Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

Mi niliacha kumlipia mmoja sababu alikusanya mashoga zake kuishi nilipompangishia...nikitaka Kula niende guest ....nikapotea kimya kimya
 
Mi niliacha kumlipia mmoja sababu alikusanya mashoga zake kuishi nilipompangishia...nikitaka Kula niende guest ....nikapotea kimya kimya
Upuuz wa Hali ya juu,
Hajui umelipia Kodi kusevu gharama za gest
 
Namuonea huruma mkeo aisee..kuna mwanamke anakula nae sahani moja pasu kwa pasu..yani mumewe anapelekeshwa apendavyo...na bado hapindui.....huyo mganga wa mama J kiboko...
 
Mkiambiwa dada zenu wanaumwa mnapotezea as if ni house girl wenu wa zaman ndo anaemia, ila kwa wazinzi wenzenu chaaaaap ndo yanawakuta hayo. Ukiacha we Acha na uachike kurudirudi ndo tunakutana na yutiai grade 1 superior🎱🎲🎰♟️🎮
 
Back
Top Bottom