Swahilian
JF-Expert Member
- Apr 28, 2009
- 591
- 66
Eti inasemekana Nyanda nambari moja wa Simba s.c na Taifa Stars Bw. Juma Kaseja alikataa kutoa mkono wa salamu kwa mgeni rasmi Bw. Abas Kandoro mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Kwani huyu Kaseja na Kandoro wana magomvi yeyote au ndio umaarufu wenyewe?
Nimestaajabu sana tabia hii ya Mwanaspoti huyu lakini siwezi kumlaumu kwani sijui kisa hasa ni nini, japo kitendo cha kutotoa mkono si cha kiungwana na hasa ukichukulia kuwa Mh. Kandoro ni kama Baba kwa Kaseja.
Au ndo watu wa Kigoma wakikutana kwa watu hawasalimiani?