kataaaaaaa kata....

jamani this wk jf siyo kabisa aisee...........yani ukienda mmu wakutana na mimambo inayoamsha hisia za matusi tu ukirudi chit chat na kwenyewe hivo hivo. lol...........hapa nikae kimya nikishuka lazima MODS waupeleke kuleee.
 
Alokwambia Ku'do ni matusi nani ?
gfsonwin ni hivi ku'do na matusi ni miamala miwili tofauti ujue ?
Haiwezekani tendo adhimu, tulizo la nafsi la waja liwe tusi ? Hebu litake razi tendo kwanza kwa kulidhalilisha!
 
Babu J wewe chai tu.

Nakuharibu kwa kukutia tui tu.

Una nini wewe? Mali hunazo tena. Akili hujawahi kuwa nazo.

Ngoja nisuke dili na Shualina aje akupukutishe kabisa ufulie na ufubae.

unanchekesha (FF)
nani unamtishia nyau
bishanga kisiki cha mpingo
hujui nilipigana vita ya idd amin wewe?
 
Wala sio hivyo hata kidogo. Ni ufatashi wangu tu wa kutaka kujua zaidi kuhusu huyu mwanachama mupya.
Nyani Ngabu aka joka la kibisa,umjue ili iweje?
nanhii nasikia karibu anaolewa,kanambia amekuacha kisa unangata tu sumu huna.
 
Last edited by a moderator:

Aaah haya bana. Mwambie namtakia kila la kheri. Nilijaribu kwa kadri ya uwezo wangu lakini kwake ikawa haitoshi. Bilionea la Kihaya likaja likanipokonya.

Kwa hiyo wewe siku hizi ndo "Gentleman"?
 
Dah! Nyani Ngabu,are you serious? Hii njemba kuna wakati ilirusha ndoano 'love connect' ,haiwezekani,halafu ku.....ma......ye ilijitia inataka kuoa,sio kwamba zilikuwa ni kamba tu?
 
Last edited by a moderator:
Dah! Nyani Ngabu,are you serious? Hii njemba kuna wakati ilirusha ndoano 'love connect' ,haiwezekani,halafu ku.....ma......ye ilijitia inataka kuoa,sio kwamba zilikuwa ni kamba tu?

I'm dead serious my friend (see, we are friend's now...ain't that nice?). It's all yours...teh teh teh.

Na njemba gani hiyo unayoizungumzia?
 
Huyo uliyemtaja hapo juu,kwenye avatar yeke anajitia kuvaa mawani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom