Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

Ikabd kumpigia Nesi anipe namba ya Simu ya dokta alienipa zile dawa niongee nae, nna shida nae, dokta nmempigia anasema zile ndio dawa sahii mana Alikua anasumbuliwa na malalia mgonjwa wako.

Nikamuuliza dokta Kama hakua na Tatizo jingine, dokta akasema hapana ndo mana nmempa mseto na Panadol tu. Nikasema Asante sana dokta. Nikakata Simu.
Nb: Sikutaka dokta ajue nmejua kua nmedanganywa kua kameza sumu.

Nmerud kwa mamaJ kuumuliza kwann yeye na Nesi wamenidanganya suala la sumu kumbe anaumwa malalia, akamtupia mpira Nesi, ikabd kupga na kuweka loudspika Nesi arudie alichonambia akinitaka nifike hospital.

Nesi anapokea anamtupia mpira mamaJ kua kasema alisema vile kwa maelezo ya mamaJ kua kameza vidonge vingi ana stress sn na Mimi ndo chanzo, hayo majibu ya maabara kua ana malalia tu hayajui na hausiki.

Nikagundua kumbe wananifanyia maigizo, hayajui vp wkt yeye ndo Alikua Beneti na mgonjwa, ana adjust drip kila MDA na kuangalia anaendeleaje. Ikabd kukata Simu kwa hasira. Nesi kapiga Sana sijapokea, tukaendelea kuzozana na mamaJ khs maigizo aliyonifanyia.

†****************
Mfungulie kesi nesi
 
Wakuu,
Mwezi uliopita tulikua na ugomvi mkubwa sn nikadhamiria kabisa kuachana nae ile Moja kwa Moja.

Baada ya kuomba msamaha sana turudiane ikashindikana, akameza vidonge lengo kujiua nisipokubali kumsamehe.
Nikamwambia "wee jiue TU usinibabaishe,hutokua wa kwanza kujiua".

MDA mfupi napokea namba ngeni anajitambulisha ni Nesi na kunambia mamaJ kaletwa zahanati flan Yuko hoi kanywa sumu nifike haraka tumnusuru. Nikasema "sawa nakuja" nikafika hospitali haraka nikakuta kalazwa na katundikwa dripu.

Alilala pale usiku mmoja kesho yake naenda kumchukua karuhusiwa, dokta ananambia nibebe na dawa zake atamezea nyumbani. Tumefika kwake nafungua nakuta kafungashiwa mseto na panadol tu. Nikabaki na mshangao

*************
bora nimecheka nimepunguza makunyanzi ya uzee!
 
Kodi utalipa tuu nimekaa pale....na bado ataendelea kukufanya danga lake sababu wewe umemfanya mchepuko wako fair play.....Kwa mama Jay hupindui ndio maana anataka kodi kwa jeuri kwamba hakukuomba umpangishie na utalipa tuu yote tena.
 
Niko hapa nataka naucheki kwanza mzigo wa mamaJ ili nimsaidie deeppond kulipa kodi😬
Screenshot_20230530_220217_Google.jpg
 
Back
Top Bottom