Kashfa nyigine kubwa Magereza - forgery?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Kuna habari za kashfa kubwa inayonukia katika Jeshi la Magereza inayohusiana na forgery - details bado haziko wazi sana - na kesi inachungzwa kituo cha Polisi Oysterbay. Details zinakuja taratibu...
 
Safi sana, katika awamu hii tunaona kila madudu yaliyojificha yanaibuliwa, walikuwa wapi? Nyerere, Mwinyi, Nkapa?
 
Mkuu zomba,
Mbona unashangilia kabla ya taarifa kamili?

Naona raha udhalim unavyoibuliwa, hii ni faraja kubwa sana, kila madudu yanapofichuliwa kuna ahueni fulani inapatikana kwa Mtanzania na inawapa moyo wenine wayafichue zaidi. Awamu zilizopita yalikuwa ni nadra sana, awamu hii tunayaona na Kikwete inafaa asifiwe kwa hili.
 
Back
Top Bottom