 
Na anasahau kabisa kuwa timu ya taifa ya England wala vilabu vyake havina rekodi ktk soka la Ulaya.

Hapa no! Otherwise Ricky na Dauda ni wazuri hata kama haujaangalia match kuna kitu utapata kwa kuwasikiliza. Ricky kwa mtazamo wangu yuko a bit high
 
Edo Kumwembe siku hizi ni kama anajidai vile.....naona kajiona soperstar!!!!!!!
Lakini DK Liki hana mfanowe na woote hao wanamuiga lakini bado hawajamfikia, "wanakremu" mno mechi za nyuma badala ya kuelewa.
 
Dk Lick ni Kipaji na wengine ni Mitandao zaidi na wako biased sana,
nasema Lick ni kipaji kwa sababu yeye kila timu inayocheza (paraguay, chile nk) anakupa historia yake na update zake, ambacho ni kitu tofauti kabisa na hao wa kina dauda,
katika tactics na plan za soka, Adolf Rishards na Pondamali nadhani wako safi
 
Back
Top Bottom