Hivi ilikuwaje? Kuna thread yako moja niliisoma unalaani.
Nakuaminia baby.
Nyani Ngabu hujammiss mwajuma?Hivi wewe una mabebi wangapi humu?
Ana usongo huyo nilimnyanganya kitumbua mdomoni,alie tu.
Mhhhh hii nimekataa.....wewe huwezi kumnyang'anya Nyani Ngabu kitumbua bana !